Bora mjinga hajui; siku akijua ataelimika, huyu anajua ila anabisha tu, anayejua lakini hataki kuelewa huyo sio mjinga bali ni mpumbavu, kwamujibu wa kamusi ya kiswahili.
Hivi kweli mtu kwenye akili timamu anaweza kweli kushindanisha wachagga na wasukuma kwa hali yoyote ile? sio uchumi wala elimu, wachagga wako juu, actually, aliyebarikiwa kabarikiwa tu. tuache wivu jamani.
Let me laughing...!
Mimi. Sio mchagga wala sitoki Kilimanjaro kaka, lakini mwanza ,shinyanga na simiyu nimekaa sana tena sana watu wakule ni masikini mno nawajua fika kaka. Hapa tuseme ukweli.msemakweli ni mpenzi was Mungu.be real
Mmm. Umepiga ikulu mkuu.
Sasa hivi wamejazana kila sector. Mpaka kwenye miradi ya mwendokasi mbagala wanaletwa kutoka mwanza na shinyanga. Yaani sisi wakazi waeneo la mradi husika tunakosa kazi hata kama tuna professional husika . anapigiwa simu mwananzengo kutoka geita isulwa butindwe aje...
Hapa ndio kwenye "SHIDA" pale ambapo raisi wa nchi anaitenga baadhi ya mikoa kwenye Mipango ya Maendeleo, anadiriki kusema sasa kaskazini Maendeleo basi! Tuachie na mikoa mingine!
Pale ambapo raisi anasema "siwezi kuwaletea Maendeleo watu ambapo wamechagua upinzani"
Wakati watu hao na mikoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.