Na ulipata mishindo miwili kwa kuwa mshindo wa kwanda uliukatiza kutokana na kushtuka ila ungelirelax na kufurahia kilichokuwa kinaendelea ungemaliza kuzitoa mbegu zote na mfuko wa mbegu kubaki empty. Ila kwa vile ulishtuka na kukatiza mbegu zisiendelee kutoka ndomana upipopata usingizi...
Hiyo ni hali ya kawaida, ndo njia Mungu alitupatia wanaume kutoa mbegu zilizozeeka na kuruhusu nafasi ya mbegu mpya. Kama hujaona na si mzinifu hali hiyo itakutokea mara moja au mbili kwa mwezi. Nikama ilivyo hedhi kwa wanawake Kama hajabeba mimba, yai lilulozeeka hufa na kutoka nje kwa njia ya...
Si yameongezeka masaa mawili kufidia muda uliopotea na kufutwa likizo. Maana July likizo ndefu ya mwezi mmoja imefutwa, September wiki mbili zimefutwa na December wiki mbili zimemegwa jumlisha masaa mawili ya ziada. Hivyo ni haki kabisa kulipa ada ya mwaka mzima
Mimi kijijini kwetu katika mkoa wa Songwe kuna jamaa ni mtu wa kujituma kufanya kazi na ana biashara zake za kununua na kuchinja ng'ombe hivyo mshiko anao ambao umemwezesha kuwa na wake wanne.
Alinunua ng'ombe wa kisasa wa maziwa na kuwafuga ili familia yake isipate shida ya maziwa na kuongeza...
nadhani hupati mudawa kuangalia vyombo vya habari vya nchi nyingine, mara ngapi wameonyesha maishi ya watu huko New York greda linachimba shimo na maeneza kupangwa kaa vile wanajenga ghorofa?
Angalia trend ya maambukizi ilivyoanza taratibu sana Sauth Africa mpaka waliamini kuwa wanaelekea kushinda maana iliwachukua zaidi ya mwezi mmoja kufikia idadi ya maambukizi 1000 wakati hivi sasa hiyo 1000 ni idadi ya maambukizi ya siku moja tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.