Search results

  1. P

    Eti kama haukuwa kati ya shule hizi, we ni kilaza ?

    shule yangu hiyooo ... Moshi Technical 1971 to 1974 - Great adventures Great Days
  2. P

    Waganga bwana!

    Niletee njiwa aliyefiwa na shangazi yake
  3. P

    Miundombinu ya Dar ikiwa hivi, foleni kwisha habari yake!!

    Tazama flyovers za Muscat Oman
  4. P

    Karibuni 'Cha Mzaramo....!!!

    Wali huo wa "MWENDO KASI"
  5. P

    Mapochopocho

    Huyo hapakui - anapakuliwa
  6. P

    Chakula cha mchana shuleni katika kila nchi

    Ya Tanzania ndio yenyewe mate yananitoka - home sweet home
  7. P

    Kizazi toleo jipya

    Pozi babu kubwa - midomo na macho yes yes
  8. P

    Karibu ujionee Ubunifu wewe.

    Ubunifu huo ndugu - safi sana
  9. P

    Hii ni mchina au?

    Si Mchina si nani!! Ni jinsi unavyoenekana ukiangalia reflex mirror!! Ba ndgu ni MIRROR!!!!!
  10. P

    Daraja la kigamboni

    Tasfiri from Google
  11. P

    Wapi hapa?

    Picha zaidi: Image Search Results for kigali airport
  12. P

    Mtego

    Hakuna chochote kitakachotokea - ufunguapo kitasa mkono huelekea chini - vipi bom litafyuka???????????????
  13. P

    Waaaaw!

    Hebu subiringi kwanza, mwanzilishi wa habari hii Nidugu Ezan kaomba atafsiriwe barua alioipata maana Kiingereza kimemwendea tenge - sasa naona hadithi ndefuuu na inaelekea hajafamu kitu Ezan - Tafsiri ya barua hiyo ni hapa chini (hisani ya Google.com - Tafsiri Kabambe!!!!!): Attn: Mheshimiwa...
  14. P

    Kitendawili

    Ni cheupe kama barafu na ni cheusi kama giza. Kuliwa ni HARAMU na kunywewa ni HALALI, kina herufi (5) na kinaanza na herufi (M). Kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na wanawake mara moja tu katika umri wao,Je ni kitu gani hicho?
  15. P

    Lugha Gongana!

    نرحب الشراب العصيدة.
  16. P

    Kampuni ya Jk na riz!

    Nani kasema ni Kijaluo? See below: Rijk Zwaan Q-Sem starts using biogas installation 22.06.2010 | source: RZ TZ At Rijk Zwaan Q-Sem in Tanzania, one of the ovens in the staff kitchen will be heated by biogas from this week onwards. This fuel is created from WC waste, pulp that is left after...
  17. P

    Kuna mtu yoyote aliye wahi kula vyakula vya kichina? Hebu angalia picha hapo chini

    Nilichopenda ni ile mix ya Mijusi na mboga - yaani hapa unabalance protein na mboga mboga - Kumbukeni - Kuleni kuku mayai mboga maziwa - yote yamo ndani ya mchanganyiko wa Mijusi na Mboga Ramadhan Kareem
  18. P

    Jihadhari utembeapo kando ya barabara

    Wajameni - muwe mnajiangalia mtembeapo kando kando ya barabara - waweza chotwa kama huyu jamaa - inatisha!!
Back
Top Bottom