Search results

  1. le madame

    Msaada jamani

    Mtoto wa kiume miezi 10, sasa hapendi Kula zaidi ya kunyonya na uzito haongezeki ni miez 3 constant anamaintain, nimeshabadili vyakula hadi basi, multivitamin sijaoba mabadiliko, sasa vipi
  2. le madame

    Nimueleweje, aliniacha na ujauzito na kuoa mwanamke mwingine

    Natambua uwepo wako humu ndani ya JF, Soma tuu maana hamna jinsi asome! Tumekuwa nae kwenye uhusiano hadi kufikia kutambulishana kwa wazazi, Mungu si athumani akapata ufadhili nchi za wenzetu kusoma huku nyuma akiniacha mjamzito, kitu ambacho alikifurahia sana kwa kuwa age imeenda sana na...
  3. le madame

    Maumivu makali chini ya kitovu hadi sehemu za siri kwa mjamzito wa miezi 8

    Nawasalim kwa jina la anayetupa uhai, nianze kwa kusema tuu, ni mjamzito wa miezi 8 na wiki mpaka sasa, hivi karibuni nimeanza kuhis maumivu makali yanayoanzia chini ya kitovu mpaka sehemu za siri, naomba kuuliza, jee ndo mambo tayari au kuna vinginevyo, na kuanzia wiki ya ngapi naweza leta hiki...
  4. le madame

    Kuhisi maumivu eneo la matiti

    Salaamu zenu wakuu, Msaada kwa hili ninalopitia sasa, yaaani nahisi maumivu makali katika matiti kwa muda wa mwezi sasa, ukibonyeza katika nyama za kifuani, (sio kwenye chuchu). Ukitembea yakitikisika tuu kosa. Wadau, Mwenyezi kujua chanzo na namna ya kulitokomeza anijuze! Natanguliza...
  5. le madame

    Hodihodi

    :cool:
Back
Top Bottom