Search results

  1. M

    Kuhatarisha usalama wa Taifa? Give me a Break!

    Kwa kweli usalama wa Taifa, ni moja kati ya Idara ambazo zimekufa kabisa Tanzania, kwa sababu zimebadiliza role zake kabisa. Najua wanasoma hapa Jamii Forums, subiri niwakukumbushe, hawa watu wameacha kulinda maslahi ya taifa, wanalinda viongozi, tena bora wangekua wanawalinda physically, yaani...
  2. M

    Sihitaji kura za wafanyakazi (T-shirt Ziko Mitaaani)

    Pamoja na Tambwe kujaribu kumsafisha, lakini KIKWETE hasafishiki, sababu uchafu wange unaanzia kwenye uwezo wake wa kufikiri, ana uelewa mdogo sana kiasi kwamba hawezi hata kupima impact ya kauli zake. :confused2:
Back
Top Bottom