Search results

  1. S

    Magazeti ya Tanzania na takwimu za wakuu wa Wilaya, ndio maana serikali huyafungia

    Hata mimi nimeyasoma nikashangaa sana. Nadhani inasababishwa na utitiri wa vyuo vya uandishi wa habari. Vingi vitakuwa havina viwango na waandishi wenyewe wanataka sifa waonekane kuwa walikuwa wa kwanza kupost habari flani hata kama amezipata source isiyo na uhakika.
  2. S

    Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

    Aisee tafadhali, hayo mawazo sio ya kifipa! Wafipa tupo tumetulia hapa.
  3. S

    Mzee Majuto atangaza rasmi kuacha kuigiza, sasa kumrudia Mungu wake

    Hivi kwani kuigiza ni dhambi mpaka mtu unaacha halafu unamrudia Mungu?/
  4. S

    Hapa uchawi unahusika?

    Okoka tu!!! Kinachokusumbua ni hofu na wao wanatumia hofu yako.
  5. S

    Hizi ndio sababu za kwanini siwezi kuoa mwanamke mwenye mtoto

    Mmmh! Nadhani wako tofauti. Mimi niliyenaye hataki kabisa nimsaidie hata kulea mwanae. Tulipoanza mahusiano alimuhamishia mwanae kwa dadake, na hata inapojitajika kitu shuleni kwa mtoto, mfano ada, hataki nimsaidie kulipa. Sasa mnanichanganya mbona? Au ananivuta ili nisikimbie? Majuzi mtoto...
  6. S

    Kwa jinsi hii Wanawake shughuli mnayo kulinda ndoa zenu...???

    Hiyo mitako iko hovyo sana. Akivua huyo haudindishi tena.
  7. S

    Binti wa kazi wanne wapo Karatu

    Nipigie tafadhali 0766789732.
  8. S

    Huyu Suleiman Kova ni Makamu wa IGP au ndio msemaji mkuu wa Jeshi?

    Utasikia "Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka chanzo cha kuaminika, kuna panya road ameonekana kitunda ameshika kitu chenye ncha kali "
  9. S

    Huyu Suleiman Kova ni Makamu wa IGP au ndio msemaji mkuu wa Jeshi?

    Nampenda sana yule mzee, anapenda TV kishenzi. Anaita press hata kukiwa na tetesi za kibaka kuonekana kitunda ameshika kitu chenye ncha kali!!
  10. S

    Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani?

    Pale kwenye picha ya kuchanganya udongo kuashiria muungano, baba wa taifa alishika udongo peke yake. Mkono mmoja alishika udongo wa Zanzibar na mkono mwingine akashika wa Tanganyika halafu akauchanganya. (Picha inaonyesha). Karume amesimama pembeni anatabasam tu. Kwanini wa zanzibar hakuumwaga...
  11. S

    Ada elekezi shule binafsi tayari

    Una point ila kiswahili sahihi ni malazi sio maradhi.
  12. S

    Kwanini wanawake wengi wanavuta bangi sikuhizi?

    Ngoja nimchunguze mama Ngina, asije kuwa anapiga cha Arusha. Amebadilika sana siku hizi!!!
  13. S

    Utafikiri wanaangalia kitu muhimu sana

    Mh! Hata mi ningechungulia tu. Kuna mtu anaona rangi ya pink popote?
  14. S

    Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

    Whether alizaliwa tarehe 25 Dec au March kama mnvyotaka, huyu jamaa amebadilisha maisha ya watu jamani! Kuna watu bila injili kuwafikia walikuwa wanyama kabisa! Wanaoliishi neno lake ni watu safi kabisa kwa misingi aliyoiweka. Problem ni wale vuguvugu na wasiotakakumsikia kabisa. So, mpeni...
  15. S

    Minara ya Halotel yahatarisha usalama wa ndege

    Kudadeki kumbe jamaa wanakamua mb za kufa people kimyakimya? Kesho naenda nunua line ya halotel fasta.
  16. S

    Bei za kumbi za harusi

    Habari za asubuhi jamani. Mimi naomba kujua bei za kumbi za harusi za Tabata, Sinza, Mabibo, Manzese, Buguruni. Sinza ningependa kujua being za kumbi hizi: Kuala Lumpur, Mwika, Deluxe, Mirado, Vatican city, na Lulu. Natanguliza shukrani za dhati.
  17. S

    Bei za kumbi za harusi

    Habari za asubuhi jamani. Mimi naomba kujua bei za kumbi za harusi za Tabata, Sinza, Mabibo, Manzese, Buguruni. Sinza ningependa kujua being za kumbi hizi: Kuala Lumpur, Mwika, Deluxe, Mirado, Vatican city, na Lulu. Natanguliza shukrani za dhati.
Back
Top Bottom