Search results

  1. C

    MFANO HALISI: Road Licence inavyoikosesha serikali mapato

    Wazo ni ziri sana nafikiri serikali ibuni mbinu mujalabu ambao utafanya ulipaji wa kodi usiwe na maumivu kwa walipaji kiasi wakajikuta wanatafuta mbinu za kukwepa kulipa kodi,ulipaji wenye mpangilio mzuri ambao ukawekwa katika mazingira mazuri nafikir utamfanya mlipa kodi kuwa na amani katika...
  2. C

    ACT-Wazalendo yafafanua kuhusu uteuzi wa RC Kilimanjaro, Bi. Anna Mghwira

    Binadamu kazi kweli kweli,yani mkuu wa nchi kwa manufaa ya taifa akaona amchague huyu mama ambae kwakwel yupo vzr kikazi leo tena tunaanza maneno,jaman kwann hayawaingii akilin kama kuna mabadiliko makubwa ya kiutendaji hapo ?ilikuwa ni kitu cha ajabu sana kwa vipindi vya nyuma mpinzani akawa na...
  3. C

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

    Napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa Mh.Rais Magufuli ,kwani huo uteuzi hakuangalia itikadi za chama ila kalitizama taifa kwanza.Pia hongera mkuu wa mkoa mpya
  4. C

    Aliyetoa maoni "Acha Wafe" kwenye habari ya kuuawa askari 8 atiwa mbaroni Mbeya

    Tutake tusitake sisi wote ni wamoja suala la umwagaji damu kwa ujumla wote tusiwaachie polisi peke yao linawahusu kila mmoja wetu,uzalendo mbele na siasa baadae.
  5. C

    TISS, Jichunguze ili Muepuke Kuchunguzwa

    Binafsi napenda kuwapongeza TISS kwa amani tuliyonayo Tanzania ila napendekeza kwamba hii idara adhimu iwe mbali na siasa tutafika tu.
  6. C

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Mkuu umeongea jambo la maana sana ,kwamba kuongoza sio lazima uwe profesa au una experience ya miaka 15 kazini apana, ni vizuri tukiwa tunatoa ushauri kama hivi kwa rais wetu.
  7. C

    Maadhimisho ya Mwaka Mmoja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda kuwa madarakani

    Kijana una mipango memma pambana na wanaopenda memma wako nyuma yako
  8. C

    Hivi kwanini wote tunaomkosoa Rais tunapewa chama?

    Nimekuelewa vizur mkuu lkn kauli zako juu ya kiongozi wa nchi kama rais sio nzur jitahid uwe na utulivu pia utambue kama rais kakukwaza ukaona bora afe tambua pia wazazi wako ama watoto zako pia wakikukwaza utatamani nao wafe ambao sio jambo zuri.
  9. C

    Makonda: Nisemeni, mkichoka mtanyamaza

    Binafsi napenda sana huu uthubutu wa mkuu wa mkoa wa DSM bila kujali elimu yake,kama itawezekana Mheshimiwa rais awe anaangalia kwa jicho la pili wale wenye uthubutu pia wazalendo wenye uchungu na taifa lao asiwaache badala ya kuangalia vyeti ambavyo havina uthubutu
  10. C

    Video: Rais Magufuli Ampigia Simu Neema Mwita wambura, Ampeleka Hospitali

    Jaman tuwe wa kweli hata kidogo hivi kitendo alichomfanyia huyo dada hamuoni kama ni jambo la kiungwana vipi asingetoa kabisa ?
  11. C

    CIA ya wamarekani yatoa takwimu ya wakristo/waislam TZ ktk website ya

    Hili c jambo la kujadiliana hapa,udini kwetu tz hauna nafas na tusikubali kujadili haya mambo
  12. C

    Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato: Serikali yatangaza tenda

    Tuwe na malalamiko ya kikweli jamani ila hizi chuki binafsi sio njema,sioni kama kuna tabu kwa rais kujenga kiwanja cha ndege chato je kama angejenga katika mkoa mwingine badala ya chato tungemsifia au ? Tupazeni sauti katika mambo ya msingi ndio kulisaidia taifa letu lkn chuki hazita tusaidia...
  13. C

    Tuhuma nzito za Mange zisizo na ushahidi dhidi ya Rais, anafanya sawa?

    Huyo anapayuka tu dawa yake afundishwe maadili ya kutumia mitandao sio kama linalomjia kichwani mwake anatapika tu,
  14. C

    Magunia ya

    Wanajamvi habari zenu,naombeni mnisaidie natafuta soko la kuuza magunia mapya ya mkonge.Asanteni
  15. C

    Msaada kuhusu king'amuzi cha zuku

    WAkubwa mwenye contact za zuku tv naomba anisaidie
  16. C

    Business ideas (Bure)

    Ndugu zanguni nimefarajika kwa elimu yenu juu ya masuala ya biashara,naombeni mnisaidie ninae rafiki yangu ana kiwanda cha kutengeneza mifuko ya magunia ya cotton,kikubwa ama changamoto ni masoko nawaombeni msaada wenu kwa huko. Ahsanteni
  17. C

    Ukweli ni upi kuhusu tukio la Scorpion wa Buguruni?

    Scorpion yupo chini ya ulinzi wa police na kwakuwa amemtoboa mwenzie macho basi Kaanza ale kisago huku akitoa maelezo yalionyooka,hapo ndipo tutapata ukweli wa Kila kitu.asanten
  18. C

    TRA, Road licence mnazodai zinakwamisha ulipaji kodi

    Binafsi,napenda kushauri wizara husika kuwa karibu na wateja wao yaani walipa kodi Ili marekebisho yafanywe na uwekwe utaratibu wa elimu kwa wananchi ili ulipaji wa kodi kwa mwananchi isiwe kama ni vita baina ya mtoza kodi na mlipa kodi.
Back
Top Bottom