Search results

  1. N

    Majibu ya Mh Sugu juu ya alichokisema Mbunge Mlata jana bungeni

    Tatizo huyo viti maalum kila kitu anataka achangie....
  2. N

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hivi kuna aliyefanikiwa hapa naomba tupeane updates jamani.. Na pia mwisho wa kuomba uhamisho ni lini??
  3. N

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu idara ya msingi yupo musoma mc anatafuta wa kubadilishana nae maeneo ya hai au arusha mc
  4. N

    Wanachuo hatuandikishwi kwenye BVR?

    Udom ipi???mbona wenzako wamejiandikisha
  5. N

    Maajabu: Salary slip bila mshahara! Hazina mpo wapi?

    Hapo bado pia kwan halmashaur zina watu wengi
  6. N

    Maajabu: Salary slip bila mshahara! Hazina mpo wapi?

    Duhh hii serikali yetu ina utani sasa hiyo million 91 watalipa wangapi??
  7. N

    Uhamisho: Janga kubwa kwa watumishi wa umma

    Nimeuliza coz nasikia kuwa uhamisho hufanyika wakati wa likizo mfano waalimu
  8. N

    Uhamisho: Janga kubwa kwa watumishi wa umma

    Na c ninaweza kuomba muda wowote au had kipind cha likizo??
  9. N

    Uhamisho: Janga kubwa kwa watumishi wa umma

    Kwa hiyo naweza kuanza kwa DED ili nimalizane nae au had nianzie kwa mkuu wa shule!
  10. N

    Uhamisho: Janga kubwa kwa watumishi wa umma

    Vipi je kama nataka kuhama ndani ya wilaya kwangu lazima nitafute mtu wa kubadilishana nae!na je uhamisho wa namna hii unasumbua?? Nisaidie kwa hapo pamoja na taratibu za kufuata... Thnx
  11. N

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hiv mwisho wa kuomba uhamisho ni lini??? Naomben nijuzwe
  12. N

    Wengi wajitokeza kumdhamini prof muhongo mtwara

    Ataweka bomba la gesi kila nyumba...
  13. N

    Mwigulu, billion 10 za Mishahara ya walimu zipo wapi?

    Shida nimeshuhudia walimu wakipiga lampard.... Hawajapata hata ya kujikimu
  14. N

    Ukubalikaji wa wagombea urais CCM

    Fisadi...
  15. N

    TANZIA Mwanafunzi wa UDSM (COET) agongwa na gari

    R.I.P brother nakukumbuka since lyamungo secondary ..
  16. N

    UKAWA wanamvizia Lowassa atoswe CCM wamchukue

    IQ yako ni negative....
Back
Top Bottom