Search results

  1. N

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Kisarawe nije Dodoma Manispaa.Idara sekondari Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  2. N

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta MTU wa kubadilishana naye..Niende Dodoma Manispaa aje Halmashauri ya Kisarawe..Ni PM
  3. N

    Du ,ama kweli wanaume tunamajaribu makubwa

    Hakuna kitu hapo...Siku ya Siku hata ukitembea na mwanamke kichaa utako***joa....na ndo lengo.. #uT_izaK_apaH
  4. N

    Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

    dah Weka akiba ya maneno.....Enzi hizi Mbatia CCM Siku hizi shujaa na Mpinzan wa kweli......
  5. N

    Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

    Wimbo mzuri...BT Idea ni wimbo wa mike t alimshirikisha mad ice.....
  6. N

    Je Civil Engineer Naweza soma CPA?

    Salam, Wakuu..Mimi ni Civil Engineer, Mwenye kujua utaratibu je nitaanzia level ipi ili siku nije kuwa na CPA?naombeni ufafanuzi.
  7. N

    CUF kupewa majimbo 35, NLD 5, NCCR Mageuzi 15 ni haki?

    Sio haki mkuu..cha kukusaidia kunywa sumu uikomoe UKAWA
  8. N

    Msaada: Tiba ya maumivu ya miguu kwa mgonjwa wa Kisukari

    Hi Jf, Mama yangu anasumbuliwa sana na miguu na pia ana Kisukari. Tushampeleka baadhi ya Hospitali na baadhi ya dawa katumia lakini hazijamsaidia. Naombeni msaada kwa ushauri wenu. Nawashukuru
  9. N

    Nitamshangaa sana mwanachama yeyote wa CHADEMA atakayempinga Rais wa Burundi

    Tatzo la wanachadema wanaendekeza ushabiki badala ya uhalisia..
  10. N

    Mahudhurio kati ya mkutano wa Mnyika CHADEMA & Zitto ACT-Wazalendo

    Bosi wako anajua kazi unayofanya huku? Nenda kachukue buku 7 dully
  11. N

    Ripoti ya Ukaguzi: Vyama vya CCM, CHADEMA vyapata hati zenye mashaka

    Chadema ni janga lingine kama CCM. Saccos hyo Slaa huwa anakopa hela
  12. N

    Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

    Ukitaka ugomvi na babu bomba muulize ana umri gan..Hahaha hapo lazima arushe ngumi
  13. N

    Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

    Leo mmemkomalia sana babu bomba
Back
Top Bottom