Search results

  1. Braniac

    Pata Bajaj kwa bei poa.

    Mkuu naweza kuiona vipi?
  2. Braniac

    Jk--- nitachafuka men

    Hizi comparison zingine mnazofanya hazina mantiki kabisa. Ukiangalia vizuri hizo picha za Nyerere utagundua kwamba hayakuwa matukio ya kufungua shughuli fulani bali ni mtu aliyejiandaa kwenda shamba kulima tofauti na Jakaya ambaye anafungua tu tukio na kuendelea na mambo mengine. Ushabiki kama...
  3. Braniac

    Michelle Obama ziarani South Africa( pichaz)

    Sometimes it is better to keep your mouth shut than trying to spread the venom. You know damn well that to some people hayo mavazi ni heshima kubwa kwao and yet unatoa comment kama hii????????!!!!!!!!!!!!!!! Hivi unafikiri ni kwa nini Mrs Obama alivaa hivi. Ni kwa sababu ni muelewa na anajua...
  4. Braniac

    Ni wapi naweza kupata nyama safi ya Kitimoto for the weekend hapa Dar

    Hivi kuna umuhimu wowote wa posti kama hii??
  5. Braniac

    Ni wapi naweza kupata nyama safi ya Kitimoto for the weekend hapa Dar

    Unafanya kosa lilelile, sidhani kama kuna haja ya kubeza watu hapa. Kama unapenda kula kitimoto basi wewe kula tu kwa raha zako hakuna haja yeyote ya ku-provoke watu wengine. Kama matajiri wa zanzibar huwa wanapelekewa so what?? Au matajiri ndiyo wanaokupangia wewe cha kufanya???!!!
  6. Braniac

    Watoto wa kike na baba zao

    Nakuunga mkono 100% Gaijin. Kwa malezi ya namna hii, mwisho wa siku huyo unatengeneza dume jike fulani au kwa maneno mengine unatengeneza a woman with a man's attitude.
  7. Braniac

    Wanawake Wanene: Less Successful

    First what is success??
  8. Braniac

    Wadada naombeni jibu!!!!

    Usirudi tena.
  9. Braniac

    Mabinti wanavyowafukuza Wapendwa Watarajiwa

    I like ur signature. But plz dont be a vulture.
  10. Braniac

    Kwa nini wasichana wa siku hizi hupenda zaidi wanaume walio oa

    Swali la kizushi who said unmarried men do not have monie????
  11. Braniac

    Mtoto wa mwisho hafai kuoa?

    Kwa kiasi kikubwa theories ndiyo zilizotusaidia kufika hapa tulipo. Rejea tafiti nyingi za kisayansi.
  12. Braniac

    Mtoto wa mwisho hafai kuoa?

    Kimsingi naona ni kama vile unakubaliana na mtoa mada, zaidi wewe umeongeza ukubwa wa seti kwa kuonesha aina nyingine ya wasichana ambao wanaweza kuwa wamedekezwa. Ukimsoma vizuri mtoa utaelewa kuwa anajaribu kusema kuwa wasichana waliodekezwa hawafai kuolewa, kwa kweli sina hakika sana na hili...
  13. Braniac

    Umeniharibia maisha! ...what?

    Mkuu wewe ni mwandishi? Kama sio basi ningependa kukufahamisha kuwa ninaamini una kipaji cha uandishi. Hongera sana. Kwa bahati nzuri nitawaachia ma-alwatan watoe mawazo yao katika hili.
  14. Braniac

    Waimbaji nyimbo za injili wanakera sana

    Acha kukurupuka. Una hakika Quran imebadilika??? Au unajiandikia ili ionekane kuwa kwa sababu Biblia inabadilika kutoka kipindi fulani hadi kingine basi ni lazima na Quran nayo ibadilike. Kwa taarifa yako Quran iko vilevile tangu ilipoandikwa kwa mara ya kwanza na itabaki hivyo. Usijiandikie...
  15. Braniac

    Gadaffi And Others Named As War Crimes Suspects by ICC

    Unfortunately that is how the world is run in our times.
  16. Braniac

    Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

    That is what happens when you lock opposite sexes in one building without proper precautions. The problem is bigger than Bhoke, it the whole establishment which in itself is wrong in the first place
  17. Braniac

    Waimbaji nyimbo za injili wanakera sana

    Hata kama wanasimamia huo mstari, huoni kuwa wanachemka. Maana yake kama nimekuelewa vizuri mstari unasema Daudi alimwimbia Mungu hadi nguo zikamvuka na sio Daudi alivua nguo ili amwimbie Mungu. Au labda mimi ndio mgumu kuelewa nini??
  18. Braniac

    Waimbaji nyimbo za injili wanakera sana

    Nashukuru sana kwa kutukumbusha hili jambo muhimu
  19. Braniac

    Waimbaji nyimbo za injili wanakera sana

    Sasa hapa kaswida zinaingiaje???!!!!!!!!! Wakati mwingine kama huna cha kusema ni bora ukakaa kimya kaka/dada.
  20. Braniac

    Ni miaka 17 tuuu!

    Umeona eeh Gaga. Yaani watu tunakurupuka tu saa nyingine.
Back
Top Bottom