Search results

  1. Quinine Mwitu

    Mzoefu wa biashara za kuuza nguo za dukani minadani

    Kuna mtu mwenye uzoefu katika hili Ili atupatie ABC? Natanguliza shukrani.
  2. Quinine Mwitu

    Msaada wa mwenye uzoefu wa biashara ya mazao

    Wakuu kwanza natanguliza Shukrani na salamu kwenu, Mimi ninao mtaji wa shilingi milioni 3, nina ndoto za kufanya biashara ya mazao kutoka Mbeya kwenda Dar. Je, nini changamoto na kipi cha kuzingatia katika biashara hiyo? Pia naomba ushauri kama kiasi cha mtaji huo kitaniwezesha kufanya...
  3. Quinine Mwitu

    Wazee wa Gym na Fitness center zingine

    Tujulishane machimbo ya kupata gym affordable na zenye vigezo vyote, Wapi sehemu unayoijua mdau,sio lazima iwe eneo ulilopo Ila kama unaijua tupe qualifications na bei yake Hii itasaidia kwa wale ambao huwa hawajui wapi watapata sehemu ya kufanyia maoezi nk
  4. Quinine Mwitu

    Hivi Umewahi kufikiria uchungu wa hili?

    Imagine,ulikuwa umekwama,huna unalotegemea ndani ya uwezo wako linaloweza kukukwamua hapo ulipo,kila mtu unampigia simu unamkopa pay,anakwambia sina,na wengine ambao wamekwambia sina,sio kwamba hawana kweli ila tu hawaoni umuhimu wa kukusaidia na shida yako,Sasa Anatokea muungwana mmoja anaamua...
  5. Quinine Mwitu

    Stay Positive And Never Give Up

    Habari za leo wakuu, Maisha yana changamoto nyingi sana,zingine zinaweza kukutoa kabisa kwenye hari uliyo nayo,au kwenye kitu ambacho ulikuwa umekusudia kukifanya. Si rahisi sana kumwambia mtu fulani,usikate tamaa,wakati akijiangalia kimaisha anakokwenda na aliko toka bado hakuna dalili ya...
  6. Quinine Mwitu

    Nahitaji stand ya video camera

    Mwenye nayo aje inbox tufanye biashara.
  7. Quinine Mwitu

    Lets Be Motivated!

    kwa waliokata tamaa kwa namna yoyote ile,mapenzi,uchumi,biashara nk
  8. Quinine Mwitu

    Zilipendwa Bongo flava

    tupieni na zingine wadau
  9. Quinine Mwitu

    Liwazo: Wale wanaohisi wana vibamia

    Kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaohisi wana upungufu wa nguvu za kiume au na maumbile madogo(vibamia), hali ambayo ni hatari sana. Hatari hiyo ni kubwa kwa sababu baadaye inaweza ikapelekea kuwa ni tatizo la kisaikolojia na pia hata wanaoamini hivyo kwa kiasi kikubwa wamekuwa na tatizo la...
  10. Quinine Mwitu

    Tatizo hili kwenye PC yangu

    Wakuu naombeni msaada,kila nikitaka ku copy document yoyote kwenye Pc yangu naambiwa you need administrator permission to copy this file,tatizo ni nini? natanguliza shukrani!
  11. Quinine Mwitu

    Watu wasiojulikana:nyimbo mpya ya msaga sumu

    isikilize ya ukweli
  12. Quinine Mwitu

    Wadau naomba mwenye vitabu vya waandishi hawa

    wadau jf,naombeni wenye softcopy ya vitabu vya waandishi hawa anisaidie Brian Tracy na Zig Ziglar Natanguliza shukrani, Mwitu.
  13. Quinine Mwitu

    Kipanya kazini

  14. Quinine Mwitu

    Haijalishi wewe umepitia mangapi magumu na mepesi,Hakika unaweza

    Wilma Rudolph Biography.com Athlete, Track and Field Athlete(1940–1994) 5.8K SHARES Track and Field Athlete Birth Date June 23, 1940 Death Date November 12, 1994 Education Tennessee State University, Burt High School Place of Birth St. Bethlehem, Tennessee Place of Death Brentwood, Tennessee...
  15. Quinine Mwitu

    kwa Nini Waafrika ndio Tunapenda Kuwacheka watu wasiojua kiingereza?

    Wasalaam, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,kwa nini waafrika wengi mtu anapokuwa hawezi kuongea kiingereza huwa tuna muona kama si lolote si chochote,Kuna Kipindi nimewahi kufanya hizi kazi za utalii kwa hiyo niliweza kugundua mawili matatu juu ya lugha ya kiingereza 1.Mzungu hata ungeongea...
  16. Quinine Mwitu

    Maajabu ya kunywa sperm

    A student from UCLA has just achieved the highest score in history on an IQ test designed by Mensa, and she claims her astonishing result is due to her daily ingestion of sperm. 26-year old Alicia Franklin, was already a member of the high IQ society Mensa, after scoring 154 in her...
  17. Quinine Mwitu

    Hizi simu nazo!

  18. Quinine Mwitu

    Uzuri wa mwanamke wa kiafrika

    Habari waungwana, Huwa nakata tamaa sana na mwanamke wa ki afrika anaye jipiga carolyte ili afanane na Mzungu, hawajajua labda thamani yao. Kitu walichofanikiwa wazungu ni kumfanya mwafrika ajidharau mwenyewe hasa mwanamke, aisee wanawake wa kiafrika ni wazuri duniani hakuna, hivi ndio vitu...
  19. Quinine Mwitu

    Dorobucci

    nigerian wanatuacha mbali sana
Back
Top Bottom