Search results

  1. N

    Uchaguzi 2020 Ndugu Zitto wakati unagombea mwaka 2015, uliahidi kutoa mikopo kwa vijana hususani waendesha pikipiki

    Leo nataka kuteta kidogo na Ndugu Zitto Kabwe,Kijana uliejizolea umaarufu mitandaoni na kuyasahau matatizo ya wananchi wanyonge katika jimbo lako la Kigoma Mjini. Hakika umekuwa machachari kwa kujenga hoja,kukosoa Serikali ,kuponda na hata kutukana na kubeza kila kitu kinachofanywa na serikali...
  2. N

    Mbinu zinazotumiwa na Wazungu kutusahaulisha tusidai fidia ya mateso waliyowapatia ndugu zetu

    Mbinu hizo ni 1. Demokrasia 2. Mikopo 3. Haki za Binadamu 4. Kupandikiza Viongozi wa kuwasaidia kuwapumbaza Waafrika wasahau Mateso waliyowafanyia Wazee wetu. 5. Mfumo wa Elimu 6. Kutukuza Lugha zao na Ufadhili wa kusomeshwa. 7. Misaada yenye Mashariti nafuu. 8.Kukudumaza uwezo wa kufikilia ili...
  3. N

    Zitto Kabwe Agonga Mwamba kwa Madiwani wa ACT Wazalendo Kigoma ujiji

    Kwa kile kinachoonesha Madiwani kumchoka Zitto Kabwe, Wamchana wazi Jioni hii kwenye Ofisi za ACT Wazalendo Kigoma ujiji ambayo ni Makao Makuuu ya ACT Wazalendo Mkoa wa Kigoma, kuwa wamemchoka kwa tabia yake ya kudai 10% kwa migongo ya Madiwani lakini Mwishowe anaishia kuwapatia Madiwani...
  4. N

    Tetesi: ACT Wazalendo Kigoma Mjini kwawaka moto

    Moto umewaka ndani ya ACT Wazalendo Kigoma kutokana na Azma ya Madiwani wote kumkataa Meya wa Manispaa . Usiku wa kuamkia tarehe 16.01.2020 wamejikuta viongozi wa kitaifa wakishindwa kuyamaliza na kusababisha kuendelea kufukuta mpka walilazimika kutumia Mishumaa ili kuendelea kutafuta suluhisho...
  5. N

    Madiwani ACT Wazalendo Manispaa ya Kigoma ujiji waandaa mpango wa kumng'oa Meya

    Kutokana na Madiwani wa Manispaa ya Kigoma ujiji kuchoshwa na tabia ya Meya Hussein Luhava ya kushirikiana na Zitto Kabwe kuwatumia kwenye kupiga madili mbalimbali kwenye Manispaa ya Kigoma. Wamemgomea Meya na Zitto Kabwe kushirikiana kwa kile wanachodai hawatendewi haki. Taarifa kutoka kwa...
  6. N

    Naipongeza serikali sikivu kwa kunipatia mkopo wa elimu ya juu

    serikali sikivu , imeweka kwenye orodha ya waliopata mkopo ,ingawa kozi niliyoiomba ni Non priority , ambayo ni Bcom in HR UDSM . 4that thanks .
Back
Top Bottom