Search results

  1. U

    Zombe kulikoni?

    Hivi zombe ni bado mfanyakazi wa serikali?leo front page ya mwananchi ameonekana akimtoa kwenye nyumba inayogombewa ya familia ya kawawa mama anayesemekana ni mke mdogo wa mzee kawawa,huyu jamaa bado yupo kazini?
  2. U

    Mkuu wa wilaya Singida aapa kupambana na Tundu Lissu, CHADEMA!

    mbona anawahutubia watoto?kama ana mbavu awashughulike mapacha watatu kwanza kabla ya lissu
  3. U

    Nape adai kunasa nyaraka za Marando

    nape hajamalizana na mapcha watatu anarukia kwa chadema,ngoja lowassa aanze kumshughulikia huyu nape,anadhani ukimya wa lowassa una maana gani?
  4. U

    Elections 2010 Mkapa, CCM na uchaguzi wa 2015

    Naomba nisipewe jina la Shekhe Yahya au Pweza Paul,kwa vyovyote vile kwa mwenendo jinsi ulivyo kwa sasa, CCM wanawinda chini ya siasa za maji taka. Kila kundi linajipanga kwa 2015, Je CCM kumrejesha Mkapa 2015 kuokoa jahazi?
  5. U

    Binti anaswa akibaka kavulana

    ni mabadiliko tu ya mwili.wamsamehee
  6. U

    Blandina Nyoni ni NANI!

    mke wa jamaa anayefanya BOT,na kimada wa mamvi
  7. U

    Waziri Sophia Simba aumbuka Channel 10!

    ni kheri ya kuishi na ukimwi kuliko ccm
  8. U

    Show ya Lema vs Pinda featuring Makinda

    goooooooo chadema goooooooooooooo lema,long live people`s power!
  9. U

    Mwali: Mmiliki wa DOWANS ni huyu!

    muda utafika watamtaja tu huyo mmiliki wa dowans
  10. U

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    je utendaji huo mzuri wa lowassa si ndio ulioleta hilo richmond na swahiba wake dowans?
  11. U

    Uongo wa gazeti la Tanzania Daima

    magazeti hatari ni al huda na al nuru,sauti huru,tazama,mtanzania,rai,habari leo
  12. U

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Binadamu wote tuna madhaifu yetu,na linakuwa jambo la furaha na amani kwa jamii pale mmoja wetu anapogundua udhaifu wake na kuamua kurudi au kutubu. Lowassa amekuja na style ya aina yake ya kutaka kuwa karibu na jamii baada ya rundo la kashfa juu yake likiwamo la kuhusishwa kwake na kampuni...
  13. U

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    kwani kuna ubaya gani kuingia ofisi za ccm?yeye ni mwana ccm pia
  14. U

    Wameanza Tena: Meseji usiku wa manane

    kweli kikwete ni rais wa celebrity
  15. U

    Chatanda azua tena mvutano CCM, Chadema Arusha

    nani kaiona picha ya mary chatanda?msaada plz ili iwe rahisi tutakapoanza zoezi la kumtenga katka kila nyanja ndani ya jamii kwani ndiye muhusika mkuu wa yote ya liyotokea arusha,hivi makazi yake haswa yapo wapi?
  16. U

    Polisi Arusha wameaibika..

    intelijensia isiyokuwa na intelijensi
  17. U

    Maaskovu Vs. Makamba na mgongano wa Arusha

    nipo tayari kushiriki uanndishi wa kitabu chenye hii title kwa historia ya vizazi vijavyo,
  18. U

    Nataka Magwanda ya Chadema

    utaahira kazini
  19. U

    Maaskovu Vs. Makamba na mgongano wa Arusha

    Amekuwa mtu wa kunukuu vipengele vya kitabu hiki kitakatifu na kutumia tafsiri anayopenda yeye, mathalani kwenye moja ya nukuu zake anazosema kuwa bibilia inawataka watu kutii mamlaka zilizo kuu. Hivi huyu kibabu hajui kuwa utii bila kufikiri ni utumwa?naomba cv yake hapa waungwana
  20. U

    Bbc,sky news,al jazeer uwepo wenu arusha kesho ni muhimu sana

    nimefarijika pia kuna mdau mmoja wa arusha ameniambia vyombo vya habari vya kimataifa ameviona arusha,hapa hakuan kulegeza kamba,ni kuwaonyesha dunia serikali dhalimu ya ccm ilivyo
Back
Top Bottom