Search results

  1. NG'OTIMBEBEDZU

    Ukweli mchungu kwa timu Simba

    Kama unajua taratibu za haya mashindano huwezi kuuliza swali kama hili, labda kama unasumbuliwa na ugeni wa mambo ya soka.
  2. NG'OTIMBEBEDZU

    Ukweli mchungu kwa timu Simba

    Hata mimi nakubali kuwa kikosi cha Simba cha sasa kina matatizo ambayo kimsingi yanawezesha kuita timu ni mbovu. kwa leo siwezi kuelezea, ila timu itatinga robo fainali kwa kutumia jina na uzoefu. hakuna namna nyingine.
  3. NG'OTIMBEBEDZU

    Nukuu za wachambuzi maarufu Baada ya mechi ya Simba (wakimataifa)

    Ni tatizo sana kwenye nafasi ya ushambuliaji.
  4. NG'OTIMBEBEDZU

    Nukuu za wachambuzi maarufu Baada ya mechi ya Simba (wakimataifa)

    Usisumbuke na hawa VAR wa mchongo. Mtu yoyote anayefuatilia mwenendo wa soka anajua kuwa ile ilikuwa offside labda aamue kujifanya mjinga ili aanzishe ubishi wa kijiweni.
  5. NG'OTIMBEBEDZU

    Nukuu za wachambuzi maarufu Baada ya mechi ya Simba (wakimataifa)

    kwa bahati mbaya kabisa hatuna wachambuzi wa soka, tuna watu wa masimulizi, wanaoendeshwa na hisia, bendera fuata upepo na siyo taaluma sababu hawataki kujishughulisha kujiendeleza kwenye hiyo taaluma.
  6. NG'OTIMBEBEDZU

    Nukuu za wachambuzi maarufu Baada ya mechi ya Simba (wakimataifa)

    Tatizo kubwa linalosumbua vichwa vya watu ni kuiona kila timu inayofungwa na Simba haijui mpira, ni dhaifu. Wanasahau kuwa hizo timu zao wanazodhani ziko vizuri huwa zinapigwa tu zikicheza na hizo timu. Anyway acha tufurahie uwakilishi wa timu mbili kwenye mashindano tofauti.
  7. NG'OTIMBEBEDZU

    Vunja Bei na Viongozi wa Simba akili zao ni sawa

    Barbara siyo CEO wa Simba, punguza hasira.
  8. NG'OTIMBEBEDZU

    Felix Tshisekedi hawezi kushindana na Moise Katumbi

    Hawa wagiriki wana akili sana, nimemkumbuka bwana mmoja wa kigiriki aliishi kule Kidamali Iringa, Mike Firiakos.
  9. NG'OTIMBEBEDZU

    Kuolewa ndio kipimo cha upendo?

    kuolewa ni suala moja na kupendwa ni suala jingine. Siyo wote walioolewa wameolewa na watu waliowapenda, ndiyo maana kuna ndoa zipo ICU, watu wanaishi kwa vile walikutana wakakubaliana tu "Bora yeshee". Unaweza ukampenda sana mtu lakini moyoni ukawa na hisia tofauti kama anaweza kukufaa kama...
  10. NG'OTIMBEBEDZU

    Tuseme ukweli kuhusiana na Bidhaa za Azam. Kuna mengi tunayanyamazia…

    Daaaah.... ukimaliza hiyo lazima intracellular edema ikuhusu
  11. NG'OTIMBEBEDZU

    Walionyang'anywa mali na Hayati Magufuli waomba kurudishwa mali zao

    Mavi ni mavi tu hat uyarembe vipi yatanuka tu, na sasa ndiyo wakati wake.
  12. NG'OTIMBEBEDZU

    Shehena ya silaha za Iran zakamatwa na Jeshi la wanamaji la Ufaransa, zilikuwa zikipelekwa kwa waasi wa houth

    "Adui wa Adui yangu ni Rafiki yangu" - alisema jamaa mmoja huko ughaibuni
  13. NG'OTIMBEBEDZU

    Nikioa mwanamke mwenye mtoto nitamlea mtoto wake kwa sababu zifuatazo tu!

    Kama huyo mama mwenye mtoto amekubali kuolewa na mimi sitakuwa na tatizo na huyo mtoto. Mengine yooote ni sababu ya udhaifu wa binadamu, kwamba ata cheat! Hata hawa tuliowaoa wakiwa hawajazaa kabla wanawezafanya hivyo mazingira yakiruhusu. Kikubwa search team ya kichwa changu iwe vizuri wakati...
  14. NG'OTIMBEBEDZU

    Tabia ya kuwakumbuka wanawake tukiwa na nyege ni mbaya sana.

    kuna yule full back left wa yanga, Joyce Lomalisa......
  15. NG'OTIMBEBEDZU

    Ipi ni akili nzuri: Kutumia trilioni 7 kusambaza maji safi kila nyumba nchi yote au kuweka treni ya mwendokasi Dar mpaka Mwanza?

    Hawatakubali hawa watu, walishanunuliwa kitambo ndiyo maana chuma inatoka kila kukicha kwenda kwa mabwana wakubwa wao
Back
Top Bottom