Hata huyo anayeyataka kumpeleka nje kwa mpango ule wa watoto wa Vincent sina imani naye. Chadema msimwamini mtu ye yote kwa sasa mtajuta. Tuchangisheni hivyo hivyo tutamudu na Mungu atatusaidia.
Msigwa kaondoka Nairobi ninaomba na Mungu awaongoze muwe makini na wanaomuuuguza Mhe Lissu
Umenena! Ni kweli kabisa Makonda amtaje Agnes Masogange ili naye amtaje aliyempa mzigo wa kilo 150 kupeleka Sauzi. Wakati huyo PM alikuwa damu damu na rz
Yote ni mapito mwishowe ni faraja Lema, usiogope Mungu ya pamoja nawe! Mandela alifanyiwa zaidi ya haya kwa miaka 27 namwishowe alikuwa shujaa wa dunia nzima. Pambana nao!!!!
Hata UDSM ni lazima kiandikwe na kiambishi Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam. Mawazo yako yalikuwa sasa zamani kilipokuwa kweli chuo kikuu pekee lakini kwa sasa kimebaki stori tu - yaani umri mkubwa kikilinganishwa na vingine. Hata wanaohitimu hapo ukiwafuatilia taaluma zao ni "half-cooked" graduates
Wa kuwajibika ni serikali ya CCM inayoweweseka na mafanikio na nguvu za kisiasa walizo nazo CHADEMA. Aliyetutambulisha Nape kama mtoto wa nje ya ndoa, tunashukuru. Nimefuatilia habari hii na kugundua kuwa baba yale mzazi (biological father) ni waziri mmoja asiye na wizara maalum.
Tatizo la...
Hivi baada ya kuona mwenzake amechukuliwa na watu ambao hata yeye huyo daktari mwenzake hakuwajua, sasa huyo rafiki alifanya nini? Alikaa kimya hadi asikie akitafutwa na polisi baada ya Ulimboka kuokotwa na msamaria mwema? Haiingii akilini nimwone rafiki yangu amechukuliwa kiaina na watu ambao...
Quote "I guess kesho habari kuu kwenye media ni madaktari wasitisha mgomo na kurudi kazini,. anayebisha tu bet!!"
Uko sahihi kamanda wangu. Ni kweli MAT wametangaza muda mfupi ulipita kuwa mgomo umesitishwa rasmi baada ya kukutana na Rais na kujadili naye mambo kadhaa kwa kina na mwisho wa...
Mwizi na hijab au mavazi mwngine yo yote hawana uhusiano. DC alikuwa katika kikao cha kisiasi tena kwenye eneo la chama pinzani - akifanya nini? Hili ndilo muhimu. Kama hijab ilivuliwa au la, hilo si kipaumbele. Kipaumbele ni demokrasia katika chaguzi zetu.
Kibanda siyo kama alimaliza UDSM 1994, bali ni Juni 1995 na akagraduate November 1995. Nilisoma naye kwa miaka yote minne aliyokuwa akisomea shahada yake ya kwanza. Ni mwalimu kwa taaluma. Sasa huku kwenye uandishi wa habari sijui aliingiaingiaje kwa sababu alisoma ili awe mwalimu wa shule za...
Orodha inachelewa kweli - subira inanishinda. NI vema tukajua mapema ili tuanze kuassess maoni na tambo za CCM baada ya kuipata list ya mafisadi wao. Kama na wao wanawajua wa CHADEMA wangeanika ili tulinganishe
Kuhusu kushinda kwa CCM, mambo yote yaliwekwa hadharini na ripoti ya Timu ya Nchi za Ulaya. Inapatikana kwenye mtandao. Waangalizi hawa wanasema wazi kuwa kura za urais ziligubikwa na sintofahamu pale Tume ilipohesabu peke yake bila kuruhusu wakala au waangalizi wo wote kushuhudia idadi hiyo...
Nape wamempa chaka hili wakifikiri kwa vile ni kijana basi kasi yake itakwenda sambamba na ya vijana wa CHADEMA - wanajidanganya! Vijana wa CHADEMA wanakwenda kufuatana na itikadi, mfumo na utendaji kazi wa chama chao. Nape, umetoswa na hasa kwa vile wewe na Lowassa hamuwivi. Si unakumbukaaaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.