Search results

  1. S

    Siri nzito uteuzi wa Dr. Hamis Andrea Kigwangala kuwa mgombea wa ubunge jimbo la Nzega

    Wana JF, tusidharua hii thread iliyoanzishwa. Mimi naamini kuna ukweli ndani yake kwa watu wanaomjua Mh. Hamis Kingwangwala wanajua nimpiganaji haswa wa maslahi yake. Yuko tayari awauze watu wake ili apate fedha. Huyu mheshimiwa wakati enzi zake za urais wa DARUSO muhimbili chuo cha madaktari...
  2. S

    Ngeleja Apiga stop Maandamano Nzega ya kupinga uwepo wa Mgodi

    Dr, good job. We tafuta umaarufu kama wakati muafaka kama huu unajitokeza. Huo ni umaarufu mzuri hivyo usiachie nafasi hiyo.
  3. S

    Nini kinachofanya JK asiteuwe RC mpaka leo??

    Kinachonisikitisha ni kwamba rais wetu mwenyewe aliahidi kuwa kabla ya mwaka 2011 haujatimia angeshafanya uteuzi huo. Hii inadhiirisha ni mwongo au sijui ni mtu ambaye sio mtimiza ahadi(unreliable president). Mbaya zaidi hata kama aliahirisha kutea baraza basi angewataarifu wananchi why? Huo...
  4. S

    Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

    Haya ndo yale niliyoyasema! This is a new chapter which i'l change the history of TZ na kuwa NCHI YA VURUGU!
  5. S

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Ndugu Masonjo, je matukio yapi makubwa unayoyaongelea? Kwangu mimi ni tukio kubwa sana viongozi wakuu wa chama cha siasa cha upinzani kupigwa na kuwekwa ndani kinguvu, tena chama chenyewe cha upinzani ambacho ni cha ukweli ambacho bado kina machungu ya kuchakachuliwa kura! Bisha usibishe hii ni...
  6. S

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Viongozi wa CCM wanaochochea uvurugaji wa amani wakumbuke kuna mahakama ya kimataifa inawasubiri! Hakika mtajibu mashtaka mbele za haki!
  7. S

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Inavyoelekea leo CHADEMA walitaka tupa bomu kama walilotupa Mwembe Yanga , "THE LIST OF SHAME". Nadhani litakuwa la DOWANS! Kwasababu najiuliza kwanini leo polisi watumie nguvu zote na kuwakamata viongozi wote wa juu wa CHADEMA? Vyovyote vile CCM wamefungua chapter mpya kabisaa ambayo...
  8. S

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Ndugu Macheda ningependa nikupinge. Dr Slaa ni kiongozi ambaye sio mwizi, dhulumati, anachumia tumbo, mbambaishaji na asiye na nia ya kweli na nchi hii. Kama huamini toa ushahidi kuonyesha ushahidi unaothibitisha ana moja ya mambo hayo matatu! Na ndio maana umeona watu wengi wamejitokeza...
  9. S

    T-shirt za dr slaa

    Nadhani hii idea ni nzuri sana, na itasaidia kukiongezea chama mapato, kwani t shirts zitapata wateja wengi sana coz watu wengi wampenda sana Dr. Slaa kwani ndie mpigania wanyonge wa kiukweli kati ya wachache waliobaki na asiye na tamaa. Basi tunakiomba chama cha CHADEMA kizichapishe hizo...
  10. S

    Tutaandamana bila kibali cha Polisi ifikapo Jan 5 - Slaa

    Hivi we genius brain hivi kweli dola ikifanya upuuzi haistahili kuguswa? Hata kama ina nguvu na inavunja sheria inamaanisha isiguswe, isikosolewe na watu wasiidai haki kwa kuwa ni dola tu?
  11. S

    Slaa ni living nyerere!!!

    Ni kweli kabisa Dr. Slaa hakuna kama yeye, si mbinafsi, si mnafiki , hana tamaa! Yuko tayari kufa kwa ajili ys nchi yake.
  12. S

    Jengo walilopanga CHADEMA kama Ofisi, Mtaa wa Ufipa Kinondoni ni la Nani na kodi yake ni kiasi gani?

    Jamani mi nadhani kama sijakosea hizo milioni 150 according to wishes za mfadhili ni kutumika kujenga chuo cha maadili. Tusikiuke wishes zake, CHADEMA itakuwa ime misuse funds kwani ni kinyume la lengo la mfadhili. Hata siku nyingine watajikosesha misaada zaidi. Hili ndo tatizo kubwa la ugomvi...
  13. S

    Zitto, Arfi, Shibuda kujadiliwa Kamati Kuu...

    Jamani tuacheni ubishi. Zitto hafai tena CHADEMA! Matendo yake ni ya kisaliti! Kupeleka umbea usalama wa Taifa, kutaka urais, kununuliwa na kina EL & RA, kutoa siri za vikao, kupinga maamuzi ya vikao n.k. Jamani haiitaji even a simple common sense kujua Zitto hafai, yote mazuri aliyofanya haya...
  14. S

    Siyo siasa lakini kuna ukweli wowote hapa?

    Mkuu hii article yako sio forum yake hapa!
  15. S

    Chadema na slaa mbona mnatuangusha? Changamkeni !!

    Ndugu sikonge sawa sikatai CCM imeshika media zote, lakini hivyo vitu si tungeviona basi hata kwenye gazeti la Mtanzania Daima. Je mbona mambo mengine yanayotokea CHADEMA mazuri kwa mabaya yanarushwa na media zote? CHADEMA tusiwatetee, kweli wakae chini waanze kujipanga na kuhamasisha wananchi...
  16. S

    Waliowahi kushika nafasi ya mwenyekiti wa chadema taifa...

    CHADEMA ni Slaa, na Slaa ni CHADEMA! Wabunge wengi kuchaguliwa imetokana Slaa kugombea urais na kukubalika kwake! Mbowe kila mara alipogombea idadi ya wabunge mbona haikupanda? Embu leo Slaa atangaze anaondoka CHADEMA uone watu watakavyomfuata. Lakini hakijaharibika kitu, Mbowe nae ni mpiganaji...
  17. S

    Rais Anapoacha Kuhutubia Siku ya Uhuru......Inaashiria nini?

    Labda angedondoka hivyo labda alishauriwa na daktari wake asihutubie!
  18. S

    Chadema na slaa mbona mnatuangusha? Changamkeni !!

    Hakuna siri wala ubishi kwamba CHADEMA ndio chama cha upinzani cha ukweli kilichobaki na ndio tumaini la Watanzania wanyonge ambao ndio sehemu kubwa ya Watanzania katika kuwakomboa na hali mbaya ya maisha. Kinachonifanya nitoe dukuduku langu ni kuona kama CHADEMA na Dr. Slaa wamejisahau sana...
  19. S

    Aliyemfuata Rais Kikwete Ikulu apokewa kishujaa..................

    Yaani mtu ananpanda baiskeli kwenda kumpongeza mchakachuaji kwa uwizi wake wa kura! What a waste! Zitakuwa ni propaganda za CCM kutaka kumfanya JK aonekane anapendwa. Machungu ya kuibiwa kura CHADEMA bado ndo kwanza yanaanza!
  20. S

    Mfungwa akutwa na jinsia mbili - TUJADILI, TUTAFAKARI, TUCHUKUE HATUA

    Kwani sheria imekiukwa wapi? Kiutaratibu anatakiwa afanyiwe counseling na watu wa afya ambapo ye mwenyewe ataamua kama anakubali afanyiwe upasuaji. Akikubali anachagua jinsia aitakayo na kuweka sasahihi ambayo itaonyesha consent yake ye kufanyiwa operation. Hapa serikali isaidiacho kwa kuwa yeye...
Back
Top Bottom