Search results

  1. O

    Viwanja vinauzwa Dege-Kigamboni viko 2-in-1 vina Title Deed

    Viko upande wa beach, opposite na mradi wa magorofa/appartments eneo la Dege, Kigamboni. Viko pamoja (two-in-one), total area more than 1,700sqm. Kila kimoja kina Title Deed yake. Bei kwa kimoja ni USD 50,000. Ukitaka vyote viwili ni USD 90,000. Serious buyers only, just PM au tuma email...
  2. O

    MMU Sunday Talk; I love u all, naamini unajisikia furaha kupendwa

    Salamu za upendo kwenu wadau wa MMU na JF wote kwa ujumla, toka kwenye vilindi vya moyo wangu. Nakuomba nawe pia, uchukue fursa hii kumpa salamu mtu mmoja au zaidi mwambie unampenda na kumthamini, na Mungu atakubariki.
  3. O

    Unachopaswa kufanya kabla na baada ya kufanya dhambi

    Mungu wetu ni mwema na fadhili zake ni za milele. Yeye ni mwingi wa huruma na hapendi kabisa watu wake waangamie, ila tunaangamia kwa kukosa maarifa. Kabla ya kutenda dhambi tafakari juu ya dhambi unayotaka kuifanya, je ina athari gani kwako na kwa jamii? Ukishindwa kujizuia, ujue umenasa...
  4. O

    Huduma ya Maombi Maalum/Special Prayers Ministry

    Huduma ya Maombi Maalum/Special Prayers Ministry inakualika kushiriki maombi mfululizo/chain prayers kwa siku saba (20-26/10/2014) ili kufunga anga letu la Tanzania dhidi ya virusi vinavyoeneza gonjwa hatari la ebola.
  5. O

    Kiwanja Kigamboni, Tshs.70million pamoja na Title Deed Transfer!

    Hiyo ni bei ya kiwanja kilichoko jirani kabisa upande wa baharini, mkabala na magorofa mapya yanayojengwa eneo la Dege Kigamboni. Bei hiyo inajumlisha hati ya kiwanja (Title Deed) itakayofanyiwa transfer ili iwe na jina la mteja! Ukubwa wake ni zaidi ya sqm.900. Panafaa kwa ujenzi wa nyumba ya...
Back
Top Bottom