Search results

  1. Y

    Msaada kuhusu malipo ya GRATUITY.

    Tafadhali mwenye ufahamu kuhusu nani anastahili kulipwa gratuity anijuze au tujaribu kushauriana. Je malipo ya gratuity ni automatic au lazima iwe imetajwa kwenye mkataba wa ajira. Ni sheria ipi inasimamia malipo ya gratuity hasa kwa watumishi waliopo kwenye Private Sector. Sent using Jamii...
  2. Y

    Mwenye material facts za case ya Khatija val vs Samji naomba anisaidie

    Samahani waungwana, mwenye material facts za hiyo case aniwekee tafadhali. Ni KHATIJA BAI V SAMJI
  3. Y

    Magufuli tafadhali usiyumbishwe, upo sahihi

    Kumekuwa na mijadala yenye uelekeo wa kikampeni hasa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vijiwe mjini, kuhusu ugumu wa maisha na uhaba wa fedha mitaani.Kunaweza kuwa na uhalisia wa kiasi flani lakini jambo la msingi ni kufahamu kilichopelekea au kinachopelekea hali hiyo. Japo kuna watu...
  4. Y

    Madarasa ya sheria

    Naomba kujuzwa tuıtion centres nzuri kwa wanafunzi wa sheria kupitia Open University.Kwa wote under&post graduate degree.Maeneo ya manispaa Kindonı au Posta.Tafadhali msaada.
  5. Y

    Review classes kwa OUT

    Tafadhali naomba msaada kwa anayejua centre nzuri ya revıew classese kwa wanafunzi wa OUT hasa waopursue law.Nipo Dsm maeneo ya Mbezi beach.
  6. Y

    Review classes kwa watu wa OUT.

    Tafadhali naomba kujuzwa zilipo review classes kwa ajili ya wanafunzi wanaosoma OPEN UNIVERSITY na zaidi sana upande wa LAW.Nipo DSM Mbezi beach!
  7. Y

    Ajenda hizi ni muhimu zimepuuzwa!

    Nımefuatılia ılani za wagombe na washndanı wakuu kwenye kinyang'anyiro cha Urais lakini sıkuona aliyeghusıa ajenda hz:Hifadhı ya jamii,Bıma , Makazı bora,Uhıfafadhı wa mazingira na bıonuaı, madawa ya kulevya na ulevi na...
  8. Y

    Inakuwaje Rais anatoka CHADEMA na PM CCM?

    Kuna uwezekano mkubwa wa Lowasa kuibuka mshindi japo mwembamba.Ana mvuto usioelezeka msıngi wake ni nini na anapendwa sana. Lakıni kuna nafasi ndogo ya UKAWA kupata wabunge na madiwani wa kutosha kuunda serikali na mabaraza ya halmashaurı.Kwa msingi Rais atatoka UKAWA lakini PM...
  9. Y

    Msaada wa kisheria kuhusu deni

    Salaam wana jukwaa!!Naomba msaada wa ushahuri wa kisheria wa namna ya kumshitaki mtu niliyemuuzıa malı zangu kwa mkopo lakıni amegoma kunilipa.Ni mfanyabiashara na ana uwezo wa kulipa deni ila anakataa makusudı na kudai kuwa hana hela na deni halifungi.Ni mamlaka zipi naweza...
  10. Y

    Ukokotoaji wa riba NMB

    Salaam wadau!Naomba kwa yeyote ajuaye anijuze nami namna kıası cha fedha ambacho mkopaji anatakıwa kurejesha bank km riba kwa kuzingatia muda wowote.Nimefuatilia kwa baadhı ya wafanyakazi wa bank, wengi wameonekana kutokujua kanuni ıtumikayo zaidi ya kudaı kuwa...
  11. Y

    Ukanda unaenda kuimega Tanzania yetu

    Kitendo cha watia nia wote waliotia nia tayari, kufanya hivyo kwenye kanda wanazotoka, naona kitajenga taswira ya ukanda na kuwafanya wananchi kuzingatıa hoja kuwa huyo ndo wetu. Kama ndivyo, Wasıra atakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi. Hii ni hatari kwa utengamano na umoja wa kitaifa...
  12. Y

    Uchafu na harufu ya kinyesi imekithiri Kariakoo

    Jamanı, Kariakoo inatisha kwa uchafu.Yaani eneo lote lınanuka kinyesi ni hatari sana. Ukipita maeneo ya Kariakoo, iwe asubuhi au jioni barabara zimejaa mate, watu wanatema mate ovyo sababu ya harufu mbaya ınayokirikita. Hali hii ni mpaka mitaa ya Posta na Mwenge. Maji na...
  13. Y

    Naomba kujuzwa hii project ya Postal Bank

    Salaam wanajamvi, Kuna project imeanzıshwa na benki ya posta ikılenga kusaidia vikundi kwa kutoa mikopo mbalimbali.Watu wanahimizwa kuunda vyenye ıdadı ya watu isiopungua 8 na isiyozidi 30.Vıkundi hvyo vinasajıliwa na kupewa mafunzo na benki kwa kila wiki mara 1...
  14. Y

    Hii tabia ya serikali inalitia aibu Taifa

    Hii tabıa ya serıkali kukanushu taarıfa kuhusu ukwelı ulio wazı wa mambo yanayotokea kwenye jamii, ni uhunı unaofedhehesha taifa.Hii hali ınawafanya hata wananchi kutokuheshimu serikali. Mfano,wakatı wa kuhamasisha ujenzı wa laboratorıes...
  15. Y

    Biashara ya Mkaa na Asali

    Pole na majukumu wana jamvı.Naomba mnisaıdie uelewa kwa kuniwezesha kufahamu juu ya upatikanaji wa soko la mkaa pamoja na asali jijini DSM.Pia changamoto ziambatanazo na bıashara hyo.Namalizia kwa shukrani.
  16. Y

    Wananchi tuwe makini na wanasiasa vinginevyo tunaua taifa letu

    Kwa mabadiliko haya baraza la mawaziri, ni wazi kuwa taifa lina uhaba mkubwa wa rasimali watu.Nadriki kusema kuwa ni bora ukawa na waziri anayetuhumiwa ufisadi lakini anachapa kazi na ana akili kuliko anayefikrika kuwa mwadilifu lakini mwenye uwezo mdogo kiutendaji na kiakili. Sidhani kama...
  17. Y

    Awamu ya nne ya utawala wa nchi hii

    Nikijaribu kutathimini awamu zote za uongozi katika nchi yetu, naipa namba 2 awamu hii ya nne inayoongozwa na JK kwenye kuisogeza Tz mbele ktk nyanja tofauti.Awamu ya kwanza inaongoza na awamu ya tatu ndo ilikuwa worse. Pamoja na madhaifu mbalimbali tunayoyashuhudia kwenye awamu hii, ni...
  18. Y

    Kufukuzwa kwa mama Tibaijuka kunajenga taswira ya ubaguzi na wonevu!!

    Kufukuzwa kazi mama Tibaijuka kufuatia sakata la ESCROW kumeacha sintofahamu nyingi.Pamoja na ukweli kwamba alikiuka matakwa ya sheria ya Utumishi wa Umma bado kunaonekana palikuwa na uwezekano mkubwa wa kujenga hoja ya kumtetea kuliko ilivyo kwa wengine ambao mpaka sasa hawajachukuliwa hatua...
  19. Y

    Tunaomba wasomi, Wanazuoni, watendaji wenye uzoefu wajiunge rasmi na UKAWA

    Kutokana na maendeleo ambayo UKAWA wamepata kutokana na uchaguzi wa serikali za mitaa uliokamilika hivi karibuni na unaoendelea kwenye baadhi ya maeneo, ni wazi kwamba uchaguzi mkuu wa mwakani wataweza kujinyakulia viti vingi vya Ubunge na hata kiti cha Rais. Kwa msingi huo UKAWA wahitaji...
  20. Y

    Kikwete alivyolijali jeshi, basi Rais ajaye awe Mwalimu

    Tangu Mh. Kikwete amekuwa rais kwa kiasi kikubwa ameboresha mazingra ya kazi kwa jeshi letu.Wamejengewa nyumba nzuri na bora maeneo mengi nchini, mabasi ya kusafirisha askari mijini na kwingneko, mishahara na marupurupu vimeboreshwa, zana bora za kivita zimenunuliwa,maduka ya jeshi yameboreshwa...
Back
Top Bottom