Search results

  1. Easy Dude.

    Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

    hiyo system ndo unagraduate with 18 yrs?? confusing kabisa.
  2. Easy Dude.

    Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

    hao viongozi wa mashindano hawajuii au nao ndo hivo tena walimegewa chao wakakaa kimya?? yan sielew kabisaaa
  3. Easy Dude.

    Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

    sijawahi kuipata vzr hiyo mkuu...anasema ana umri gani?
  4. Easy Dude.

    Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

    inahuzunisha kuona wakubwa wa sector hiyo nao wako kimya tu
  5. Easy Dude.

    Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

    Mimi ni mdau wa elimu,naomba kujifunza kitu hapa. Miss Tanzania wa mwaka 2014 Sitti Abbas Mtemvu anadai ana umri wa miaka 18 na ana elimu ya shahada ya uzamili (Masters). Jaman kwa namna ipi na kivipi inakuaje nisaidieni.Inachukua miaka 18 mtu kupata masters.Ina maana alianza shule na miaka 0...
  6. Easy Dude.

    Viboko mashuleni raha sana

    kwan nani kakwambia mimi ni mwalimu? ---- dat! mimi nimeandika hayo nikimaanisha kuchapa kwa kumrudi mwanafunzi sijamaanisha kwa kuonea....mpaka hapa nilipofika ni kwa sababu nilichapwa na kufunzwa njia nzuri ya kupitia kwa nn wadogo zetu tuwalemaze??
  7. Easy Dude.

    Viboko mashuleni raha sana

    kaka simaanishi kuchapa kama hao asee hao wamepitiliza...namaanisha kuchapa kwa kufunza sio kukomesha.
  8. Easy Dude.

    Viboko mashuleni raha sana

    Mimi nashangaa sana watu wanakaa wanajadiri ooh viboko mambo ya kizamani!..ooh viboko ukweli ni kwamba mitoto ya cku hizi bila fito hainyooki, hata kama magenius wachache tz ila mbele ya kiboko lazma waongezeke na matahira wapungue....u cant teach an old dog new styles, but with sticks it will...
Back
Top Bottom