Search results

  1. Wa Ndima

    Miaka 3 sasa Ripoti hii haijapelekwa Bungeni, VIPI?

    Hii Ripoti ni miaka mitatu sasa haijapelekwa Bungeni Na Lilian Timbuka, Mwananchi Posted Alhamisi, Februari 12 2015 saa 9:26 AM Kwa ufupi Hayo yalisemwa jana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dar es Salaam. Kamati iliyoundwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), kuchunguza mabilioni ya...
  2. Wa Ndima

    Msaada PayPal credit card activation

    Wakuu kwa aliyefanikiwa kufanya verification ya CRDB VISA card kwenye PayPal na akafanikiwa anisaidie, mimi inanipa msg "billing address doesnt match with paypal street address. NB: hii card nishaiauthorize crdb ifanye transaction online!
  3. Wa Ndima

    Nimejua kwa nini HabariLEO lipo kiCCM

    Arnold Swai ambaye pia ni mwandishi wa gazeti la habarileo, akihutubia baada ya kutangazwa Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro baada ya kushinda uchaguzi uliofanyika juzi. Swai alipata kura 151 kati ya kura 222 zilizopigwa Picha kwa hisani ya Rachel Pallangyo mwandishi wa...
  4. Wa Ndima

    Msaada AVCHD Activation Key ya Magix Movie Edit Pro 17 HD Plus

    Msaada wadau mwenye kujua AVCHD Activation Key ya Magix Movie Edit Pro 17 HD Plus, nashindwa kuingiza Video kutoka kwenye Camcorder yangu inayopiga muundo huo wa AVCHD.
  5. Wa Ndima

    Wazanaki ni kina nani?

    Wanajukwaa hili la Siasa, na wale Great Thinkers naomba kufahamishwa huu ukoo wa Wazanaki kule Musoma umetoka wapi na historia yao katika mapambano ya kupinga ukoloni Tanganyika.Tunajua walikuwepo Wangoni, Wahehe, Wasukuma nk hawa Wazanaki historia yao ikoje?
  6. Wa Ndima

    Hivi Haya Mashimo Tanzania itayafanyia nini?

    Jamani naomba kujuzwa kwa wanaofahamu, baada ya haya machimbo kwisha mashimo haya yatakuwaje?
  7. Wa Ndima

    Nimebadili Avatar

    Wandugu nabadili Avatar kutoka Na natumia rasmi Avatar ifuatayo hapa chini Hii ni kutokana na mgongano wa Avatar katika Post ifuatayo; https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/164479-ukiwinda-mwanamke-muda-mrefu-mara-nyingi-huishia-kuwa-disappointed-2.html
  8. Wa Ndima

    Please TRACE me...

    Nimekuwa nikiona watu wengi wanazungumzia kuwa wanaweza kumtrace mtu akiwa online ama kwa kujua IP address yake au Jina lake kamili, jina la kompyuta yake na vitu kama hivyo. Sasa leo nilikuwa nahitaki kuwa traced, aniambie mtu yeyete hapa mimi niko wapi, jina langu kamili, IP address yangu...
  9. Wa Ndima

    Speed ya Airtel nimeikubali

    Tazama speed ya Airtel baada kuichakachua modem ya Voda inavyokimbiza
  10. Wa Ndima

    Picha: CC ya CCM leo

    Wenye kanchi kao wakiwa kikaoni leo CC ya Chama cha Magamba...
  11. Wa Ndima

    The Evolution of CCM

    The Evolution of CCM and Then Spot the Differences
  12. Wa Ndima

    Watu wakishachoka na JK huwa hivi...

    Huyu kijana hata hakujua ujumbe wake aupeleke wapi doh! Sijui ndio kuchoka huku?
  13. Wa Ndima

    Tarime sasa shwari - Polisi

    Miili ya marehemu waliouawa na Polisi imezikwa leo bila mikusanyiko ya watu baada ya Polisi kupiga marufuku mikusanyiko. Wanasema kwa sasa hali ni shwari na watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida. Nini kitafuata...?
  14. Wa Ndima

    Dawa ya Babu haina madhara

    Haya kwa wale mliokuwa na wasiwasi na dawa ya Babu Mch. Mwasapile, watafiti wamesema leo haina madhara yoyote kwa binadamu na wanafanya uchunguzi kwa wagonjwa 200 waliotumia kikombe cha Babu. Source Channel 10 habari leo saa moja
  15. Wa Ndima

    Noti Bandia za 10,000 zimezagaa

    Jihadhalini na noti bandia za 10,000 zimezagaa mno. Inasemekana Benki ya CRDB Lumumba wamezigawa kwa wateja.
  16. Wa Ndima

    Huenda yumo humu JF

    Wanajamvi, utu uzima unazidi kuyoyoma, miaka 33 inakatika sina wa ubani mie. Huenda yumo humu jamvini aliye mpweke kama mie, binti maridhawa, mpenda maendeleo, asiyezidi miaka 30, elimu angalau asiwe chini ya kidato cha nne, anayejituma katika kufanya kazi mvivu simtaki akha! Kupima Virusi vya...
  17. Wa Ndima

    Wanawake LIVE EATV na DOWANS

    Wanawake LIVE leo wanaongelea DOWANS kaazi kwelikweli. Tunahakikisha moto huu hauzimiki....tutaondoka na mtu wallahi!!!
  18. Wa Ndima

    Rostam ni mmiliki wa Dowans, Richmond - Selelii

    Akizunguma na Kituo cha Redio cha Zenji FM, 96.8 cha Zanzibar katika kipindi maarufu cha 'Mwangaza wa Habari', Selelii ameeleza kuwa aliambiwa Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz anahusika na Kampuni ya Richmond na pia ni Mmiliki wa Kampuni ya Caspian, na hili kamati teule tuliambiwa na mwandishi wa...
  19. Wa Ndima

    Dah! JF Bwana Kiboko!

    Mi nimeomba ushauri wa Kiteknolojia namna ya kutengeneza BOMU, thread imefutwa ghafla hii kweli kiboko. Tunataka kukuza vipaji vyetu Watanzania, badala ya kuagiza nje ya nchi tutengeneze wenyewe. Hili ni jukwaa la Teknolojia hivyo mwenye kujua namna ya kutengeneza Bomu hasa kwa wale waliopitia...
  20. Wa Ndima

    Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

    Matokeo ya awali Mpanda Mjini Said Arfi wa Chadema anaongoza vituo 27 kati ya 28 mpaka sasa Katika vituo vingine na kura za wagombea katika mabano ni Azimio 1, Chadema (124), CCM (23), Azimio 2, Chadema (72), CCM (62), Azimio 3 Chadema (88), CCM (49), Azimio 4, Chadema (72), CCM (55)...
Back
Top Bottom