Search results

  1. S

    Gari Toyota Escudo Inahitajika haraka sana.

    Kuna mtu ana hiyo gari mcheki na hii namba 0652993175
  2. S

    Mtanzania adakwa na mihadarati China

    Mimi naomba at least wizara ya mambo ya nchi za nje iwe inatoa list ya picha za watanzania waliofungwa na majina yao huko nchi za wenzetu kwenye mafgazeti yetu at least kila baada ya miezi mitatu ili watu wengi wajue madhara ya kuwa punda.
  3. S

    JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

    Wazo zuri jamani halahala usalama uwe wa kutosha ukumbini hatutaki suprise tunawategemea wana forum mna mchango mkubwa kwa jamii
  4. S

    Love Tanzania festival LIVE UPDATES

    Watu walikuwa wengi jangwani parking nzuri yaani ni bomba kwa wanaopenda english gospel songs mtu akienda will never be dissapointed baada ya mhubiri palau kuhubiri akaimba don moen na akafatia nicole mullen perfomance ya nguvu yaani wanaimba nyimbo nyingi nzuri its real a festival maana baadhi...
  5. S

    Joyce Kiria: Darasa la saba tu lakini mambo makubwa

    Hongera sana Joyce Kiria kwa hatua uliyofikia, lakini cha kushangaza amekuwa anafanyakazi na media kwa muda mrefu sasa je ametumia hicho cheti tu cha darasa la saba au ana vyeti vingine, kama anavyo basi anaweza kuvitumia kujiendeleza, keep it up sky is the limit!
  6. S

    Niliingia mkenge kwenye kodi za tra-naombani msaada

    Hongera kwa kulipa kodi na pole kwa yaliyokukuta, ingekuwa vizuri ungeitaja ni aina gani hasa ya kodi uliyolipa angalia kwenye slip uliyolipia ili wadau waweze kukusaidia, kwaufahamu wangu najua kama ni Estimated tax unailipa kwa awamu nne yaani kila baada ya miezi mitatu na kunaform unaweza...
  7. S

    Ahsante mheshimiwa Zitto, lakini huyo ni mbuzi kwenye gunia!

    Simply Mtoa hoja anaogopa Baba yake atamwomba amtumie dola posho zikikatwa?????.
Back
Top Bottom