Search results

  1. C

    Serikali ya Tanzania yapiga marufuku vitabu vya SHAABAN ROBERT

    WAZIRI KIVULI WA ELIMU naye hana habari...haa kuuliza hataki
  2. C

    Serikali ya Tanzania yapiga marufuku vitabu vya SHAABAN ROBERT

    Kama JF ingerudi back to its roots tungepata mpaka VIMEMO toka kwa waloopeleka pale Mwenge/Mikocheni...kwenda wizarani cha ajabu hakuna consultation iliyofanyika wao wamejiamulia tuuuu slaumu watu wa serikali au mitaala nalaumu JAMIIFORUMS ambayo sasa imeacha kumulika haya mambo sasa kila...
  3. C

    Report Card ya Meya wa Ilala: Jerry Silaa

    hivi kweli kasema anaondoka madarakani mwakani?
  4. C

    Serikali ya Tanzania yapiga marufuku vitabu vya SHAABAN ROBERT

    Wakati mnabishana humu kuhusu CHADEMA na CCM na nani ana watu wengi kwenye mikutano ya siasa.....Hivi mnajua kuwa vitabu vya Shaaban Robert vimepigwa marufuku mashuleni? Tunahitaji news zenye interest na watu na sio hizi siasa za maji taka ambazo hazina maslahi ‘Killing’ Shaaban Robert...
  5. C

    Lissu awalipua mawaziri, wabunge kwa unafiki wao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii

    hivi huko usa na ulaya mambo ni hivi pia au?
  6. C

    Rais Kikwete amteua bwana Sisco kuwa Balozi

    mmwanakijiji.........
  7. C

    Marekani kuhamishia shughuli zake Tanzania kutoka Kenya!

    bora wangefunga kabisa ubalozi wenyewe hapa ya nini kuleta hii attention ambayo hatuihitaji?
  8. C

    Jumuiya ya Wazazi/CCM Yamfukuza Mmoja na Kuwasimamisha Wengine Wawili!!

    lakin viongozi wa CCM UK wako pale pale pamoja na wizi wa milioni 400 wizi ambao kamat zote za CCM inajua haki iko wapi?
  9. C

    Ulimwengu: Sisi ni wafuasi wa Mangungo, si Nyerere!

    pia nimependa hii ya kusema ukweli kuwa Nyerere si mungu mtu na hatuhitaji kumfuata (ila nashangaa hajamtaja Karume )
  10. C

    Ulimwengu: Sisi ni wafuasi wa Mangungo, si Nyerere!

    kwa nini waandishi vijana na mahiri kama akina Manyerere Jacton, Juma Pinto na wengineo hawaandiki lulu kama hizi za Ulimwengu? Tatizo la Ulimwengu utalona humu JF na michango ya watu ilivyo kuwa narrow minded na matusi kwa sababu watu hawataki kukubali kuwa wengine wana misimamo tofauti ya yao
  11. C

    Serikali wasaidie Samvulachole na Kisalawe Wanateseka

    kama kisarawe hali iko hivi huko rufiji kukoje?
  12. C

    Serikali wasaidie Samvulachole na Kisalawe Wanateseka

    mkimteka mbunge wenu media itakuja tuu huko na media ikija zitafuata na barabaraba na listi ya mengineyo
  13. C

    Serikali wasaidie Samvulachole na Kisalawe Wanateseka

    mleta mada acha uvivu wa kufikiri kwani huyo KINANA na JK watakuja bila kualikwa? CCM PWANI IKO WAPI? MKUU WA WILAYA YUKO WAPI? SERIKALI YA WILAYA IKO WAPI? MBUNGE WENU YUKO WAPI? WENYEWE MKO WAPI?
  14. C

    TAHADHARI: Ugonjwa wa 'dengue' waingia Dar es Salaam!

    magonjwa ya kimasikini haya
  15. C

    JK awasili DRC ziarani, kisha ataelekea Angola

    For the first time jk kashemsha kwenye kupiga pamba hata kama kaambiwa na mnukuzi avae casual this time bosi umechemka
Back
Top Bottom