Search results

  1. Cute Pie

    Huu sio UTU-kipindi cha TAKE ONE cha CLOUDS TV

    Story ya yule binti inasikitisha sana,Clouds walikosea sana kuionesha kwa TV,ni heri ingekua kipindi cha redioni.Nilikaa nikaimagine ni mdogo wangu amepitia huo mkasa mwili ukasisimka.Its so sad kwakweli. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  2. Cute Pie

    Knock,knock Jamii forums

    Shukrani kwa wote..siku njema
  3. Cute Pie

    Knock,knock Jamii forums

    Habari wana jf,mimi ni member mpya wa jamvi hili..jf imenihabarisha na kunielimisha mno,..i hpe am welkamd kuchangia ili niweze kuelimisha
Back
Top Bottom