Search results

  1. gasto genaro

    Pigo: Wafanyakazi karibu 200 wa Vodacom walio chini ya ISON BPO wafukuzwa kazi kwa madai ya wizi

    Kimsingi ni kwamba, hao Ison ni wanyonyaji wakubwa.. Kama wamefuata taratibu, hakuna namna... Kubaliana na matokeo.
  2. gasto genaro

    Sehemu ya maelezo ya dereva wa Lissu yanazidi kuibua maswali mengi. Polisi wamhoji hata kwa nguvu

    Taarifa yenyewe ni ya kupikwa maana chanzo hakitambuliki. Lakini maswali yako unataka kuyahalalisha yawe ya kweli kwa kutumia chanzo kisicho kweli
  3. gasto genaro

    Chai na Chapati mbili

    Huyu jamaa anaongea nn? Nilipokua mgodini, nilikua napiga chapati 6 na supu bakuli kubwa na sambusa 4
  4. gasto genaro

    Chai na Chapati mbili

    Huyu jamaa anaongea nn? Nilipokua mgodini, nilikua napiga chapati 6 na supu bakuli kubwa na sambusa 4
  5. gasto genaro

    Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    -nimesema Lissu ni adui wa taifa -nimesema spika awafukuze bungeni alafu mimi nita deal nao huku nje Leo nakwepa vipi kuwa suspect? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. gasto genaro

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Too sad aisee. Kuna wengine watafurahia Sent using Jamii Forums mobile app
  7. gasto genaro

    Wanaume wasio wanywaji wa beer wanapenda sana ila wanafiki

    Mimi sinywi na nna manzi moja tu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. gasto genaro

    Spika wa Bunge, Job Ndugai athibitisha kupokea barua ya kuvuliwa uanachama Wabunge 8 wa CUF

    Huyu professor si achukue tu kad ya Lumumba? Naona anaimendea kweli kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  9. gasto genaro

    TRA yaikadiria ACACIA deni la Tsh. Trilioni 425.4 kama Malimbikizo ya Kodi

    Dah! It doesn't make sense at all. Mamlaka ya mapato inaruhusu vipi kampuni kubwa kiasi hiko hailipi kodi kwa muda wote huo. Tuseme TRA ni wazembe au Sent using Jamii Forums mobile app
  10. gasto genaro

    Ni aibu na Fedheha kuipenda CHADEMA

    Basi eleza uzuri wa kuipenda CCM Sent using Jamii Forums mobile app
  11. gasto genaro

    Wanasheria EA, SADC, Kusini mwa Jangwa la Sahara na MAJUMUI watoa tamko kulaani T. Lissu kukamatwa

    Waache waendelee kujivua nguo hao yebo yebo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. gasto genaro

    Polisi: Lissu hatoki

    Hili suala japo si jema kabisa, ni lina faida kwa nchi maana, ccm na mfalme wao inazidi kujivua nguo ktk hii dunia. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. gasto genaro

    Polisi: Lissu hatoki

    Wewe unajificha huko ughaibuni alafu Unathubutu kukaza sehemu zako zote za siri na kusema "atanyooka tu?"
  14. gasto genaro

    Naombeni Masada Jinsi Ya Ku Root Simu Yangu FERO aula a4502

    Search Google. Acha uvivu. Simu zote za Android, unaroot kwa procedures sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  15. gasto genaro

    Tuliowashauri wasome BAED wanasota bila ajira, wa sasa tuwashauri wasome kozi gani?

    Form one ulikua unajua nini? Pengine ni alikua na degree ya mambo yanayohusika na bank tu, akakosa mishe, akaamua kujishikiza kufundisha.. Sasa hivi mambo yakamnyookea akafuata his original career
Back
Top Bottom