Search results

  1. K

    Tanzania kukubali kuuza mahindi ya hifadhi yake kwa wakimbizi duniani huo ni Ubinadamu wa hali ya juu sana

    Pamoja na Tafsiri nyingine zote za Ubinadamu zilizopo Pia kitendo cha kulazimika kutoa kitu chako kwa ajili ya mwingine mwenye uhitaji, huo ni ubinadamu wa kiwango cha juu sana. Kitendo cha Rais Magufuli kukubali kuuza mahindi ambayo ni akiba kwa wananchi wa Tanzania ili kitumike kwa wakimbizi...
  2. K

    Msigwa atengeneza habari fake Instagram akilihusisha gazeti la mwananchi

    Ndugu yangu Msigwa uko too matured to practice this in your Instagram account!
  3. K

    Akaunti 3,000 za wanunuzi wasio na mashamba maarufu kama ‘kangomba’ zimefungiwa

    Kwa wale wanaolalamika kuwa hawajalipwa korosho,wanauhakika si miongoni mwa makangomba. ===== Dar es Salaam. Rais John Magufuli ameipongeza Wizara ya Kilimo kwa kazi nzuri hususani ununuzi wa korosho za wakulima huku akisema kuna akaunti 3,000 za wanunuzi wasio na mashamba maarufu kama...
  4. K

    Tetesi: Kuna wadau wanaandaa mpango wa kuchafua taswira ya zoezi zima la ununuzi wa korosho kwa lego la kuichafua serikali

    Kuna taarifa kwamba baadhi ya wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na baadhi ya wajumbe wa bodi ya korosho iliyotumbuliwa wako katika harakati za kutaka kuharibu taswira juu ya ununuzi wa korosho unaofanywa na serikali hasa katika mikoa ya kusini kwa dhumuni la...
  5. K

    Mrema akosoa maazimio ya vyama 6 vya upinzani

    Mwenyekiti wa Chama Cha Tanzania Labour Party (TLP) na Mwenyekiti wa bodi ya Parole Agustino Mrema amekosoa maazimio sita ya vyama vya upinzani nchini kwa kile alichokidai yanaweza yasiweze kuwa na matokeo yeyote kwa medani za siasa nchini. Kwa mujibu wa Mrema maazimio hayo si mara kwanza kwa...
Back
Top Bottom