Sahau tu, kwa kuwa ni mdogo wako. Ila kama angekuwa mtu ambae familia yake kuna magonjwa ya kutithi ingekuwa mbaya. Binafsi kama mdogo wangu anampa mimba mke wangu, hiyo ni damu yangu wala simchukii mdogo wangu, ila lazima nimuonye mke wangu.
Pole ila usijali, kwani maisha si bado unaendelea kuishi? Basi yupo wa kuishi na wewe kwa sasa vumilia tu.
Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.