Search results

  1. Inferior Complex

    Wapi nitapata daladala za kufika Bagamoyo haraka kati ya Chalinze na Mlandizi?

    Sawa, basi Kama unatokea kuanzia kimara Hadi kibaha. Panda gari mbezi mwisho zipo gari za kwenda bagamoyo nauli ni 2000-2500 Kama unatokea nje ya hayo maeneo. Chukua gari za bunju then ukifika bunju Kuna gari za kumwaga kwenda bagamoyo.
  2. Inferior Complex

    Wapi nitapata daladala za kufika Bagamoyo haraka kati ya Chalinze na Mlandizi?

    Ungesema,unatokea wapi uelekezwe njia ya HARAKA na unafuu. Mwisho kabisa, jaribu kutumia Google map. Search umbali kutoka mlandizi kwenda bagamoyo like chalinze kwenda bagamoyo. Kama unatokea nyuma ya mlandizi pitia njia ya mlandizi. Ikiwa unatokea kibaha pitia njia ya kibaha. Kama unatokea...
  3. Inferior Complex

    Upepo wa kumcuafua waziri mkuu unapita kwa kasi, lakini baada ya muda hali itatulia na maisha yataendelea.

    Majaliwa hachafuliwi,Ila anajichafua mwenyewe. Hata wewe unajua kabisa,majaliwa ni mpinga Samia Kama alivyokuwa anamuhujumu magufuli.
  4. Inferior Complex

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Subwoofer/ Bluetooth is ready to pair[emoji16][emoji16][emoji16]
  5. Inferior Complex

    Kuna Mwanaume anaenda kusingiziwa Mimba ambayo sio yake

    Usiruhusu aitoe. Jifanye umekuwa spem dona
  6. Inferior Complex

    Namba za Ofisi za Wakuu wa Polisi Wilaya (OCDs) kwa mikoa yote

    Je, Nani atamsaluti na kumuwajibisha mwenzake?
  7. Inferior Complex

    Namba za Ofisi za Wakuu wa Polisi Wilaya (OCDs) kwa mikoa yote

    Swali la nyongeza. OCS ambaye ni mrakibu na OC CID Ambaye ni mrakibu Msaidizi Nani mkubwa ki cheo na kimadaraka?
  8. Inferior Complex

    IGP Wambura apangua tena nafasi za Makamanda wa Polisi

    Kuna mwamba mmoja hivi now n OC CID Kilindi huyo ni Nyokoo kwenye mishe za kudhibiti Hawa mbwa.
  9. Inferior Complex

    Tetesi: Kiongozi mkubwa wa upinzani aliyenunuliwa na CCM ni James Mbatia?

    Ngumu kumeza hii. Nipe namna ya ku prove usemalo
  10. Inferior Complex

    Dark days 17/03/20...

    Labda nikusaidie kitu kimoja. Uhai wa born town kuna mtu kaushikilia Huyo mtu akiamua hata sasa hivi huyo mtu wako afe anakufa tu. 2026 mbali Sana,wakati hata mwezi ujao born town hawezi kutoboa. Turudi kwa currently CEO. umejitahidi kumpamba aonekane hana hatia, lakini mfikishie ujumbe...
  11. Inferior Complex

    Tetesi: Kiongozi mkubwa wa upinzani aliyenunuliwa na CCM ni James Mbatia?

    KWA bulaya hapo naweza sema ni kweli. Maana haingii akili mdee akawa ameshikwa akili mpaka akasaliti chama. Ila yeriko naona unamuonea tu
  12. Inferior Complex

    MwanaJF akifariki msiba unajulikanaje?

    Mimi nilikutana na warumi humu jf. Mazoea yakazidi tukapeana namba. Mawasiliano yakawa makubwa, Siku Yupo hospital bado mawasiliano Naye yapo. Alipokufa dada yake akanipa taarifa Siku ile ile maana nilimpigia kumjulia hali Ile nataka kuwahi JF nakuta uzi ushaandikwa. Hivyo ndivyo tunavyojenga...
  13. Inferior Complex

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Jamaa. Mbona kasema wazi zaidi ya Sehemu 3 gari ilisimamishwa ikiwemo Eneo la TRA. Na isitoshe kaelezea hata habari za mataa ya Ubungo??
  14. Inferior Complex

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Punguza ujuaji. Jamaa kazaliwa miaka ya 80 Na si kwamba miaka ya 80 ndiyo kaanza shule. Ina maana tutumie simple logic. Kazaliwa 1980. Akiwa na miaka 7 akaanza drs la 1 Ina maana 87 kaanza la 1 94 KAMALIZA LA 7. hapo hapo vipi? Lakini logic ya story yake ni kwamba jamaa kasoma shule ya Kata na...
  15. Inferior Complex

    Ujenzi barabara: Wabunge wamkumbuka Hayati Magufuli

    Unamtaja YESU ikiwa una chuki na husda moyoni?
  16. Inferior Complex

    Ujenzi barabara: Wabunge wamkumbuka Hayati Magufuli

    Kuwa na aibu BASI. Hata kimara kibaha huioni? Vipi ile ya mafinga hadii igawa? Tunduma hadii sumbawanga? Umezingua Jamaa
  17. Inferior Complex

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Mkuu ana maanisha passport size picha zile zinazotoka kwa dk 3
  18. Inferior Complex

    Visa vya MonkeyPox vyaongezeka Ulaya na Marekani

    Ngoja nikuasaidie cocastic
Back
Top Bottom