Search results

  1. T

    Nyanya ipi hybrid isiyo na bei gali lakini inafanya vizuri shambani?

    Habari ya asubuhi ndugu zangu. Ninahitaji mbegu ya nyanya isiyo na bei ghali lakini inafanya vizuri na kutoa mazao bora. Moja ya changamoto kubwa ya wakulima wa nyanya sasa hivi ni bei kubwa ya mbegu. Kampuni zinazozalisha mbegu sasa hivi zikiona mbegu yao inafanya vizuri tu wanaacha kuziweka...
  2. T

    Je, hapa Tanzania kuna hii mbegu ya mchungwa inaitwa CLANOR?

    Habari ya mchana ndugu zangu. Nimekuwa nikitembea katika mitandao kutafiti kilimo cha machungwa. Huko Kenya nimeona kuna mbegu ya Africa kusini wameitumia inafanya vizuri inaitwa CLANOR. Je, hapa Tanzania hii mbegu ipo? Kama kuna mtu anaifahamu naomba anisaidie nichukue chache nifanyie...
  3. T

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    Habari wadau, Ninahitaji kulima nyanya mwezi December. Naomba msaada mbegu inayofanya vizuri katika kuweka matunda makubwa (najua hili linategemea utunzaji lakini mbegu huwa ni factor kubwa tu), rangi inayoiva vizuri rangi ya wekundu, ugumu wa tunda kuhimili kusafirishwa na kukaa muda mrefu...
  4. T

    Makamu wa Kwanza wa Rais azua balaa CCM

    Kwangu haijalishi nani anatawala Zanzibar. Maana waliokuja baada ya Sultani na wakoloni ni wabaya kuliko wakoloni hao. Maana hii nchi ingekuwa ya wakoloni wao wenyewe na watu wao ni weupe kama wao wasingefanya unyama na ujinga unaofanywa na watawala wa sasa. I don't care who rules Zanzibar na ni...
  5. T

    Walinzi wa Geita Gold Mine wagoma, hakuna kuingia wala kutoka mgodini

    Wafanyakazi wa Ulinzi katika kampuni ya G4S inayolinda Geita Goldmine GGM wamegoma kutokana na malipo duni na kucheleweshewa mishahara. Hakuna kuingia wala kutoka mgodini.
  6. T

    Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

    Hata Rais anaogopa kumtaja mhusika? Sasa kwa kuwa wanamrushia rungu yeye. Si achukue ushahidi azimwage makahakani. Jamani ushahidi uliopelekwa na Rais nani atashindwa kuufanyia kazi na kutupa uhalisi wa mhusika?
  7. T

    Pendekezo la Maridhiano Juu ya Lowassa (A Proposal on Compromise): Kutoka Hapa Kwenda Kule...(2015)*

    ACT wazalendo mmevamia hii mada ya akili. Badala ya kuweka inputs ni kejeli tu na kuzomea. Mnakera!
  8. T

    Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

    Dr Slaa alishasema amekaa kimya. Na nyie mumuache mkae kimya. Kama kuna harakati zinaendelea underground ziendelee kimya kimya bila kutangaza kwa nia ya kushawishi kwamba mambo yanaenda vizuri. Zikifanikiwa ndio mje mtangaze kwa umma sio kupiga nae picha kurusha hewani wakati tofauti...
  9. T

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Kwa hiyo Dr uko tayari nchi iendelee chini ya utawala wa CCM? Hauko tayari kuona Tanzania iizike utawala wa CCM kwa compromise ya Lowasa kuwa Mgombea? Mbona Kenya wameweza na wamefanikiwa? Mbona Raila Odinga alikuwa mpambanaji asiyeyumba lakini aliungana na fisadi Mwai Kibali ili kutoa utawala...
  10. T

    Jairo na Kilimba Wajitoa Ubunge Iramba, Mwigulu afunika kila mkutano

    Nduli Idd Amin wa Tanzania. Kiongozi wa kikosi cha mauaji greenguard. Eti siku hizi anajifanya mzalendo. Nani hakujui?
  11. T

    Lowassa apigwa shinikizo kali

    Wewe hofu yako ni kuanguka kwa CCM wala si masaibu ya Lowasa akitoka CCM. Mazingira yamebadilika mno. Lowasa akitoka CCM atakuwa Raila Odinga wa Tanzania kuiangusha CCM na kutokomea katika ramani ya siasa ya nchi. Mimi Binafsi nilimpinga Lowasa kuwa mgombea wa CCM lakini naamini Lowasa...
  12. T

    Mulongo: Mbowe ana tamaa ya fedha. Amehongwa kumkaribisha fisadi ndani ya CHADEMA

    Oh my God! Haya ni maneno ya kuongea mkuu wa mkoa? Magesa Mulongo. Huyu hana sifa hata ya kuwa katibu kata. Anaongea utafikiri ni mkuu wa propaganda CCM tena ikiwa huyo mkuu wa propaganda hana akili timamu. Huu ni uchochezi wa waziwazi na kuhubiri ukabila. Wale wanaoshutumu usukuma wa...
  13. T

    Rais Kikwete afanya mabadiliko Tume ya Uchaguzi (NEC) Pia ateua Majaji

    Tuna katiba ya kishenzi kabisa. Yaani mtu mmoja anaamua tu anavyopenda kufanya uteuzi akiamka kitandani. Hakuna anayeuliza, hakuna uthibitisho wa wawakilishi wa wananchi. Kwa mustakabali mwema wa taifa ili nchi hii kutoingia kwenye machafuko tunapaswa kuindoa CCM kama tulivyowaondoa wakoloni...
  14. T

    Mapokezi ya David Silinde ni ushahidi CHADEMA mlifanya makosa

    Umoja ni nguvu hata kama una nguvu
  15. T

    Dr. Bana yupo Clouds Tv live

    Nani anamjali Bana mchumia tumbo?
  16. T

    Viongozi wa ACT Wazalendo wapata mwaliko Ujerumani

    Ujerumani si ndiko Msaliti alipokuwa anatumiwa pesa na usalama wa taifa anachukulia huko? Wanaenda kuchukua zilizotumwa karibuni?
  17. T

    Barua ya mwananchi kwa tume ya uchaguzi kuhusu uandikishaji mbovu wa wapiga kura

    Nimechukua kama ilivyo: Yeyote anayehusika, Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mkazi wa Geita mjini. Nimetembelea vituo vilivyokuwa vikiandikisha watu ambavyo vimeshamaliza na ambavyo bado vinaendelea. Kuna Idadi ya watu WENGI MNO kulinganisha na IDADI CHACHE YA VIFAA VYA...
  18. T

    Wizara ya fedha na TRA kaeni mtuonee huruma watanzania tozo za kuingiza magari ni kandamizi

    Haya ndiyo matokeo ya kuwa na serikali isiyokuwa na ubunifu wa kuboresha uchumi na kukuza wigo wa kodi. Yaani wakiona na tu kuna sehemu ni rahisi kukusanya kodi fedha zote za budget wanazitoa hapo. Huu mfumo wanaotumia wa eti depreciation ni mfumo kandamizi kabisa na ni unyama wa hali ya juu...
  19. T

    UCHAMBUZI: CCM yasoma alama ya Nyakati, UKAWA waendeleza status quo

    Huu nao ni uchambuzi au maneno ya ushabiki tu. Eti unaweka heading: UCHAMBUZI. Lol!
  20. T

    Dr. Kimei wa CRDB: Kuporomoka kwa shilingi kuna faida kubwa kwa Watanzania

    Hizo theory za uchumi zenye viwanda na kuzalisha kusafirisha nje. Uchumi wa Tanzania ni uchumi wa uchuuzi kutoka nje. Kwa upande mmoja mabenki kwao ni faida kubwa ikiwa walikuwa na akiba ya dola na fedha zingine za nje. Watapiga hela ndefu. Hakuna mchumi atakayekuambia fedha ikishuka ni faida...
Back
Top Bottom