Kwani wakati wa JPM uwepo wake ulikua sio wa kikatiba? Mbona watu walimpinga pia?
Mama kaanza ndivyo sivyo na sio wote tutakubaliana nae, wa kukubaliana nae kubalini, wa kukataa tunakataa na ndio mawazo yetu..
Hamna mtu anayependa kulipa kodi na haitotokea. Wanaolipa kodi huko mbele sio wanapenda ila sheria kali zimewekwa. Hapa kwetu mama anataka kutubembeleza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.