Search results

  1. Chris_Mambo

    Tanzia: Mkuu wa Mkoa wa Mara aanguka ghafla na kufariki dunia!

    Kila nafsi itaonja umauti. R.I.P!
  2. Chris_Mambo

    Barabara ya Tunduru-Songea ni mbovu sana

    Msijali wadau. Mchakato wa kupata wakandarasi kwa ajili ya vipande vyote vitatu vya barabara hii (Namtumbo to Kilimasera; Kilimasera to Matemanga; and Matemanga to Tunduru) unaendelea vizuri. By January, if everything go well, kazi ya kuitengeneza itaendelea ili kuwaondolea adha watanzania wenzetu
  3. Chris_Mambo

    Usimruhusu Aingie Chooni Kwako Huyu....

    Ha ha haa! Thank you JF for making me laugh..!
  4. Chris_Mambo

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Ndiyo majukumu yenyewe hayo. Mbona mkialikwa kwenye kikao mnapleji mahela kibaao, huku jukwaani mnalalamikia kadi.....
  5. Chris_Mambo

    Lulu michael alikumbuka penzi la steven kanumba.....

    Amesahau neno sugar kabla ya daddy!
  6. Chris_Mambo

    Wema aja na Muonekano Mpya!

    Yes, that is called fatigue. It i due to load repetitions caused by changing and excessive usage
  7. Chris_Mambo

    LULU Huyoooo baada ya kutoka Gerezani

    Gereza limembadilisha jamani, she looks like a mother. Ni heri angeendelea kuvaa nguo ndefu kama alivyokua gerezani
  8. Chris_Mambo

    Ukimwi unaniuwa kwa haraka jamani

    Kavu kavu raha jamani, sijui tufanyeje. Hasa ukizingatia unakutana na katineja...
  9. Chris_Mambo

    Ridhika na ulichonancho!

    Anafanana na da Wema!
  10. Chris_Mambo

    Warning.............

    0713......????!!!??
  11. Chris_Mambo

    MATOZI na MASISTADU wa enzi hizooooo

    siku hizi vijana wanafakamia misosi hovyo basi mivitambi hiiiiyo! Cheki washaji walivyo na miili mizuri. Kwa haraka haraka sijaona likitambi hata limoja
  12. Chris_Mambo

    Fashion these days

    Tena inaelekea paka wakubwa mno, mmoja kulia,mwigine kushoto
  13. Chris_Mambo

    Israel has been sterilizing ethiopian women

    Waarabu hutumia "Koleo" kuhasi wanaume!
  14. Chris_Mambo

    Girlfriend wangu hataki nisome meseji (SMS) kwny simu yake

    Usiwe na wasiwasi mkuu, kwa vyovyote atakuwa na wengine. Liweke hilo kichwani mwako na lisikuumize utakapowafahamu, mmoja baada ya mwingine. In most cases huwa iko hivyo. La mhuhimu wasiwe ni zaidi ya wanne! Be careful, kama hamjapima usiwe unauza mechi!
  15. Chris_Mambo

    Bujibuji kuza hivi vitu, halafu wa baba watujuze wameona nini?

    hiyo ya juu ni bulb ambayo inawaka, hiyo ya chini ni picha ya mdada, lakini nyuma yake kuna mnyama fulani anayefanana na panya...
  16. Chris_Mambo

    Maandalizi ya kumpokea mume aliyesahau simu yake nyumbani

    Mbona kama first lady wa nchi fulani? Mumewe amesahau simu nini?
  17. Chris_Mambo

    Ndio kwanza tunaanza

    Good!......! GARI LA MATAIRI YAMBAO!
  18. Chris_Mambo

    Kitu 'kiduku" kwa watoto...

    Mtu mzima kila nikijaribu nashindwa. Hii kweli ni kwa ajili ya watoto.....
  19. Chris_Mambo

    Kuna issue ambazo ukichanganya na kazi...lazima utalizwa tu..

    Inaelekea bidada yuko pamoja na kibaka. Anamchanganya jamaa kwa kumpa matumaini wakati mguu wa kuku unachomolewa taratiibu.....!!!
  20. Chris_Mambo

    Wealthy Indian man who spent £14,000 on a solid gold shirt in the hope it will attract a woman

    Naamini amevunja record kwa kuvaa gold kiasi kikubwa namna hiyo!
Back
Top Bottom