Search results

  1. MNYAMAKAZI

    Madai ya udhalilishaji wa kingono TIA yachunguzwe

    Nimesikitishwa na kuguswa sana na malalamiko ya mabinti wa taasisi ya uhasibu (TIA) dhidi ya udhalilishaji na dhulma za kingono zinazofanywa na mmoja wa wahadhiri wa taasisi hiyo Mr. Njunwa. Sina lengo la kumuhukumu moja kwa moja huyu bwana wala kusema kuwa anahusika na tuhuma hizi, lakini...
  2. MNYAMAKAZI

    Tujenge tabia ya kuuliza

  3. MNYAMAKAZI

    Kwanini Hii?

    Jaribu kuchunguza, wanawake ni wepesi sana kuweka wazi status za mahusiano yao kwenye mitandao ya kijamii (hasa facebook) pamoja na kutupia picha za wenzi wao lakini si wanaume. 90% ya sisi midume (ukitazama profile zetu) tupo single sasa la kujiuliza hawa wadada wapo kwa relationship na ng'ombe...
  4. MNYAMAKAZI

    Kuna utani unaweza kuvunja ndoa

    Jana jioni nimemtembelea rafiki yangu mmoja. Huyu jamaa huwa haishi kulalama kuhusu tabia ya ulaji ya mkewe na kujiachia jambo linalofanya avimbiane kuliko kawaida. Sasa wakati tunapiga story, kulikuwa na ka-documentary fulani kwa Tv kanazungumzia maisha ya viboko (Wengi huwaita boko). Basi...
  5. MNYAMAKAZI

    Tumfanyaje huyu dogo?

    Undugu wa damu ungekuwa unakatizwa nadhani ningekuwa wa kwanza kuomba huduma hiyo. Wadau huyu dogo nahisi ni adhabu tuliyoachiwa na marehemu wazazi (sijui tulikosa nini). Naomba mjaribu kunisaidia mawazo aisee. Huyu dogo alipomaliza form 4 (kwa mbinde) hakufanya vizuri sana akajiunga na jeshi...
Back
Top Bottom