Search results

  1. N

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Nipo uwanjani hapa sheikh amri abeid arusha, uwanja umegoma kujaa kama ambavyo edward lowassa aliujaza wakati wa kutangaza nia ya kugombea akiwa ccm kabla hajahamia chadema.
  2. N

    Mwandishi wa habari Arusha 'asutwa'

    Habari wadau Tukio la jijini hapa Mwandishi wa Habari Leo John Mhala amewekwa kati na genge la wanawake kutoka DSM na kujikuta akisutwa na kupakwa matusi kedeke baada ya kudaiwa kusambaza picha za ngono za kocha wa timu ya AFC Arusha aliyekuwa akila uroda na mke wa mchezaji wake. Kazi maalumu...
  3. N

    UKAWA isiwe sababu ya kurudisha jimbo la Mwanga CCM

    KILEO ACHA WOGA WA KIKE, Wewe ulikuwa unajenga CHADEMA mikoa mingine ikiwamo DAR es Salaam, Mwenzako Mwanasheria Msuya alikuwa anajenga nyumbani Mwanga. Iweje uanze kuogopa mapema, eti usipochaguliwa wewe wa CHADEMA CCM watashinda, shamee broo tulia. Msuya aongoze jahazi la UKAWA Mwanga ooyyeeeeeee
  4. N

    Ole Medeye na nyota ya siasa iliyofifia

    Muda utaamua.
  5. N

    UVCCM Arusha wafunga ofisi za Mkoa

    Baadhi ya wajumbe wa UVCCM Mkoa wa Arusha wakisikiliza maazimio yaliyofikiwa na mkutano huo yakisomwa mbele ya waandishi wa habari hawapo pichani
  6. N

    Baraza la UVCCM mkoa wa Arusha latoa maazimio mazito kwa Chatanda na wenzake

    Mwenyekiti wa UVCCM anasema UVCCM Arusha imekuwa kama Palestina na Israel
  7. N

    Baraza la UVCCM mkoa wa Arusha latoa maazimio mazito kwa Chatanda na wenzake

    Chini ya Mwenyekiti wake Robnson Meitinyiku Baraza la UVCCM Mkoa wa Arusha limekuja na maazimio ya yanayomtaka Katibu wa Mkoa Mary Chatanda endao ikibainika kuwa kuna ubadhirifu wa fedha katika Umoja huo basi asihamishwe mkoa mwingine badala yake apelekwe mahakamani ili iwe fundisho.
  8. N

    Picha ya siku

    Ukiangalia kwa makini sana wanafanana na NAPE
  9. N

    Funga 2013 -serikali yamnunulia gari askofu mkuu anglikani

    Serikali ya Kikwete, imemuhonga Gari aina ya (PRADO)New Model Askofu wa Kanisa la Anglikan Tanzania, Askofu Chimeledya baada ya kufanikiwa kumuangusha aliyekuwa Askofu Mkuu Dk. Valentino Mokiwa katika uchaguzi uliofanyika mapema mwaka 2013. Mbali na Gari,imethibitishwa pia kwamba nyumba...
  10. N

    Rc Mullongo anapotoka ofisini kushangaa ndege ikiruka

    Gari la Mkuu wa Mkoa Arusha likiwa limembeba huku likitimua vumbi pembeni ya uwanja wa ndege wa Arusha, RC Mulongo alikuwa akiwahi uwanjani ili kujionea ndege ya Ethiopia boeing 767 ikiruka baada ya kufanikiwa kunasuliwa kwenye udongo ilipotua kwa dharura Jumatano, pembeni ni uziwa wa wavu wa...
  11. N

    Mh. Multaza na DC wantapeli mjasiriamali Sh. M. 10

    Mangungu mbunge kilwa kaskazini na dc abdalah ulega- kilwa
  12. N

    Mh. Multaza na DC wantapeli mjasiriamali Sh. M. 10

    Mbunge Multaza Mangugu na Mkuu wake wa wilaya DC wanadaiwa kumtapeli,mjasirimali Hashimu Mashele Sh. Milioni 10 wakidai kumtafutia kiwanja.
  13. N

    Mwandishi wa habari joseph ngilisho anaswa na takukuru

    Huyu ndio mwandishi Joseph Ngilisho wa magazeti ya udaku, Zanzibar Leo, Sema Usikike,Dira ya Mtanzania na mengine mengi. Jana alikamatwa kwa kuomba rushwa ya Sh. Milioni 2 pale EAC. Leo Januari 29 amepandishwa kizimbani kusomewa mashitaka yake.Mbali na tuhuma hizo mwandishi huyo alikuwa anatumia...
  14. N

    Mwandishi wa habari joseph ngilisho anaswa na takukuru

    Wadau Ipad inasumbua ushamba; Ni kwamba huyu jamaa alikamatwa jana Januari 28, Mwaka huu mchana maeneo ya Hotel ya African Tulip jirani na ofisi za Barclays Bank alipoanza kufuatiliwa ndio akala mbio akiwa na Milioni 2 mfukoni, sasa alipoonza PCB wanazidi kumfuata akaona mbele kuna geti la...
  15. N

    Mwandishi wa habari joseph ngilisho anaswa na takukuru

    Wadau, nawasilisha kwenu; Jana mchana Januari 29, 2013 anayejiita mwandishi wa habari Joseph Ngilisho wa magazeti takribani yote ya UDAKU, ZANZIBAR LEO, DIRA YA MTANZANIA, SEMA USIKIKE, REDIO WAPO, REDIO SUNRISE N.K ambazo amekuwa akiziandikia kwa kutishia watu hatimaye amekamatwa na PCB kwa...
  16. N

    Mwandishi akabidhiwa tuzo meru

    MKUU wa Mkoa wa Arusha Magessa Mullongo amzawadia TUZO ya Uandishi Bora wa habari za Jamii na Maendeleo Meru Mwandishi wa habari Mary Mwita wa Gazeti la Mtanzania Magessa alitoa kwa uongozi wa Halmashauri ya Meru kuwa jina la Mwandishi wa habari Mary kwani amekuwa akiandika habari bila...
  17. N

    Msanii Sajuki Aanguka Jukwaani Arusha

    Wadau kwa maombi na sala zetu mbele za Mungu tuendelee kumuombea Sajuki Mungu ampe afya njema juzi alianguka jukwaani Arusha akijiandaa kuburudisha mashabiki wake Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
  18. N

    Mguu unalipa? -esami arusha

    Wadau huo mguu vipi unalipa?????
  19. N

    Ndugu wa Kinana ni vinara biashara haramu

    Wana JF; Taarifa za kina nilizozipata zimewataja rais wa Kisomali waishio Arusha (SILVER PARM, DUKA LA PEMBEJEO ZA KILIMO, DRY CLEANER, NA INTERNET CAFE) wanatajwa kuwa ni ndugu wa karibu wa Abdulhaman Kinana. Wasomali hao wanatajwa kuwa vinara wa kufanya biashara haramu ndani na nje ya...
Back
Top Bottom