Search results

  1. chija

    Sukari yafika shilingi 5,000 kwa kilo moja

    Bado hujakua kiakili na kimwili usikute unaishi kwa wazazi wako umozoe kuletewa mezani siku ukinza kujitegemea ndo utaelewa tunazungumza nin
  2. chija

    CCM kuitetemesha nchi leo. Paul Makonda kuunguruma Tanga na Dkt. Emmanuel Nchimbi kuitikisa Dar

    Mnatetemesha kitu gani wakati sukari tuu imewashinds
  3. chija

    Sukari yafika shilingi 5,000 kwa kilo moja

    Acha ubwege sasa sukari inatumika kwenye chai tu?
  4. chija

    Sukari yafika shilingi 5,000 kwa kilo moja

    Machawa yanasifu kwa nyimbo na mapambio
  5. chija

    Sukari yafika shilingi 5,000 kwa kilo moja

    Viongozi mko wapi mbona mmenyamaza kimya juu ya upandaji holela wa bei ya sukari nchini
  6. chija

    Mke wangu tangu abebe ujauzito hana hisia za kimapenzi. Nateseka sana

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. chija

    Bei ya mafuta ya kula mtaani kwako

    Waziri wa kilimo yuko kimyaaaa Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  8. chija

    Bei ya mafuta ya kula mtaani kwako

    Baadhi ya mafuta ya alizeti yana harufu. Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  9. chija

    Bei ya mafuta ya kula mtaani kwako

    Watapandisha bei chakula mama ntilie ndo utaelewa Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  10. chija

    Bei ya mafuta ya kula mtaani kwako

    Kwetu 6000 Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  11. chija

    Bei ya mafuta ya kula mtaani kwako

    Bei ya mafuta ya kupikia mtaani ikoje, tuambiane.
  12. chija

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ambao unit moja wanauziwa sh ngapi? Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  13. chija

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Walioko mijini wanaotumia chini ya unit 75 kwa mwezi wanatakiwa kua kundi gani? Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  14. chija

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwa hiyo waliopo mijini wasiodhidi unit 75 wanatakiwa kuwa kundi gani? Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  15. chija

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Basi nitaenda kuomba huduma hii jirani na ofisi za tanesco nikijibiwa tofauti nitarudi kwenye ukurasa huu. Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  16. chija

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Baada ya kutumia umeme kwa muda gani unaweza kuomba kubadilishiwa tarrif? Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  17. chija

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  18. chija

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Niliambiwa na watu wanaokuja kufunga mita kwa hiyo naomba kwanza mnithibitishie hilo kweli si kwelo. Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom