Search results

  1. Maghayo

    Huu uvaaji wa Millard Ayo kwenye msiba wa Gardner umenishangaza sana

    Mzuka Wanajamvi! Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo. Mara ya kwanza nilipoiona hiyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa...
  2. Maghayo

    Naby Keita mchezaji wa mpira zamani liverpool kasimamishwa kucheza mpira kwa kiburi

    Mzuka wanajamvi! Mchezaji wa mpira wa timu ya Warder Bremen kiungo mkabaji na mshambulizi raia wa Guinea Naby Keita amesimamishwa mara moja kuchezea timu yake hii kwa utovu wa nidhamu, kiburi na madharau. Licha ya kusimamishwa ametozwa faini na kukatazwa kutumia facilities zozote za Bayern...
  3. Maghayo

    Dubai wakumbwa na mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha

    Mzuka wanajamvi! Mji wa kisasa wa kitajiri unasifiwa kwa miundombinu bora duniani sasa hivi iko underwater mafuriko ya hatarii hadi shughuli zote kusimama. Hii ni baada ya mvua kubwa na dhoruba na radi. Tulikuwa tunalalamika bure mafuriko Arusha na rufiji. ==== --- Torrential rain and...
  4. Maghayo

    Video: Nilidhani mabonge siyo wezi ama vibaka.

    Umdhaniaye siye. Hata mabonge ni wezi na vibaka? https://www.youtube.com/watch?v=ceNupu_zjq0&pp=ygUlcm9iYmVyeSBjYXVnaHQgb24gY2FtZXJhIHNvdXRoIGFmcmljYQ%3D%3D mrangi Isanga family King Kong III
  5. Maghayo

    Pongezi kwa Rais Samia kwa kuwa muwazi

    Mzuka wanajamvi! Kati ya marais wanyenyekevu, honest, waelewa, wawazi na wenye hekima ni rais wetu wa Jamhuri ya muungano Tanzania Dkt Samia Hassan. Nampongeza kwa kuwa muwazi na kuweka wazi jinsi shirika letu la ndege Atcl inavyojiendesha kwa hasara nakupata hasara ya 22 million USD. Lakini...
  6. Maghayo

    Je hawa walipona?

    Mzuka wanajamvi!
  7. Maghayo

    Watanzania wengi tuna bahati kutokula milo mitatu kwa siku.

    Mzuka wanajamvi. Watanzania wengi na waafrika kwa jumla kusini mwa jangwa la Sahara tumshukuru Mungu kwa kutufanya kuwa maskini hadi kutoweza kumudu kula milo mitatu kwa siku. Hii ni advantage kwetu na imetufanya Tuwe na afya bora na kufanya kinga za mwili zetu ziwe thabit. Professor Janabi...
  8. Maghayo

    Urusi imetoa picha na majina ya magaidi waliokamatwa baada ya tukio la jana moscow.

    Mzuka wanajamvi, Vyombo vya usalama Urusi zimetoa picha na majina ya waliohusika na shambulio la kigaidi jana Usiku Moscow.
  9. Maghayo

    Wa Houthi wa Yemen wamemfanya Chris Lukosi aongee kwa unyonge

    Mzuka wanajamvi! Ukimsikia Mzee wa Dungu Jeshi akiongea kwa unyonge kwenye hii video kweli hali ni mbaya red sea. Uchumi wa duniani ulishaanza kuimarika baada ya covid na vita ya Ukraine. Hamas akaharibu tena sasa Israel naye anazidisha. Wa Houthi wamesema Israel akisitisha kuishambulia Gaza...
  10. Maghayo

    Haiti inahitaji sasa hivi kama Kagame

    Mzuka wanajamvi! Haiti inahitaji kiongozi kama Paul Kagame wa Rwanda. Mkali strict katili na dikteta. Ambaye akitawala alete hofu, nidhamu na utii wa sheria. Kukiwa na utawala kama huu niliulezea kwenye hii nchi baada ya miaka kumi Haiti itakuwa kama Rwanda. Upuuzi unaendelea Haiti...
  11. Maghayo

    Natabiri mechi ya leo kati ya Mancity na Liverpool kutakuwa na maamuzi mabaya kutoka kwa Refa VAR

    Mzuka wanajamvi! Ni mechi inayosubiriwa kwa hamu sana na wapenzi wa mpira duniani. Ni kati ya mabingwa wa uingereza Fa premier league Manchester City dhidi ya Liverpool. Ukizingatia msimamo wa ligi Arsenal inaongoza kwa pointi 64 na kucheza mechi 28 baada ya kushinda mechi yake jana 2-1 dhidi...
  12. Maghayo

    Sijui kwanini nawapenda wanawake wanaofanana hivi ni warembo sana

    Mzuka wanajamvi! Yani kila nikipishana nao moyo unaenda mbio na kasi nalazima nigeuke wawe wazungu, wahindi ama Waarabu na Waafrika. Lakini kwa Waafrika ndio wazuri na warembo kupindukia na wengi wao ni black American. Wanawake weusi warembo kuliko wanawake wote duniani wako marekani halafu...
  13. Maghayo

    Kwanini wanawake hawaitwi mwamba?

    Mzuka wawanajamvi? Hili jina mwamba linatumika kama sifa, status kumsifia mtu. Hata kwa wapiga mizinga wanapenda sana kutumia wakikusogeza na kukuandaa kwa kukuita mwamba, mheshimiwa, boss kabla ya kulipuka. Lakini kwa nini halitumiki kwa wanawake japo kuna wanawake majasiri nao tungewaita...
  14. Maghayo

    Liwalo na liwe

    I hate you all. I dont care. Siishi maisha yangu kwa ajili ya yoyote. Nilikuja duniani kivyangu na nitaondoka kivyangu. I don't care about anything sasa hivi simuamini yoyote hata mtoto mdogo. Wasaliti, wadhulumati na waonevu wote kufeni wote na msifufuke hata mkifa katika Yesu. Nyau nyie
  15. Maghayo

    Ex wangu kanitumia ujumbe wa valentine's day nkataka kumjibu vibaya ila nikapotezea.

    Mzuka wanajamvi. Ex wangu flani jana kanitumia ujumbe happy valentine's day nikataka kumjibu vibaya kwa matusi ila sijui busara ilitoka wapi nikanyamaza.
  16. Maghayo

    Binti mkubwa wa Dr Dre analala nje kwenye gari wakati baba yake ni billionaire

    Mzuka wanajamvi. Binti mkubwa wa Dr Dre Latanya Young 40 ni homeless analala nje kwenye Gari la kukodi ambalo pia analitumia kwa shughuli za food delivery. Dr Dre jina halisi Andre Romelle Young 59 rapper maarufu kutoka Marekani ambaye ana utajiri wa dollars za kimarekani billion moja...
  17. Maghayo

    Imekaaje Rais Samia kumtembelea Papa wakati tuna msiba mkubwa?

    Mzuka wanajamvi. Maza angehairisha na kusitisha mara moja safari yake ya Vatican na kuonana na Papa. Tumempoteza rais wa mioyo ya watanzania wote. Kama mama yetu angebaki kutufariji watoto wake tunapitia huzuni na maumivu makali kuondokewa na Laigwan. Licha ya msiba mkubwa wa Lowasa kutuacha...
  18. Maghayo

    Mzuka wa Myahudi mweusi na wayahudi wa Yemen kwenye jeshi la Israel IDF

    Mzuka wanajamvi. Yani inapendeza sana ukiwa kati ya wateule na watakatifu (the chosen ones). Kwenye hiyo video hapo chini myahudi mweusi kwenye jeshi teule na takatifu IDF mzuka umemshika nakupandisha mori kwa kuhamasisha wateule wenzake katika vita dhidi ya magaidi huko Gaza...
  19. Maghayo

    Wasichana wasiende Uarabuni kufanya kazi, Waarabu wengi ni makatili

    Mzuka wanajamvi. Hii video nimeipata Facebook. Ni msichana wa kazi Saudi Arabia nadhani kutoka kenya kwasabab ya lafudhi yake. Anajirekodi huku anakimbizwa na waliomuajiri akidai anataka kumuua. Inahuzunisha. ============== Mwanadada Huyu Ambaye Uraia Wake Ni Mkenya Lakini Kwa Sasa Nchini...
  20. Maghayo

    Mtawala Saudi Arabia Mohammed Bin Salman alivunjika moyo kujua wazi hatamuoa binti wa mfalme wa Dubai

    Mzuka wanajamvi. Mtawala wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman (MBS) aliahidiwa na mtawala wa Dubai al maktoum atamtunukia binti yake amuoe. Lakini baada ya mtawala wa Dubai kugongewa mkewe Haya bint Hussein na mlinzi ndoto za MBS zikatoweka baada ya Hawa kutorokea uingereza na huyo binti...
Back
Top Bottom