Search results

  1. chija

    Bei ya mafuta ya kula mtaani kwako

    Bei ya mafuta ya kupikia mtaani ikoje, tuambiane.
  2. chija

    Pikipiki ya miguu mitatu ya mizigo

    Pikipiki ya miguu mitatu yaani guta inaleta faida. Tupeni uzoefu wenye biashara hii nataka nijaribu kununua
  3. chija

    Mlio safiri na Reli ya TAZARA Tupeane mrejesho

    Ambao mmesafiri na reli ya TAZARA Tupeane Uzoefu na kutupia Picha kidogo si mbaya
  4. chija

    Nyongeza ya mshahara: Magufuli awapiga changa la macho

    Mishahara mpaka sasa hivi haijapanda mifumuko ya bei kila kukicha kulikoni
  5. chija

    Nyanya zimepanda bei ghafla

    Habari wakuu, Wanajamii hivi kulikoni nyanya zimepanda bei kwa ghafla namna hii?
  6. chija

    Viongozi wa dini wameufyata hawamsemi mtukufu rais kwa anayokosea

    Nasikitishwa na ukimya wa viongozi wa dini kuto mkosoa rais anapoenda kinyume na katiba au kutoa kauli za kuwakatisha tamaa tafadhali viongozi wa dini simamieni misingi yenu
  7. chija

    Hivi kwanini Rais Magufuli anawajali wanafunzi kuliko waalimu

    Nasikitika mh rais kuwapuuza walimu akiendelea na tabia hii tutakutana kwenye Kituturi 2020.
  8. chija

    Chama cha walimu ni jipu lafaa kutumbuliwa

    Chama cha walimu ni jipu lafaa kutumbuliwa kinakusanya mabilioni kila mwezi wameshindwa kununua hata basi moja la kusafirisha walimu hata mabasi ya eicher na tata mmeshindwa kununua mnabaki kupiga vita ubunifu wa mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda
  9. chija

    Rais Magufuri tunaomba usikie kilio cha walimu

    Ndugu mheshimiwa raisi tunaomba usihangaike na ongezeko la mshahara Bali tunaomba tupatiwe posho ya kati kati ya mwezi pamoja na mikopo nafuu ya nyumba maana ukiongeza mshahara na makato yanaongezeka hivyo inakuwa sawa na hakuna kinachofanyika wafunguliwe maduka yao maalumu kwa ajili ya mikopo...
  10. chija

    Hivi kwanini walimu wana maisha magumu

    Katika wafanyakazi wa serikali ambao wana maisha magumu ni walimu na ndo mishahara yao inaongoza kwa kuwa na makato mengi
  11. chija

    Tigo wanatuibia mb 500 za kifurushi cha chuo

    Mtandao wa tigo umeanza kutuibia mb 500 za kifurushi cha chuo nimejiunga jana eti leo kimeisha wakati Muda mwingi nilikuwa offline
  12. chija

    Hivi wadau ipi bora kununua boxer iliyotumika au pikipiki ya kichina iliyotumika

    Ndugu wadau naomba mnipe uzoefu wa hivi vyombo kipi ninunue kati ya nilivyovitaja hapo juu
  13. chija

    Polisi tunaomba mfuatililie wizi wa pikipiki

    Naliomba jeshi la polisi nchini lifuatilie wamiliki wa piki piki huko maeneo ya vijijini inasemekana kwamba piki piki zinaibiwa mijini zinaenda kutumika vijijini hivyo inasadikika wamiliki wanaoishi maeneo hayo wanamiliki piki piki za wizi kwani wanajua huko vyombo vya dola havifiki vile vile...
  14. chija

    Pikipiki aina ya Boxer imeibwa maeneo Pugu

    Pikipiki Aina ya boxer imeibwa maeneo ya pugu namba T 775 CKL engine no PFZWDA 30074 chassis no MD2A21BZ5DWA12886 uionapo toa taarifa kituo cha police au nitumie sms hum humu jf au ni pm zawadi nono itatolewa kwa atakaye fanikisha kupatikana kwa pikipiki hii nyeusi
  15. chija

    yaan ccm kutwa nzima wanahangaika na lowassa

    yaaani mijitu ya propaganda sasa hivi imejaa humu jamiii forum kumchafua lowassa
  16. chija

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala umeshindwa kutatua kero za walimu

    Ndugu walimu wa Manispaa ya Ilala tuchukue jukumu la kuandamana kwenda kudai malimbikizo ya hela za nauli.Madaraja na stahiki zetu mbali mbali maana viongozi wetu wa CWT Ilala hakuna wanachokifanya. Waaalimu wanadai hela za likizo toka mwaka juzi tangu lini hela ya likizo inakopeshwa?
  17. chija

    Upandishwaji wa madaraja 2015 nini kinaendelea sasa?

    Mpango umekaeje kwa walimu wanaotakiwa kupanda madaraja mwaka huu?
  18. chija

    Waalimu kama hamjapandishwa madaraja kwa wakati na malimbikizo ya nyuma msichague ccm

    Itakuwa kitu cha ajabu kama mtaichagua ccm kama hamjapandishwa madaraja kwa wakati hiki ndo kipichi cha kuwakomoa kama hawatakizi madai yenu
  19. chija

    Ndugu mpiga kura tunza sana kadi yk ya kupiga kura

    Ndugu wapiga kura tunzeni sana vitambulisho vyenu vya BVR na msiishie kujiandikisha tu hakikishen mnapiga kura Oct 25
  20. chija

    Ambao mko mikoani na mlikatiwa umeme mdownload application ya simu tv mjionee yaliojiri chadema

    tbc ccm kama kawaida yao hawarushi habari hiyo
Back
Top Bottom