Search results

  1. N

    Balozi wa USA nchini amtaka Rais Magufuli achukue hatua zaidi ya kuwaachia Mbowe na wenzake

    Ushamba wa huyo Balozi: Zitto Kabwe kwa Kigoma aliweka Mawakala kila kituo na Walifika Alfajili na walikagua Mabox ya kuwekea kura halili zilizopigwa wakajilidhisha kwamba mabox yapo salama na walimweleza Zitto kuwa Mazingira yapo salama na alikubaliana nao na akihojiwa na waandishi wa habari...
  2. N

    Uchaguzi 2020 Lindi: Majengo ya Serikali yachomwa, magari yaharibiwa kisa Uchaguzi

    Hao dawa yao ni kuwatandika fimbo na kifungo cha Maisha. Akili zao zinaendeshwa na Matako ya akina Zitto Kabwe, Tundu Lissu n.k.
  3. N

    Uchaguzi 2020 Nimelazimika kusafiri takriban kilometa 1000 kumzuia Robert Amsterdam na CHADEMA

    As a Tanzanian, 5Again JPM kiboko ya wezi wa Rasilimali za Watanzania
  4. N

    Uchaguzi 2020 Nimelazimika kusafiri takriban kilometa 1000 kumzuia Robert Amsterdam na CHADEMA

    Hata ufanyeje JPM amewashika pabaya Wezi wa Rasilimali za Watanzania nyie
  5. N

    Tetesi: ACT Wazalendo Kigoma Mjini kwawaka moto

    Tuwakumbushe akina kinyongo
  6. N

    Hii ni ya Jioni hii kutoka AccessNow. Tunapigwa kila pande ya Dunia, Mungu atusaidie

    Kwani ya kwao na Corona wameyamaliza. Itawabidi waendelee kujifunza kwetu namna Bora ya kutunza amani na mshikamano wa Kitaifa. Na Wanatakiwa wa faulu kupambana na hali yao ndo waje kwetu
  7. N

    Uchaguzi 2020 Arusha kuwa kama Calfornia ni kichekesho na mzaha mkuu

    Hata tulivyoingia uchumi wa kati yalijadiliwa hayo ya kubeza. Tanzania Hakuna upinzani kuna upingaji
  8. N

    Rais Magufuli kuzindua reli iliyojengwa mwaka 1898-1907 Arusha

    Lazima utakuwa kwenye Kampeni za kuhakikisha Ushoga unaheshimiwa. Mimi nitakuwa wa kwanza kumuoa Kaka yako
  9. N

    CCM kuweni waangalifu, Chama kimetekwa na serikali?

    Na Uhakiki uliyeandika utakuwa siyo mjumbe wa Kamati ya Makubaliano ya Amstardam (Kuukubali Ushoga), na uhakiki utakuwa siyo uloyekuwa umepewa Rushwa na akashia ili Makinikia yaondoke kwenda Ulaya bila Ukaguzi wa Serikali kujiridhisha, na uhakika utakuwa siyo wewe uliyekubali kwamba wewe ni...
  10. N

    Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

    Kigoma kuna Mtu nasikia amechanganyikiwa baada ya mbinu zake kuvulugwa. Mkakati wake ulikuwa ni kutumia fedha kutengeneza nyomi kwenye Mkutano, kwa kuuagiza uongozi wa kata wa Act wazalendo kuhakikisha wanapatawwatu wasiopungua 100 na kila mmoja alipwe hongo kuanzia 5,000 hadi 10,000 . Lengo...
  11. N

    Kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na Maalim Seif siyo Wanachama tena

    Zitto Kabwe ambao hamumwelewi hakuna mahali alipoenda kufanya kazi akapaacha salama, yeye kazi yake ni kusaliti tu. 1. Aliitasiliti Chadema na Mbowe. 2. Aliisaliti nchi na Wananchi Wananchi wote. 3. Ameisaliti Katiba iliyoipa nguvu Act wazalendo kusajiliwa na msajili wa Vyama vya siasa. 4...
  12. N

    Uchaguzi 2020 DKT. Magufuli: Sasa ni wakati wa kujali maslahi ya Wafanyakazi

    Mimi Mtumishi wa Umma, nipata salary incliment 98,000/=, Mwaka 2016, salary incliment 102000 Mwaka 2017 up to date naendelea kupata. Ubora wake Kiuchumi wa Mtumishi: Haijaongeza Mfumuko wa Bei, tofauti na zamani ukiongezewa 15,000 na bei ya kila bidhaa inapanda. Naamini mmenielewa JPM...
  13. N

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

    Keyboard zinavyofanya kazi JF zingekuwa ndo kura Ufipani ingekuwa sherehe. Lakini kitaani kila anapopita akiondoka watu wanaanza kujadili Chadema Sera yao ni Ipi, Yaani mumewavuluga kabisa watu. Bora hata Hashimu Rungwe anasera ya Ubwabwa
  14. N

    Namtabiria Mtanzania huyu na mgombea urais ipo siku atakuja kupewa nishani ya Nobel

    Aisee Nisaidie Jambo: Hakuna Mzungu mwenye Upendo na Waafrika, anaupendo na vitu vinavyopatikana kwa Maslahi mapana ya Mataifa yao. Wakikosa kupata kwa ulaghai wanapandikiza Viongozi ( Mfano Tundu na Zitto- Kwa nchi ya TZ) , Wanahamasisha Upatikanaji wa haki kwa kuunda vikosi vya kiaasi- Mfano...
  15. N

    Uchaguzi 2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

    Kwanza wenyewe Uchaguzi hauwi huru na haki, Mbona Krintoni aliongoza kura harafu akatangazwa Trump waachaane na cc. Wanaviolete Demokrasia harafu wanataka watudundishe Demokrasia
  16. N

    Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu akutana na Balozi wa Marekani

    Marekani wanaijua Tanzania na wanaelewa wanachotakiwa kukifanya bila kuwakosea Watanzania. Mpaka saizi wameamini akili ya JPM ina dira nzuri yenye kuutambua ukuu wa Mungu. Wanatambua ili waendelee kuishi ni lazima kumheshimu aliyemtanguliza Mungu kuwalinda watoa huduma za Afya, Maaskari wa...
Back
Top Bottom