Search results

  1. KIMICHIO

    Hospitali ya KCMC yakumbwa na tuhuma nzito za ufisadi wa mabilioni ya fedha

    Kasome ujiendeleze uwe na wewe mkurugenzi achana na majungu si mtaji ndugu.Wakati wenzio wanasoma we ulikuwa wapi?Shida hawa wa vyeti Feki wakishasombwa na mafuriko ya bashite ndio kuchafulia wengine.Kweeendraaaa kule pumbavuuuu
  2. KIMICHIO

    Yaliyojiri Dodoma: Maadhimisho ya Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 2017

    Nani kwanza ana shida na hilo limuungano lao?Linasaidia nini kwanza?
  3. KIMICHIO

    Tume Ya Taifa ya Uchaguzi yapinga zuio la kutumia viwanja vya Jangwani tarehe 29 Agosti, 2015

    Hizi ni dalili za uoga na dawa ya mtoto mwoga ni fimbo tu kudadadeki huwezi kuomba mechi halafu ukimbie mazoezi hata kama yanauma.
  4. KIMICHIO

    Polisi wazuia ziara ya Edward Lowassa, Kariakoo. Wapiga marufuku mgombea kupanda daladala

    Tukutane jangwani tarehe 29 saa 12 kamili asubuhi bila kubebwa na malori nitatumia nauli yangu mwenyewe.
  5. KIMICHIO

    Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

    Wacha uchoyo na ujifunze kuwa na fadhila!!kwani si kidogo tu mpeane??
  6. KIMICHIO

    Ushahidi wa kesi ya ufisadi wa Richmond wakamilika, wahusika kupelekwa mahakamani

    Kazi ipo mwaka huu.Wasipokuwa makini ccm watasababisha tuchapane.
  7. KIMICHIO

    Ushahidi wa kesi ya ufisadi wa Richmond wakamilika, wahusika kupelekwa mahakamani

    Kazi ipo mwaka huu.Wasipokuwa makini ccm watasababisha tuchapane.
  8. KIMICHIO

    Yaliyojiri Mkutano wa UKAWA na Wahariri, Makao Makuu ya CUF

    Ccm wameshikwa pabaya??Mi yangu macho.
  9. KIMICHIO

    Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    Kuna Huyu Jamaa Anaitwa Keissy Sio Mbunge Wa Chama Changu Lakini Anafaa Sana Kurudi Ni Msemakweli Na Siku Zote Ukweli Unawauma Hadi Wao Wenyewe.Na Hiyo Ndio Siasa Hakuna Kuchagua Rafiki Wala Adui.
  10. KIMICHIO

    Steven Wassira arudisha fomu za Urais

    Wakimpitisha Huyu Jamaa Itakuwa Bomba Sana Maana Ata Akiwa Rais Upigaji Nje Nje Maana Huyu Si Yule Wakudozi?
  11. KIMICHIO

    2002 nissan skyline for sale

    Mkuu unataka kuuza mbuzi kwenye gunia nn?
  12. KIMICHIO

    Tuwapeleke Korokoroni

    Mi nina mpango wa kuishitaki mahakama kuu je ntapata wakili!!??
  13. KIMICHIO

    Mwanafunzi wa darasa la sita abakwa na watu sita

    Raisi wa hii jamuhuri alishawahi kusema wanabakwa sababu ya viherehere vyao.Tehe tehe tehe utagombanaje na mama yako kama si kiherehere hicho?
  14. KIMICHIO

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    nyie voda ni mambulula jana nimenunua simu zenu zile za promo mkasema mnatoa ofa ya internet gb 3 kumbe changa la macho mnanitumia eti vi mb 500 nitumie ndani ya siku 30 na limtandao lenu liko slow kwenye net balaa.asanteni narudi nilipokuwa simu nimempa housegirl kama zawadi ya kukaa na mwanangu.
  15. KIMICHIO

    Jimboni Kalenga: CCM wamsimamisha Geodfrey Mgimwa kugombea ubunge

    Duh!!Is this a democracy or Kingship??Makubwa!!:flypig::baby:????????
  16. KIMICHIO

    Picha: Hali ya Uchaguzi mdogo Kiboriloni ilivyokuwa hadi CHADEMA wanachomoza na Ushindi

    sisi ndo sisi wengine mafisi.si mimi ni kauli ya zembwela.
  17. KIMICHIO

    ccm watelekeza gari lenye nondo, mapanga na marungu

    Its better keep quite than talking nonsense!!mbona povu tena jombiii??
  18. KIMICHIO

    Afisa Habari-CHADEMA atoa ufafanuzi juu ya uchaguzi wa madiwani

    Huku hata tukiweka jiwe nyie mkaweka mtu hatudanganyiki na ndo maana hamji huku kindezi.
Back
Top Bottom