Search results

  1. M

    kuitwa usaili TRA

    acha uhaya wewe GPA siyo kujua kila kitu na siyo kigezo kizuri cha kuajiri
  2. M

    Wananchi wakiamua polisi, jeshi, mitutu ni bure kabisa

    Baada ya kuiona hali halisi ya jiji la Mbeya ambapo wamachinga wamekwaruzana na polisi kwa muda wa masaa 10 tumejifunza kwamba wananchi wakiamua hakuna awezaye kuwazuia. Vurugu za Mbeya zinaonekana hazikuendeshwa na wamachinga peke yao bali hata wananchi wa kawaida walishiriki kuonesha...
  3. M

    Tusikubali misaada ya uingereza kama kigezo ni kuhalilisha laana ushoga Tanzania

    UZEMBE NA UFISADI wa viongozi wetu ulichukua mimba na umezaa umaskini mkubwa nchini, nao umaskini ukakomaa ukachukua mimba unataka kilizalia taifa letu mtoto aitwae ushoga nao ushoga utalliua taifa na kulipeleka jehanamu. Watanzania wenzangu tusikubali ndoa za jinsa moja kwani vitabu vitakatifu...
  4. M

    Tanzania kufilisika Novemba 2015?

    hali ya kiuchumi ya Nchi yetu ya tanzania baada ya uchaguzi wa Ubunge wa jimbo la Igunga ipo taabani na sababu kubwa ikiwa matumizi makubwa ya fedha katika uchaguzi huo; licha ya bajeti kupita hakuna ajira, gharama za maisha zimekuwa kubwa, wafanyakazi hawalipwi kwa wakati, hospitali hazina...
  5. M

    TFDA pressed to stop Babu's 'miracle drug'

    Kulipoibuka tiba ya kikombe cha babu wa Loliondo watanzania wengi hasa viongozi wa dini, wanasiasa na madaktari walikiunga mkono kikombe cha babu lakini sasa wadau hawa hawa wamekigeukia kikombe cha babu na kuitaka serikali ipige marufuku huduma ya Babu Mwaisapile wa Loliondo. MTIZAMO WANGU...
  6. M

    Bajeti ishapitaga ajira zipo wapi au ka mwaka jana na juzi?

    Wana JF, bajeti ya serikali ya mwaka 2011/2012 ilishapita lakini hatujaona matangazo ya ajira wala ajira au ndio kama miaka miwili iliyopita? serikali isijisifu tu kwa idadi ya vyuo na wanachuo bali waaandae sera za kuwepo ajira manake hili ni bomu wanalojitengenezea, mfn. kiongozi mmoja...
  7. M

    Majibu kwa waliombaga nida(mamlaka ya taifa vitambulisho)

    Napenda kuwajuza wadau wote waliofanya interview mara 2 Mamlaka ya Taifa ya Vitambulisho (NIDA) MAJIBU YAMESHATOKA na waliofaulu wameshapigiwa simu jana na leo, so kama hujapigiwa simu consider urself unsuccessful au uombe baadhi yao wasiende ili uitwe wewe.
  8. M

    50 Greatest Tanzanians (minus politicians)

    nafikiri tuchanganye na wanasiasa since "GOD CONTROLS THE WORLD, POLITIANS CONTROL THE STATES'
  9. M

    Sekretariat ya ajira na taesa zifutwe

    hata Richmon iliboreshwa ikawa Dowans ikawa Symbion Power na hatimaye ikawa giza na haya maboresho yote yame&yana&yata tugarimu!
  10. M

    Tuongee na mengine

    huyu hana tofauti na yule waziri na mbunge aliyesema"mimi naliombea taifa wao wananipiga picha na kusema eti nimelala"
  11. M

    Sekretariat ya ajira na taesa zifutwe

    wana JF kuna hizi ofisi mbili zinazohusika na utaftiaji wa kwa watu wasiokuwa na ajira lakini mpaka sasa zimeprove failure ila wanapokea mishahara minono, je kuna haja ya hizi ofisi kuwepo?
  12. M

    Wafanyakazi kuchelewa kulipwa mishahara ni uchaguzi wa igunga?

    Inaripotiwa kuwa wafanyakazi wengi wa Serikali wamechelewa kulipwa mishahara yao ya Mwezi wa 9, je hii inawezekana ni kutokana na serikali kutumia pesa nyingi katika uchaguzi wa Igunga ili Chama Cha Mapinduzi kishinde?
  13. M

    Pinda anafaa kuwa waziri wa kilimo

    Tangu aanze kuifanya kazi yake kama waziri mkuu pinda ameonyesha uwezo mkubwa wa kusimamia kilimo, ningekuwa Rais ningemteua awe waziri wa kilimo, hii inatokana na sababu kuwa mtu hufanyavizuri ktk fanianayoipenda. hii imekaaje wadau!
  14. M

    Prof. Safari awajibu wanazuoni wa kiislamu kuhusu DC

    kawaambie wao waliomuita muislamu tjhatha unaniambia mimi nifanyaje?"
  15. M

    Prof. Safari awajibu wanazuoni wa kiislamu kuhusu DC

    Leo mchana nimekutana na mdogo wake DC FATMA KIMARIO mitaa ya Kkoo akanidokeza kuwa dada yake huyo ni Mkristo wa Ukweli wa Roman Katoliki na anasema dadake jina la fatma ni la kimaslahi zaidi kwani kule kwao WAMETUMWA ELA ATI! na anashangaa baadhi ya watu kusema dadake ni Muislamu! nashawishika...
  16. M

    Rais Kikwete adanganywa tena

    KWELI HUYU Chifu Kikwete wa Tanzagizaajalifisadinia! HATA DOCTOR ANADANGANYWA! TUSILAUMU TU WATENDAJI WAKE NAYE PIA AWAJIBIKE.
  17. M

    Piiiiiii!!!! Matangazo ya ajira feki

    that's true, pia kuna taasisi na makampuni yanayojifanya kutangaza kazi na scholarships wakati tayari wana watu wao.TAKUKURU VP HAPA?
  18. M

    Tanzania au tanzagizaajalifisadinia?

    Jamani wana-JF hii ni TANZANIA AU TANZAGIZAAJALIFISADINIA?
  19. M

    Tanzania inavyo uchekesha ulimwengu

    We Mhoja usiye na hoja uliemkimbia Gadafi unataka kuleta maafa huku BONGO NA HOJA ZAKO?
  20. M

    Tanzania inavyo uchekesha ulimwengu

    Kidumu Chama cha Masaburi!!!!! kuwe na umeme kusiwe na umeme bill haipungui afu mbona Mkuu huyu anaingilia kazi za BADRA MASOUD?
Back
Top Bottom