Search results

  1. S

    Balozi Kairuki usiwe kasuku wa propaganda wa Serikali ya China

    Tatizo hapa ni kwamba kuna watu walitaka kuigeuza issue hii kupata kiki ya kisiasa-ACT walitoa mpaka Press Statement on the matter. Sasa hatua zilizochukuliwa na Mabalozi kushughulikia suala hili na mrejesho uliotolewa na Balozi Kairuki umewafanya waliokuwa wanataka kuidandia kuinanga Serikali...
  2. S

    An open letter to the Chinese ambassador in Tanzania

    Barua ina hoja za kufanyiwa kazi
  3. S

    Tuwaokoe Watanzania China tusisubiri matanga

    Ni muhimu kusoma kwa umakini tamko la WHO lililotolewa leo juu ya hatua za kufanya https://www.who.int/news-room/detail/30-01-2020-statement-on-the-second-meeting-of-the-international-health-regulations-(2005)-emergency-committee-regarding-the-outbreak-of-novel-coronavirus-(2019-ncov)
  4. S

    Tuwaokoe Watanzania China tusisubiri matanga

    Si vema kutafuta umaarufu wa kisiasa katika masuala ya msingi yanayohusu afya za binadamu. Msingi wa Bwana Suphian Juma ni mawasiliano aliyodai ameyapata kutoka kwa mwanafunzi mmoja. Asichojua ni kwamba Serikali nayo inapokea hourly reports kuhusu hali ya ugonjwa huo kutoka Ubalozi wa Tanzania...
  5. S

    Madai haya ya Zitto kama ni ya kweli, basi hii ni moja ya sababu kwanini sisi ni masikini na tutaendelea kuwa hivyo

    Ukweli ni kwamba Malaysia walichukua mbegu za michikichi kutoka nje mwaka 1848 kutoka Duth East Indies (Indonesia) na Mauritius (wakati huo ikiitwa Bogo). Ufafanuzi huu umewahi kutolewa mwaka 2013 kufuta madau kama aliyotoa Zito, ambayo yamekuwa yakitolewa na Baadhi ya watu Nigeria kwamba...
  6. S

    Mnaotetea Rais Magufuli kutohudhuria mikutano mikubwa ya kimataifa someni hapa

    Ningependa ku comment kwenye issues ulizo raise lakini kwa kukosa muda nijielekeze tu kwenye kutoa ufafanuzi wa hizo picha zilizokwenda viral (incase hakuna aliyetoa ufafanuzi already- Picha ya Makamu wa Rais ni ya bilateral talks na kampuni moja; wakati picha ya Uhuru Kenyata ni ya business...
  7. S

    Je, TISS mnawashauri nini Watanzania ikiwemo watumishi wa Serikali hasa baada ya CIA, FBI NSA nk kugutuka?

    Ndege aina ya Mbayuwayu huimba "Za kuambiwa, Changanya na Zako"..... walichokisema hao wakuu wa vyombo vya Marekani walikuwa wanaangalia maslahi yao zaidi..... na sio lazima maslahi ya Marekani yawe ni maslahi ya Tanzania na pia sio lazima threat kwa marekani iwe ni threat kwa Tanzania...
  8. S

    Mapinga, Bagamoyo: Rais Magufuli azindua kituo cha mafunzo maalum ya kijeshi

    Hicho ni kituo cha mafunzo- kwa lugha nyepesi ni shule ya kufundishia wanajeshi wetu...... hakuna cha kuhofia kwamba kwanini tumejengewa....hakuna siri kuu ya kuficha- ni mafunzo tu...Wachina hawakuanza leo kutoa mafunzo kwa jeshi letu.... tangu mwaka 1964 jeshi tulilorithi kwa mkoloni...
  9. S

    Tuwe makini na mkopo na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo

    Pascal ni vizuri ukaelewa maana ya Exim Bank- ni EXPORT-IMPORT Bank- ukiachilia hii iliyopo Tanzania ambayo ni private na ni commercial Bank (hiyo Exim kwao ni business name tu) EXIM nyingine kwenye nchi nyingi ni MALI ya Serikali na ni Policy Bank ambazo zimeanzishwa mahususi ku promote...
  10. S

    Tuwe makini na mkopo na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo

    Changamoto kubwa tuliyonayo watu wengi ni fikra za kwamba kila jambo la maana linalofanyika "tunaibiwa". Wakati unaibiwa unakuwa umelala wapi? Kuhusu bandari ya Bagamoyo- theory yako hai apply kwasababu Serikali haikopi hata senti moja kwa ajili ya ujenzi wa Bandari pamoja na eneo la viwanda na...
  11. S

    Rais Magufuli amechukua tahadhari gani kwa China-mkoloni mamboleo?!

    Tatizo letu kubwa ni kukimbilia mijadala yenye ajenda za watu pasipo kuuelewa muktadha wa jambo lenyewe. Ni wazi kwamba Makala hiyo kuhusu SRI LANKA imeandikwa na mwandishi kutoka nchi za magharibi akitaka kuonyesha Wachina wabaya, waporaji wa mali kwa mgongo wa madeni – ndio wakaiita DEBT...
  12. S

    Kwa mara ya kwanza Africa CT Scan, MRI, X RAY Scan kuanza kuzalishwa Afrika Mashariki

    Hili ni jambo jema kwa nchi yetu. Neusoft is an emerging chinese brand katika Medical Imagery kama ilivyo Huawei kwenye Telecom. Wanaingia kwenye industry iliyokuwa controlled na wakongwe ulimwenguni akina Philips na Siemens (iliyocapture soko la Ulaya, Asia na Afrika) na General Electric...
  13. S

    Mahojiano ya Msigwa na Lema KTN: Serikali iongeze msisitizo kwenye somo la Kiingereza

    Concern yangu sio lugha bali content. Wametuaibisha kama Taifa. Shadow Foreign Minister ameonyesha kuwa na uelewa mdogo sana wa masuala ya region na mechanisms zilizopo ndani ya EAC kama EACJ etc Pili, kuongelea negatively heads of State wa nchi nyingine wakati hawakuwa subject ya mjadala...
  14. S

    Rais Magufuli aishukuru Japan kwa kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Mwenge-Morocco

    Jamani yote ni sahihi. Ni hivi- Serikali ya Japan ilitoa msaada wa kujenga barabara ya Morocco- Mwenge toka mwaka 2014... mkataba wa msaada huo ulisainiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha. Hata hivyo toka kusainiwa kwa Mkataba huo, Serikali ya Japan ilishindwa kupata mkandarasi wa kujenga...
  15. S

    Kairuki: Walimu wa sanaa hawataajiriwa

    Waziri amesema 2016/17 hadi sasa serikali imeajiri nafasi 9,721 na siyo elfu 90 kama ilivyoripotiwa
  16. S

    Bilioni 18.77!!

    Matumizi kwenda Elimu sio Mzigo Bali ni Uwekezaji Wenye Tija kwa Taifa lolote. Wahenga walisema "If you think Education is Expensive, Try Ignorance". Unaongelea Elimu Haikidhi Viwango, ni sawa, maana yake itabidi kuspend zaidi ya hizo Bilioni 200 zinazokutoa roho. Tunaelekea huko kwa kadri...
  17. S

    Tembo aliye chumbani hazungumziwi, je tutafika?

    Ndio kusema hatua anazochukua Rais hauzioni? Au kwakuwa anatoka CCM unafumba macho kuziona na kukubali kwamba anasafisha nchi. Kazi ya kusafisha sio lele mama, sio rahisi, ina machungu mengi. Hatuwezi kutaka mabadiliko,hapo hapo yanapotokea tunalalamika
  18. S

    Tembo aliye chumbani hazungumziwi, je tutafika?

    Kwahiyo maadili yakipotea, Serikali isishughulikie kunyoosha mambo?
  19. S

    Tembo aliye chumbani hazungumziwi, je tutafika?

    Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano amepokea taarifa ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma. Kwenye taarifa hiyo imethihirika watumishi elfu tisa 9000 walikuwa na vyeti vya kufoji.... Kwa jamii ya watu makini,ingetegemewa uwepo mjadala mzito uliosheheni masuala ya msingi kama vile: 1)...
  20. S

    Rais Magufuli, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinapaswa kuwa na kozi za Afya

    Dhana yako ya kubeba wanafunzi wachache katika nchi yenye upungufu mkubwa wa madaktari haina tija. Thinking yako ni ya kizamani ya kutana madaktari muwepo wachache ili mji overvalue kama miaka ya 1980. Inaonekana wingi wa madaktari unakutia hofu ya usalama wa mkate wako. Changamoto unayoiongelea...
Back
Top Bottom