Search results

  1. mafimboo

    Serikali yakiri mashine za EFD kutofanya kazi

    watasalimu amri tu ,wataziondoa wenyewe na kurudi kwenye daftari
  2. mafimboo

    Sugu: Rais Magufuli kusafiri nje ya nchi hakuepukiki

    unakataa kusafiri kwenda nje ya nchi halafu unaaigiza kutoka huko mastandard gauge,basi acha kuagiza hapo utaeleweka
  3. mafimboo

    Siasa inavyoua elimu ya kitanzania

    Kimsingi elimu ya kitanzania ni moja ya elimu isiyofaa katika dunia ya leo, mfumo wa elimu ya tanzania umeunganishwa na siasa na kujichimbia katika siasa,jambo ambalo ni hatari kwa ustawi wa elimu yetu elimu inapaswa kuamua nini inataka na sio wanasiasa wanataka nini katika elimu. Tumeshuhudia...
  4. mafimboo

    Je, miaka 7 bado ni umri sahihi kumuanzisha mtoto shule ya msingi?

    sisahihi hata kidogo kumuanzisha mtoto shule akiwa na umri wamiaka saba ,huu ulikuwa mfumo wa kikoloni mtoto anatakiwa kuanza shule mapema iwezekanavyo anapoweza kutambua mambo ya msingi .
  5. mafimboo

    Serikali yafuta fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii

    Ripoti ya CAG,inasema ccm imekopa fedha kutoja mufuko ya hifadhi ya jamii halafu imeshindwa kulipa,halafu unategemea nini,ni kufuta fao la kujitoa maana hataweza kuwalipa watu wakijitoa,hivi ccm ni chama cha siasa kinapewa na nani ridha ya kukopa hela za watumishi ,hivi ccm ulishindwa kwenda...
  6. mafimboo

    Siri ya Magufuli kuogopa kuigusa IPTL ambayo inalipwa milioni 400 kwa siku na TANESCO

    Haaaa hao mafisadi wamezidi kwa kweli,kusema ukweli siwawezi,wachaniendelee na saga za viwandooo ,mabobadiernna mastiglaaa joji bila kusaha mastandadi geji na mwisho ntawahakiki watumishi,naichukia mitandao
  7. mafimboo

    Dr Mahiga: Tanzania haitapeleka ubalozi Jerusalem

    Hivi tunawashwa na nini?,hivi Tz nayo ni nchi,embu tungewalipa watumishi mishahara,tungejikita zaidi kutoa mikopo bila ubaguzi vyuoni,kushusha bei za nishati kama maji na umeme,mambo ya mabeberu ya dunia hii yanatushia nini
  8. mafimboo

    Hii kauli ya Kamishna wa TRA kwa biashara zilizofungwa ni kufanya 'damage control'

    Nani afungue biashara kwa vitisho vya serikali hii?
  9. mafimboo

    Bajeti ilipokuwa Trilioni 1.1 Wizara ya Afya ilishindwa kuajiri watumishi wapya; sasa ni Bilioni 890 itaajiri vipi 8000?

    We unaamini serikali itaajiri wafanya kazi 8000,subhutu yake ,hii serikali ya waongo
  10. mafimboo

    Mh. Rais, Kwa mtindo huu FINCA itawamaliza Watanzania

    Benki ya mafisadi jiwe kawagwaya
  11. mafimboo

    E-tax banking issues: Mwenye kusoma na aelewe

    Jiwe anazidi kulalia tu ,so tumempa rungu ,dawa ni kujihadhari
  12. mafimboo

    Waziri Mkuu Majaliwa atoa siku tatu kwa wafanyabiashara kusambaza mafuta nchini tena kwa bei ile ile

    mmmmhhhh naogopa yale ya sukari,bwana tusaidie waja wako naona kiama cha mafuta ya kula kinakuja,eee bwana sukari imetuachia majonzi na machungu mpaka leo,bwana zuia janga la mafuta lisitupige
  13. mafimboo

    Mahakama Kuu yazizuia Kanuni za Maudhui Mtandaoni kutumika hadi Mahakama itoe uamuzi

    Ni huyu huyu mwakiembe aliyeibua kashfa ya Richmond au?
  14. mafimboo

    Mbunge Peter Msigwa wa CHADEMA amsifia Rais Magufuli kwamba anajali vyama vyote

    Msigiwa kaanza kuugua ugonjwa mbaya,rais hatoi hela mfukoni ni kodi za wananchi hizo
  15. mafimboo

    Dodoma: Wabunge CCM wahoji mishahara itapanda lini ili kuwakwamua wananchi kiuchumi

    Zingekuwa kwenye chungu angeahidi lakini hazipo akahidi atazitoa wapi
Back
Top Bottom