Search results

  1. B

    Offer ya Ramadhani: EFD machines650,000/=

    Bolsto Solutions Ltd, approved supplier wa EFD machines, tunatoa offer KWA MUDA MFUPI KATIKA KIPINDI HIKI CHA RAMADHANI, njoo ujipatie mashine yako kwa bei nzuri na kwa haraka bila usumbufu. Wahi kabla hujapitwa. Ni kwa muda na idadi maalum. Tupo kariakoo, mtaa wa Lindi na Livingstone, karibuni...
  2. B

    Offer ya sikukuu: Mashine za TRA (EFD) kwa tshs. 400,000 tu

    Bolsto Solutions Ltd inawatangazia wafanyabiashara punguzo maalum kwa ajili ya msimu wa sikukuu. MAshine zitauzwa kwa Sh. 400,000/= tu. Wahi mapema kabla kabla stock ya offer haijaisha. Fika katika moja ya ofisi zetu, mtaa wa lindi na living stone kariakoo au ya mtaa wa swahili na bibi...
  3. B

    OFFER: EFD Machine 450,000/= Tu (offer ya wiki moja tu)

    Offer ya wiki moja tu, mashine za efd kwa 450,000/= tu kwa wale wenye VAT nitawafundisha matumizi mazuri ya mashine. Piga 0758 717754 / 0658 555 903
  4. B

    Offer: Bajaji zisizotumia mafuta kwa bei nafuu 3.5m tu

    Tunauza bajaji zisizotumia mafuta. zinatumia betri za kuchaji. ikiwa fully charged inaweza tembea km 80 hadi 100. Ni imara, na unapewa warranty ya mwaka mmoja. na spea zake zinapatikana kwa urahisi. Pia ni rahisi kuitumia/kendesha. Za abiria zinachukua abiria 6 waliokaa kwa starehe na pickup...
  5. B

    OFFER!! EFD MACHINE 520,000/= TU (Limited time offer)

    Kwa anayehitaji mashine ya TRA (EFD machine) afike ofisini kwetu, tupo kariakoo karibu na hotel ya tansoma au office za tigo tawi la nkurumah (kituo cha basi cha goldstar, gerezani). Ofisi zetu zinaitwa Bolsto Solutions Ltd. Ukifika ulizia chacha, niweze kupata discount yako. bei ya kawaida ni...
  6. B

    Natafuta dawa ya meno ya forever bright

    Kwa wenye products za forever living, natafuta dawa ya meno ya forever bright, moja tu. nipo maeneo ya kariakoo. 0758 717754
  7. B

    Tunaelekea kuipigia kura rasimu, je tumeisoma na kuielewa?

    Naona mchakato wa katiba mpya unafikia ukingoni, tarehe karibu zitapangwa kwa ajili ya wananchi kupiga kura ya maoni. kinachonisikitisha au kunishangaza sijaona juhudi mathubudi kuhakikisha wananchi wote watakoenda kupiga hiyo kura kwanza wameisoma na wameielewa hiyo katiba wanayoenda kuipigia...
  8. B

    Mashine za EFD na 18%

    Habari zenu wana jamii, Kuna swala nakutana nalo kila siku. Wafanyabiashara wengi wanadhani ya kwamba wakianza kutumia mashine wanakatwa kodi 18%. Jambo hili sio hapa Dar tu, hata mikoani nimekutana nalo. Si kweli wafanyabiashara wote wanakata 18%. Kwa lugha rahisi, mashine hizi hazibadilishi...
  9. B

    Nini cha kuzingatia kabla ya kununua mashine za EFD (mashine za TRA)

    Habari wana Jamii, Vitu muhimu vya kuzingatia kabla ya kwenda kununua mashine ya efd. Wengi kama binadamu wa kawaida tunaangalia zaidi bei nafuu, especially kwa mtu ambaye hanunui kwa hiyari. Chagua supplier ambaye upo karibu naye au wana office yenye technician. hii ni kwa sababu ki sheria...
Back
Top Bottom