Search results

  1. mwanawao

    Baada ya teuzi mpya Makonda kapanda cheo au kashuka?

    Kwenye hela za kuchota ndo wapi huko?
  2. mwanawao

    Maisha ya Lowassa ni funzo kwa midomo michafu ya wanasiasa wa Tanzania

    Natamani kama aliacha kitabu chochote kama kumbukumbu ya maisha yake,
  3. mwanawao

    Kwanini Serikali isiweke utaratibu wa watoto wa nursery na daycare kuingia saa 3 asubuhi?

    Kuna changamoto kubwa sana ya watu kutofautisha kati ya International schools na English medium! Wengi wanasomesha watoto wao English medium wanahisi wapo International schools
  4. mwanawao

    Nahisi mke mwenzangu anachepuka

    Mkuu unaangaliaje hii kitu please!!
  5. mwanawao

    Unawaongezea wananchi gharama za maisha halafu useme wakuchague ukaumize tena CCM mmekuwaje?

    Akikujibu nitag, tukiwaambia katiba mpya inahitaji wao ndo wa kwanza kupinga!
  6. mwanawao

    Tetesi: Congo DRC na Burundi wanadaiwa wapo mbioni kuivamia Rwanda

    Story za vijiweni ndo unaleta huku, endelea kuuza ghahawa shehe,,
  7. mwanawao

    Tetesi: Congo DRC na Burundi wanadaiwa wapo mbioni kuivamia Rwanda

    Upuuzi mwingine utafikiri umekunywa pombe za kienyeji,
  8. mwanawao

    Kigogo wa Polisi Arusha adaiwa kukodi majambazi wamuue mumewe, wamkatakata kwa mapanga

    Hiv nyie watu mna matatizo gani na wachaga? Hizo chuki zinatokea wapi? Hapo taarifa ni za Wameru lakini wachangia kama wachaga wanatoana roho!! Acheni chuki za kijinga!!
  9. mwanawao

    Polisi: Vijana wawili waliouawa Vingunguti, Dar ni Panyaroad

    Vibaka majambazi piga tu chuma za kichwa hamna namna, ukimbembekeza jambaza atakufanya hamna, Mwendo huo huo mpaka wapotee wote
  10. mwanawao

    Vingunguti: Watu wawili wauawa kwa kupigwa na risasi

    Kama unajua hatuzungumzii haki kwenye mahakama kinachokusukuma kusema watu wapelekwe nn?
  11. mwanawao

    Vingunguti: Watu wawili wauawa kwa kupigwa na risasi

    Tanzania hamnaga mahakama, kutakuwa na mahakama siku zitatengenishwa na mhimili wa siasa!!
  12. mwanawao

    Kuhusika kwa Jeshi la Polisi vifo vya vijana wawili, tunataka uchunguzi huru

    Dawa ya wezi/ majambazi ni risasi za kichwa!! Siyo watu wa kuonea huruma hata kidogo ukicheka nao wataendela kuumiza watu wengi sana!! Wengi wenye hizo tabia wakipigwa za kichwa hata wanaoshirikiana nao au wenye hizo tabia au wanaotaka kufanya huo ujinga wataacha!!
  13. mwanawao

    Vingunguti: Watu wawili wauawa kwa kupigwa na risasi

    Kama ni wezi hakuna cha huruma maana hata wao wezi wanaumiza wengi!! Mwizi siyo wa kumhurumia, dawa ni kupiga risasi tu!
  14. mwanawao

    Jiji la Arusha lisubiri sana kwa Dar Es Salaam

    Wewe ukiangalia thread yake ameandika asubuhi? Mimi ndo nimecomment asubuhi, yeye kaanzisha mada 0358hrs, hii ni asubuhi au alfajari?
  15. mwanawao

    Jiji la Arusha lisubiri sana kwa Dar Es Salaam

    Upuuzi mtupu kuwaza kushindanisha mikoa kila siku!! Hizi ni akili au matope,??? Alfajiri yote hii unawaza ujinga, badala ya kuwaza namna kuikomboa nchi yako!!? Wewe Dar au Arusha, au Mwanza au Lindi au mkoa mwingine wowote umejenga magorofa mangapi? Na aliyekuambia Simiyu inashindana na...
  16. mwanawao

    Ni Tanzania pekee kuna mgao wa Umeme kwa sasa Afrika nzima

    Doto kinamshinda nn kuondoa hiyo mizizi? Mpaka na Unaibu Waziri mkuu kapewa? He has all powers!!! Mbona uchafu ni ule ule tu!!
  17. mwanawao

    Ni Tanzania pekee kuna mgao wa Umeme kwa sasa Afrika nzima

    Sasa Makamba hapo katoka wapi? Doto si ndo Waziri wa Nishati atueleze nn kinaendelea?
  18. mwanawao

    Ni Tanzania pekee kuna mgao wa Umeme kwa sasa Afrika nzima

    Sasa Makamba hapo katoka wapi? Doto si ndo Waziri wa Nishati atueleze nn kinaendelea?
  19. mwanawao

    Ni Tanzania pekee kuna mgao wa Umeme kwa sasa Afrika nzima

    Kwa kweli wafanya tu hata hiv itasaidia sana!! Haya mateso wanayowapa Watanzania hayafai kabisa!! Wabnafishe tu hilo li Tanesco halina dhamani tena wameshindwa kabisa kujiendesha!! Na muhimu waigawe vipande vipande kama proposal yako uliyotoa, hata ikiwezekana kila Wilaya wawe na kampuni yao...
Back
Top Bottom