Search results

  1. Muyobhyo

    Yupo wapi Kali P?

    Hivi huyu mwanamziki bado yupo duniani, nilikuwa napenda sana nyimbo zake, hasa ule imekaa vibaya hi bado haijatulia Lucas Mobutu,]
  2. Muyobhyo

    Waganda nao waja na mpya

    Haya waganda nao hao, avimbue mwingine wao wadai kodi
  3. Muyobhyo

    Online Application form ya Uhamiaji Tanzania

    Tafadhali naomba kujulishwa, nimemsikia jana Dr. Mwigulu Nchemba akisema sasa unaweza ukaomba kupitia online, sawa nimekwenda na nimeona hizo form lakini sasa kwa mimi ninayetaka hiyo kubadilisha passport ya kutoka ya zamani kwenda e-passport nitumie ipi manake kuna vipengele hivi nimevikuta...
  4. Muyobhyo

    Zanzibar Airport

    jamani kama kuna watu wapo zanzibar airport sasa hivi tunaomba tujulishwe kuna nini ?
  5. Muyobhyo

    Yule kaka aliyekuwa anaiba tra kila dk matrilion ya pesa yupo wapi

    huyu kaka alishafungwa?, sijaisikia tena mwenye kujua atueleze
  6. Muyobhyo

    Whatsapp Group - Tanzania Zilipendwa

    habari wakuu, mwenye kujua group lolote la miziki ya tanzania ile ya kale yani zilipendwa naomba anifate inbox, ninataka kujiunga au atoe link
  7. Muyobhyo

    Wanaojua hiki kilugha, jamaa alifanya nini huyu?

    wanaojua hii lugha wanieleweshe jamaa alifanya nini yakamkuta, aliiba au ni mambo ya kutembea na wake za watu
  8. Muyobhyo

    sijamuelewa mh. Balozi

    sijamuelewa mh. kwenye hii clip, ina maana sisi tu madomo zege
  9. Muyobhyo

    Deusdedit Kibamba yupo wapi?

    Huyu jamaa yuko wapi, simuoni kabisa kwenye TV wala magazeti, awamu ya 4 alikuwa anaonekana mara kwa mara, yupo huyu mtu?
  10. Muyobhyo

    Site ya Air Tanzania haifunguki, msaada

    Jamani najaribu kufungua website ya Air Tanzania ambayo ni www.airtanzania.co.tz naona haifunguki au nimekosea site address yake msaada tafadhali
  11. Muyobhyo

    Kijiji cha Sangu wilaya ya Kwimba chavamiwa na fisi

    Kuna habari kutoka kijiji cha Sangu kule wilaya ya Kwimba, wakisema fisi wavamia kijiji na kula au kuua watoto, mlioko huko au karibu, tunaombwa kujuzwa.
  12. Muyobhyo

    Mhaya na Mchaga

    MCHAGA HATA APATE KAZI BANK BADO ATASEMA YUPO KIBARUANI. SASA MHAYA APATE KAZI MACHINE YA KUSAGA NA KUKOBOA. UTASIKIA "I WORK AS A CRUCIAL ENGINEER IN A MONOCOTYLEDON FINALIZING COMPANY"
  13. Muyobhyo

    Video ya WAPO iki-shutiwa Koromije itakua poa sana

    Huu wimbo kama ikishutiwa Koromije utanoga sana
  14. Muyobhyo

    UDOM: Wanafunzi wa taifa la Msumbiji waanza kubaguliwa na wenzao

    Walichotaka watakipata, serikali itoe basi tamko, yani watu wanavyolalamika hivi kwenye vyombo vya habari wao kiimya
  15. Muyobhyo

    Jeshi la Sungusungu limeishia wapi?

    Hivi jeshi la Sungusungu liliishia wapi? Nakumbuka nikiwa Mwanza kulikuwa na jeshi la Sungusungu la Kasamwa, lilikuwa ni moto wa kuotea mbali. Lilikuwa linafanya kazi kwa weledi sana. Ni nini kilifanya mpaka Sungusungu ipotee, manake walisaidia sana Kanda ya Ziwa kuzima uhalifu.
  16. Muyobhyo

    Hata kwetu wapo

  17. Muyobhyo

    Domain

    habari, nataka kununua domain ambayo tayari nishaitengeneza, nataka kuiupload iwe online, msaada please
  18. Muyobhyo

    Seo

    habari, naomba kuuliza mtu mwenye kujua hii program ya SEO, nina website yangu nataka niingize huko ili iweze someka na watu zaidi, ni ya biashara lakini, naomba msaada wenu
  19. Muyobhyo

    Kumbe tuna ulinzi wa kutosha

    jana nimemsikia mkuu wa polisi akihojiwa na kikeke akisema wamesambaza askari polisi 70 elfu, sasa nikajiuliza kumbe tuna ulinzi wa kutosha kulinda raia na mali zetu, sasa kwanini matukio ya wizi na ujambazi yameshamiri sana kumbe ulinzi tunao, kwanini tembo wanauwawa na majangiri na ulinzi...
Back
Top Bottom