Search results

  1. kampelewele

    Picha: athari ya mvua Huko mtaani kwako Hali ipoje?

    Elephantiasis (Makamu mwenyekiti wa Daruso) na Asha Mtwangi sijui wapo wapi, walipitiwa na Mzee Punch
  2. kampelewele

    Picha: athari ya mvua Huko mtaani kwako Hali ipoje?

    Chezea uhanga wewe!
  3. kampelewele

    Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

    Ati huyu naye ni Mke
  4. kampelewele

    Mbunge Mohamed Issa: Ajira za Wazanzibar zimechukuliwa na Wageni

    Nadhani jana hukunielewa. Hilo Ndilo tatizo la niye vijana hapa JF. Hapa unadhibitisha nilichokisema Ref Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao
  5. kampelewele

    Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

    Hayo manyanyaso yategemee kwa sana. Unajua tangu Samia ameingia madarakani, Zanzibar imejengeka kiuchumi. Athari zake ni Watu wengi kutoka Bara, kujimwaga Zenji. Ukumbuke muingiliano huondoa fursa kwa wenyeji. Hapo ndipo chanzo cha ubaguzi na manyanyaso kwa wageni. Data za sensa ya 2022...
  6. kampelewele

    Matajiri wa Tanzania vichekesho vitupu yaani Mbweni Maji ya mvua kila mahali, askofu Dr Gwajima likufikie hili ni Jimbo lako!

    Tatizo Dar huijui. Enzi hizo 1960s Oysterbay ilikuwa Kama Mbweni ya Sasa. Miaka 20 ijayo Mbweni haitakua na mimaji kama Sasa. Ndiyo maana ukitembelea sehemu nyingi mijini itakuta nyumba za zamani kama zipo shimoni na nyingine Mpya zipo juu
  7. kampelewele

    Nani mwenye mchango mkubwa kwenye mafanikio yako, mpe shukrani zake

    Achana na Lamomy ana wivu huyo!
  8. kampelewele

    Nani mwenye mchango mkubwa kwenye mafanikio yako, mpe shukrani zake

    Namshukuru sana Leejay49 kwa kunirudishia furaha yangu
  9. kampelewele

    Watu wengi wa Pwani hawajui kuzungumza kiswahili Fasaha

    Ni wana mahesabu hao (nusu + robo) = robo tatu 3/4
  10. kampelewele

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Nipo na msituko maana waliokuwa wandai kuwa wamekopa kumbe walikuwa wanatafuta pesa za kupeleka watoto wa marafiki hospitali. https://www.jamiiforums.com/threads/sijui-kwanini-nimeumia-hivi.2202268/
Back
Top Bottom