Search results

  1. Lumbi9

    Nawezaje kujua kama Godoro la Vita Raha ni bandia au halisi?

    Wanaandika kwenye nylon ile ya juu, japokuwa kuna makampuni kanjanja saiv hawaweki, unakuta mtu unanunua godoro 12" miezi mitatu tu lishaweka shimo kati
  2. Lumbi9

    Nawezaje kujua kama Godoro la Vita Raha ni bandia au halisi?

    Godoro bora ni lenye kuanzia density 28 kurudi chini bila kujali kampuni, ukitaka godoro original la vita na usiwe na mashaka nenda showroom kwao posta
  3. Lumbi9

    Bajeti ya mshahara wa sh. 400,000

    Mkuu ukweli sijaongea nao maana baada ya calculation naona kama hamna faida ya maana, sijafikia bado kiwango cha kuwekeza nikapata faida ya kueleweka
  4. Lumbi9

    Ushauri: Alinikataa, sasa ana mtoto anadai ananipenda anataka turudiane!

    Cha kufanya tomber kisha kipotezee tia block kila eneo
  5. Lumbi9

    Bajeti ya mshahara wa sh. 400,000

    Ngoja niongee nao kesho hawa
  6. Lumbi9

    Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Likikukuta jambo sisi tupo hapa kuwapa ushauri kama kawaida
  7. Lumbi9

    Bajeti ya mshahara wa sh. 400,000

    Samahani, kuna utofauti gani anaupata mtu anaewekeza utt tofauti na anaeweka bank kawaida
  8. Lumbi9

    Series (Special thread)

    Kula chuma hiko
  9. Lumbi9

    Hili swali kutoka kwa wanawake huwa limekaa kimtego Sana

    Laki 6 unasema mshahara mnono
  10. Lumbi9

    Nahisi huyu mwanamke nyota yake inaning’arisha

    vp wale wanaokosa kabisa na wapo na wake pia
  11. Lumbi9

    Kuna kitu hakipo sawa kati ya Àzam Media na TFF

    Kwani azam mkataba wao si ulishaisha
  12. Lumbi9

    Ni mambo gani huwezi kufanya au kumwambia mama yako mzazi

    Natamanigi sana kumwambia bimkubwa nakupenda sana ila ikifikia hyo point ya kusema hvyo sasa najisikia kama noma flani hv, naishia tu kumwambia bimkubwa nakukubali sana yaani mwenyewe anacheka tu
  13. Lumbi9

    Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

    Usafiri wa mademu huu, wanaupenda huwaambii kitu
  14. Lumbi9

    Kisutu: Mwendokasi na bodaboda zagongana, wawili wafariki

    Namfahamu jamaa yangu ana boda yake mwaka wa tano huu sijasikia amepata ajali, ila hawa ndugu zetu sasa
  15. Lumbi9

    Never date a girl who can't respect your wife

    Na michepuko inatakiwa ijue mapema kuwa una familia mambo ya kudanganya mwanzo sio poa, mie dame akishindwa kukubaliana na hali ya mm kuwa na familia ndo tunaishia hapo
  16. Lumbi9

    DART kuchukua hatua dhidi ya Dereva na Wasimamizi wa Mwendokasi waliowapeleka Abiria Morocco badala ya Kimara

    Kila kitu kinachohusiana na mwendokasi kimefeli, nafikiri kuna namna inafanywa ionekane imefeli ili watu wafanye namna zingine
Back
Top Bottom