Kazi ya interview ya written sio kuona watu wanavyofaulu au kuhakikisha wasailiwa wanavuka pass mark, kazi ya interview ya kuandika ni kupunguza idadi ya wasailiwa wa hatua inayofuata...haina maana kuweka passmark maalumu kwasababu vipi kama wasailiwa wote watavuka hiyo pass mark, lengo la...
ngungwangungwa: Kutoka dar mpaka shinyanga pana umbali wa 1017.5KM, kutoka dar mpaka kigoma ni 1295KM na kutoka dar mpaka Gelib (mji upo kusini mwa somalia) kuna umbali wa 1473.3KM, ndo maana nilisema ukitembea hizo 1500KM kutoka dar kuelekea kaskazini mwa Tanzania utajikuta upo somalia...
Mbona na wewe hujamsaidia badala yake unamshambulia aliyeshambulia??....Mwalimu hiyo pesa inatosha kabisa kuingia kwenye miradi ya horticulture, nakushauri uzipeleke shambani hizo pesa. Ungesaidiwa zaidi ungesema unapatikana wapi
You are not confident with your product, and you are making it so obvious for all of your customers to see. Tumeomba tu utuambie vitabu vimeandikwa na nani na vimeandikwa wapi, unaleta majibu ya bungeni
32-bits ni procesor yenye uwezo wa kuprocess 232 bytes of information ambayo ni sawa na space ya 4GB RAM, 64-bit ina uwezo wa kuprocess 264 bytes of information ambayo ni sawa na space ya RAM kuanzia 4GB na kuendelea. Unaon kwamba ukiwa na procesor ya 32-bit hauhitaji RAM ya 8 GB kwasabau comp...
Get the facts right Chimbuvu, Kitu cha kwanza Warren Buffet hakujenga nyumba yake ni alinunua. Kitu cha pili Warren alinunua hii nyumba miaka miwili baada ya kuanza biashara zake. Alifanya kazi kutoka mwaka 1951 mpaka 1956 na mwaka huo wa 1956 alianza biashara zake kwa kuanzisha kampuni...
Get the facts right Chimbuvu, Kitu cha kwanza Warren Buffet hakujenga nyumba yake ni alinunua. Kitu cha pili Warren alinunua hii nyumba miaka miwili baada ya kuanza biashara zake. Alifanya kazi kutoka mwaka 1951 mpaka 1956 na mwaka huo wa 1956 alianza biashara zake kwa kuanzisha kampuni...
Mimi nimekuelewa mkuu Appoh, ila nina mchango kidogo:
1. Swala la kusema simu za touch zinapendwa zaidi na akina mama sijaelewa umefikiaje hiyo conclusion, kama unapenda simu za kisasa penda usipende lazima simu yako itakuwa na touch screen. Wewe mwenyewe kama unatumia smartphone na sio brand ya...
Nimejifunza mengi sana kutoka kwenye huu mjadala wadau, Natanguliza shukrani zangu. Naomba kuuliza swali kwa wale wenye uzoefu...nasikia maeneo yanayohusika na kilimo cha mazao mbali mbali kuna biashara pia ya kukodisha mashamba kwa wamiliki wa mashamba, ningependa kujua huwa yanakodishwa kwa...
Ni ya ukweli kwenye hizo dak.150 kwenda mitandao mingine na 150 kwenda tigo na 5000sms!!!! lakini internet ni uwizi mtupu....ipo slow vibaya mno, kwanza inafanya kwenye edge sio 3G! wameniboa wamechukua 9000 yangu! nimeunga xtreme ile ya 50mb speed imerudi kama kawa 3G imeshiba. Kama shida yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.