Search results

  1. simango

    Natafuta mtu wa kushirikiana naye katika 3d Application

    Habari za muda huu wakuu, Nataka nifungue studio ambayo ina deal na masuala ya motion graphics hususan mambo ya 3d pamoja na 2d sasa natafuta mtu ambae mwenye uzoefu wa kutosha ambae ninaweza kushirikiana naye. Ambae yupo tayari anicheki whatsApp 0736323245 napatikana.
  2. simango

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Natumia OnePlus 3 Ram 6 GB Memory 64 GB Android 8 Iko fasta Nackiaa[emoji16] Raaaaha[emoji38] Utamu[emoji3]
  3. simango

    Wengi tumejenga, tunaishi kwenye mapito ya wachawi na wanga

    kaka kwanza nikusahihishe malaika mtoa roho haitwi ezraili anaitwa malakat mauti halaf hilo suala la kusema eti roho inaenda kutembea ikipita katika njia sio zake huyo mtu haamki huo ni uongo tena uzushi kwasababu mambo ya kifo ni mambo ya ghaibu hakuna ajue isipokuwa Mwenyezi Mungu tu sasa wewe...
  4. simango

    SHINYANGA: Aporwa kisu asijiue, ajichinja kwa chupa

    hakuna shetani mtoa roho bali kuna malaika mtoa roho aliyepewa kazi hiyo anafanya majukumu aliyopewa na mungu
  5. simango

    Onyo: Usikubali kwenda mikoa hii. Mke usiruhusu mumeo aende. Mimi Tanga na Tabora siendi tena

    duuh we jamaa nouma umequote thread yote hii[emoji15] mpaka vidole vinauma[emoji1][emoji1][emoji1]
  6. simango

    Baba,mama na watoto wote kuwa Facebook ni sawa jamani?

    kwa nchi zilizoendelea ni sawa coz watu wanajua matumizi sahihi ya mitandao lakini kwa hapa kwetu bongo facebook ndo imekuwa sehemu ya kuonesha watu maungo yao, sifa waonekane wana uwezo kifedha ili mradi tu siku ipite!!!
  7. simango

    Ndoto za usiku zinazo husiana na kuota nyoka ukiwa umelala

    mkuu mimi huwa haipiti mwezi bila kuota nyoka wa kijani tena wadogo wadogo, siku nyingine huwa naota hao hao nyoka wakijani wadogo wadogo wananikimbiza, pia huwa naota nawapenda sana paka kwenye ndoto huwa namfanya kama rafiki Naomba nijue mkuu hizi ndoto huwa zina maana gani..!!!
  8. simango

    Hivi kuna dawa ya kuacha ushoga?

    duuh[emoji15][emoji15][emoji15]
  9. simango

    Vyombo vya habari Tanzania mmeonyesha kutojiamini na unafiki wa hali ya juu

    mkuu sio bure utakuwa umetumwa wewe☹️☹️ sasa bashite siku hizi ana mpya gani[emoji57][emoji57]
  10. simango

    Wadada hivi mnaenjoy kubambiwa kwenye mwendokasi au?

    huyo jamaa lazima atakuwa wale tunaowaitaga madunga dunga[emoji38][emoji38]
  11. simango

    Mange Kimambi afungua Apps ķatika playstore Android!!

    teh teh teh[emoji15][emoji23]
  12. simango

    Tiba za asili: Manufaa ya asali na mdalasini

    wakuu nimekunywa chai ya mdarasini nimechanganya na vijiko 2 vya asali kama lisaa limoja hivi sasa hivi nimemeza tena vituu swaumu kama vipunje kumi hivi bac domo lote limechafuka utaratibu huu ndo nimeuanza leo
  13. simango

    Gb whatsapp

    msaada gb whatsApp inayosupport kwenye iphone 5s
  14. simango

    gb whatsApp ya iphone

    msaada application ya GB whatsApp inayosupport kwenye iphone 5s
  15. simango

    Karibuni tuichambue simu ya Oppo f3 Plus

    i phone 7s ndo mpango mzima
  16. simango

    Dar hii nitapata wapi USB-to-HDMI converter?

    hiyo mini display port to hdmi adapter ni ya mackbook pro wapi ninaweza kuipata wakuu
  17. simango

    Hivi unaamini kuna wapendanao/wanandoa wanaofanana sura

    kwahiyo boy wako ana sura ya kike[emoji38][emoji23]
Back
Top Bottom