Search results

  1. Tresor Mandala

    JamiiForums Usiku wa manane

    Mie nadhani ni mkakati kuhakikisha vipaji vya michezo haikui ..maana wanajua wakivieendeleza na kuvikuza watoto wa kimaskini watatoboa wakitoboa watapata exposure hivyo itakua ngumu wao kuwatawala... hivi unadhani Tanzania kwa vipaji tulivyo navyo wangeenda ulaya kisha warudi wafanye kama...
  2. Tresor Mandala

    JamiiForums Usiku wa manane

    Hahahahaha..ni kweli kabisa, ila na mm pia nilichangia maana shule zilikuwepo na mpira ulikuwepo.. ila home walitaka shule zaidi .. Na hata serikali haiamini vipaji vingine wao wanaamini vipaji ktk masomo tu ndio maana unakuta kuna shule za vipaji ktk masomo lkn hkn shule za serikali za vipaji...
  3. Tresor Mandala

    Mashabiki wa Simba na Yanga tunatia aibu kwenye mitandao, tujirebishe

    Hahahahaha mashabiki wa simba na Yanga ndio watanzania wenyewe hao..hivyo kifupi nikua watanzania mnatia aibu
  4. Tresor Mandala

    Umri miaka 91, Paul Biya Mitano mingine: tuendelee kujifunza

    Ila madaraka matamu hata kama ni ya ndugu yako kubwa uwe na faida nayo..utatamani iwe hivyo miaka yote
  5. Tresor Mandala

    Mamelod Sundowns have touched down safely in Tanzania

    Hahahahaha kila mtu acheze mechi yake sio
  6. Tresor Mandala

    Umri miaka 91, Paul Biya Mitano mingine: tuendelee kujifunza

    Hahahahaha..hapa utagombana na watu
  7. Tresor Mandala

    Jerry Silaa: Alex Msama ni tapeli namba 3 wa Viwanja, ajisalimishe

    Hivi ile TV yake iliishia wapi ?
  8. Tresor Mandala

    Napenda Simba ila Simba iki draw au kushinda nipigwe ban jf

    Mkubwa unapuyanga sana aisee..yaani sikua najua km na wewe ndio km wale tu..ila hongera
  9. Tresor Mandala

    Wakikwambia wako tayari kukupenda na umaskini wako kataa kabisa huo mtego, watakusumbua mbeleni

    Hahahahaha...sio kweli..binafsi naamini hkn mwanamke atapoteza muda wake kupenda mtu hana kitu ..mwanamke wa hivyo hakuna
  10. Tresor Mandala

    Wakikwambia wako tayari kukupenda na umaskini wako kataa kabisa huo mtego, watakusumbua mbeleni

    Ukijiona we maskini hasa wa hela hakuna mwanamke atapoteza muda kwako ..na wala usihangaike nao ..utajitia stress tu
  11. Tresor Mandala

    Wakikwambia wako tayari kukupenda na umaskini wako kataa kabisa huo mtego, watakusumbua mbeleni

    Hivi kuna mwanamke anaeza poteza muda wake ampende mtu hana kitu ?
Back
Top Bottom