Search results

  1. R

    IT wa Tanzania ni "copy-paste" wasioweza kubuni; wanafunzi na wahitimu wote wameshindwa kutengeneza mafaili ya VPN free net?

    mpaka walimu ni vopy paste notes copy paste ast pqpers wanafunz wanaoreview paperw ndo vichwa na co wanaoelewa
  2. R

    Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

    bandari baba bandaro muhimu landq nagamoyo
  3. R

    Mpaka sasa Umejifunza nini kuhusu Maisha?

    maishq hayqna formula
  4. R

    Ruler za Pica naweza kuzipata wapi kwa Dar es Salaam?

    mkuu unazingua builders center hawana kabisa izo ruler
  5. R

    Ruler za Pica naweza kuzipata wapi kwa Dar es Salaam?

    shida ni usafir kuileta huku bongo yaani siamin bongo nzima hamna hizo ruler nimeenda builders center tabata matumbi sijaipata
  6. R

    Ruler za Pica naweza kuzipata wapi kwa Dar es Salaam?

    Habari wadau, Natafuta ruler za pica nimezunguka nimechoka sasa naomba msaada hz ruler unaweza kuagiza kutoka nje shida gharama sn adi ije ikufikie ni kama laki hivi nataka niitumie kwenye design.
  7. R

    Mungu Yuko wapi?

    Hatutaki tunataka evidence zilizo clear
  8. R

    Mungu Yuko wapi?

    huu mjadala auish leo na hauna jibu la moja kwa moja inasemekana hata malaika wenyewe hawajawah kumuona MUNGU so sokution in evidence tuanzie hapo mwenye evidence yoyote mfano hai kabisa unaoashiria M7NGU upo aje hapa
  9. R

    Mungu Yuko wapi?

    umejibu vyema sn kisa wengi wanaamin na sisi tuamin kisa sisi ni wachache basi hoja yetu haina mashiko we need the truth ukienda kanisan kila ukiuliza swali majibu wanatoa katika kitabu kilichochapishwa na binadamu na bado wakatulazimisha tuamin kile kitabu k8meandikwa na MUNGU mm npo apa...
  10. R

    Mungu Yuko wapi?

    NIMESOMA HILI BANDIKO huku nikiwa natetemeka na wadau wengi wamekuwa wak8mkashfu jaman punguzen mihemko twende mshikaji yy anataka kumuona MUNGU Sssa hapa naomba tumsaidie na si kumkashifu tu iko hv kwenye kuamin kitu kipo ni mawil moja ukione au upate evidence za kuaminika mfano...
  11. R

    Je, upo uwezekano mtu mzima above 32 year kuota jino baada ya kung’olewa?

    impkants na meno ya plastic ni very dangerous unaweza pata infection kwenye mfupa wa taya ntuongelee real teeth
  12. R

    Je, upo uwezekano mtu mzima above 32 year kuota jino baada ya kung’olewa?

    sema i have no idea organ ndogo km jino ishindikane ata kupandikiza sidhani just imagine today people can change their heads why not uo ni ukomo wako wa kufikiri
  13. R

    Je, upo uwezekano mtu mzima above 32 year kuota jino baada ya kung’olewa?

    huku iactivate system inasemekana km unataka liote kuna baadh ya vyakula uache ikiwemo sukar na maharage
  14. R

    Nataka niwe mchawi msomi pasipo haya, je inawezekana?

    American Ninja upo mkuu uje huku
  15. R

    Je, upo uwezekano mtu mzima above 32 year kuota jino baada ya kung’olewa?

    Habar wadau !!! Nimejaribu pitia majarida kadhaa uko mtandaoni zipo tafiti nyingi zinafanywa na wanasayansi kujua km upo uwezekano wa mtu mzima kuota meno km ilivyo kwa viumbe km papa.mamba nk inasemekana kuwa ili jino liote itahitajika stem cell katika fizi ili ikuwe na kuwa jino zipo...
Back
Top Bottom