Search results

  1. Mwangaza

    Bilionea fisadi wa Tegeta Escrow, Rugemalila awa mfadhili mkuu wa CHADEMA

    CHADEMA inatoa roho..hamuiwezi. Unalikua sakata la escrow wewe? Rugemalila hakuwa fisadi ktk sakat hilo ..aliuza hisa zake kwa halali akalipa kodi ya serikali, na ndiye aliyelitoa nje..bila yeyey we kapulwa ungelijulia wapi?? Hongeleni Bukoba Development Fund..kazeni buti,kelele za Lumumba na...
  2. Mwangaza

    ACT wagoma kusaini matokeo Arusha

    Katika hali ya kushangaza, mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini kupitia chama cha ACT Megro Mollel amegoma kusaini matokeo ya uchaguzi japo amepata kura 342 tu kati ya kura halali 104,353 kwa kila alichodai kwanini Lema kashinda bila kutaja sababu ya malalamiko yake. Katika uchaguzi huo...
  3. Mwangaza

    Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

    Wanabodi, Inashangaza mtu anayejiita muadilifu kuendelea kungangania wizara wakati zaid ya miezi mitatu sasa hajagusa wizarani..huku akiendelea kula mishahara na malupulupu yote wa waziri?? Huu ni wizi wa wazi wazi wa kodi zetu . Huu ni UKURUNZINZA. Hata kama JK hajavunja baraza la...
  4. Mwangaza

    Kashfa za wagombea zimetosha, sasa tujadili sifa walizonazo

    hujafika monduli wewe ,kaa kimya.no research no right to speak
  5. Mwangaza

    Kashfa za wagombea zimetosha, sasa tujadili sifa walizonazo

    Kwa vigezo hivyo Lowassa ana 90%
  6. Mwangaza

    Kinana ainyamazisha Mbeya, waahidi ushindi kwa CCM

    Hahahahaa...bwana Mwigulu aka Tandaleone..unafurahisha kweli..!!! eti "ainyamanzisha mbeya" hahhaa "Pourojo" ukioa "Po" inabaki "urojo" hahah
  7. Mwangaza

    Dr. Slaa akimbilia tena Marekani, awatakia Watanzania uchaguzi salama

    Naona unaongea kinyume nyume.. Ukweli ni kwamba.. " Slaa aliposoma alama za nyakati na kuona atazidi kudhalilika kuwatumikia vibaraka wa ccm , act (kama ilivyopengwa na kina Mwigulu) akagoma kumpanda jukwaa lao, ACT imekata tamaa!!!!!!!! There's no option ACT has to dead away!!!!!!!!!
  8. Mwangaza

    Mabadiliko ya Lowassa na Magufuli yapi ni sahihi?

    Wanabodi, Wagombea wawili wa urais wamekuwa wakiahidi mabadiliko. Tunagalie kwa kina dhana halisi ya mabadiliko kwa hawa watu. Lowassa ameahidi mabadiliko kwa kufanya yafuatayo:- 1.Kurudisha katiba ya warioba 2.Kutoa elimu bure mpaka chuo kikuu 3.Bima ya afya 4.Hospitali kila wilaya 5.Posho...
  9. Mwangaza

    Ahadi za Rais Joseph Pombe Magufuli awamu ya tano, 2015 hadi 2020

    FACTS: AHADI ZA LOWASSA ZINATEKELEZEKA, ZA MAGUFULI HAZITELEZEKI: AHADI 5 ZA LOWASSA: Mpaka sasa ameshota takribani ahadi 15 tuongelee 5 kubwa 1. ELIMU BURE HADI CHUO KIKUU (Sh. trilioni 9.9) 2. BIMA YA AFYA, HOSPITALI KILA WILAYA (Sh. trilioni 5.84) 3. POSHO WENYEVITI VIJIJI, MITAA (Sh...
  10. Mwangaza

    Balozi Juma Mwapachu na ubinafsishaji wa mashirika ya umma!

    Ni puuzi kujadili ubinafsishaji bila kumjadili Mkapa. Kamishna tu, tena wa katume tu !! Anawezaje kuwa na nguvu kuliko waziri?? kuliko Rais ?? Juma Mwapachu IS CLEAN MAN, A VERY CLEAN MAN. Vijana wa Lumamba hizi propaganda mnaendesha zitawaghalimu sana. Hongera Juma Mwapachu kwa UAMUZI...
  11. Mwangaza

    Vijana wa CCM mna upofu wa kufikiri

    Umoja wa Vilaza wa ccm (UVCCM) !!
  12. Mwangaza

    Mama Regina Lowassa afanya kufuru Morogoro

    Wapi mama Andy Magufuli ?? Wapi Mama Jerry Magufuli ?? ...hawa wanawake wake wapo wapiiii ??
  13. Mwangaza

    Katuni bora ya mwaka

    Div 5 ktk ubora wako
  14. Mwangaza

    Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    hahahaa Kupata kituko hicho tuma neno HAPAGIZATU kwenda 15666
  15. Mwangaza

    Taasisi ya Mwl Nyerere ..inamdahalilisha Mwl Nyerere

    Wanabodi, Leo tumeshudia taasisi ya Mwl Nyerere ikitumika kisiasa kufanya kampeni za waziwazi kwa mgongo wa mdahalo wa Amani. Hakuna duniani mdahalo wasemaji wakuu wakawa wa itikadi moja tu??..hii ajabu imetokea leo kwenye hii taasisi nia aibu kubwa kwa heshima ya Mwl. Tumeona wasemaji wakuu...
  16. Mwangaza

    Vyeo na ubunge wa upendeleo, CHADEMA kama CCM; Tutemeni mate chini

    KUNA KOO ZIMEJIWEKEA "UFALME" WA KUWATAWALA WATANZANIA NA NYIE MMEFANYWA "WATUMWA" WAO 1 Mtoto wa Kikwete anagombea 2. Mtoto wa Mavunde anagombea 3. Mtoto wa Warioba anagombea 4. Mtoto wa Sitta anagombea 5. Mtoto wa Bulembo anagombea 6. Mtoto wa Nauye anagombea 7. Mtoto wa Mgimwa...
  17. Mwangaza

    Watanzania wameamini ktk mtu wakasahau mfmo(system)wamemwamini Magufuli kuliko uwezo wake

    Magufuli si mtu sahihi kama mnavyotaka tuamini.. 1. Taarifa ya CAG aimeonyesha wizara yake imekiwba zaidi ya bil 92, je alifanya nini?? kuna mtu alimuwajibisha? alijiajibisha ?? 2. Amegawa nyunba za serikali kwa hawala 3.Ameshindwa kulinda ndoa vyema, ndoa imekuwa na migogolo..ataweza nchi...
  18. Mwangaza

    UVCCM wameandaa Mkutano wa kuvunja amani Mwembe Yanga leo Oktoba 10, 2015

    Wadau, Abasi mtevu leo ktk viwanja vya mwembe yanga ameendeleza tabia ya ccm kutoa kauli za kuhatarisha amani. Alisema..'kule mbagala panapo tusumbua tutapanyia kazi maalumu..nimeshaongea na Yussuf Manji atatoa msaada tuwashughulikie,lazima tushinde kwa jinsi yoyote ile' Hizi ni kauli...
  19. Mwangaza

    Muhimu: Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA iliyobeba Mtazamo wa UKAWA

    Kutoka FB: " Slaa alinishangaza...kabla hajasafiri alisema mwenyewe kuwa kinywa chakekuwa Ilani ya CHADEMA ambayo Mh.Lowassa anainadi leo, iliandaliwa kabla Mh.Lowassa hajaingia CHADEMA na yeye Slaa alishiriki vyema kuiandaa (akitegemea kuja kupeperusha bendera ya CHADEMA). Baada ya kurudi...
Back
Top Bottom